Nima Imma
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 2,473
- 3,669
So alikuwa storyteller ambaye muhusika mkuu mwisho wa picha alitakiwa kufa???? Anyway wao na dunia yao. Ya Jf yatabakia JfMkuu kweli uliona mbali... Angalia haya maigizo yao wanayotoa leo! !
Huyo mtu kupitia uzi wake huu alijinadi sana na kujifanya ana hela wa mamtoni mi dolari anajua kutembezea msuli wanawake aliinadi ni mtu wa michongo wanawake na watu wengine wakajaa pm kukawa na tsunami huko kuua soo ameamua kubadili id kwa staili hii ya kufeki kifo!!
Kwahaya maigizo nina imani hata katika story yake kuna over exaggeration nyingi sana kuliko uhalisia!
I smell something fishy here!!