Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Mkuu kweli uliona mbali... Angalia haya maigizo yao wanayotoa leo! !
Huyo mtu kupitia uzi wake huu alijinadi sana na kujifanya ana hela wa mamtoni mi dolari anajua kutembezea msuli wanawake aliinadi ni mtu wa michongo wanawake na watu wengine wakajaa pm kukawa na tsunami huko kuua soo ameamua kubadili id kwa staili hii ya kufeki kifo!!

Kwahaya maigizo nina imani hata katika story yake kuna over exaggeration nyingi sana kuliko uhalisia!

I smell something fishy here!!
So alikuwa storyteller ambaye muhusika mkuu mwisho wa picha alitakiwa kufa???? Anyway wao na dunia yao. Ya Jf yatabakia Jf
 
So alikuwa storyteller ambaye muhusika mkuu mwisho wa picha alitakiwa kufa???? Anyway wao na dunia yao. Ya Jf yatabakia Jf
kama leo hii nikifa utasema kuwa Gily alikuwa wa maigizo. Ila humu ndani kuna watu wananijua fika mpaka na familia yangu kama Nourhan, Ms eyes, mwachiluwi na wengine nazungumz nao nje ya jF kama CK Allan, kuna watu nimefanya nao business nk

mtu akiona maigizo huwezi mzuia kama yatampa amani ya moyo wake ni kheri pia. .
 
Advance hio sis mi form 5 ye 2nd year !! Outing day ni kwa mwamba tu [emoji23][emoji23]! Ananinunulia chips mayai mishikaki na soda nakula tukimaliza Nakumbuka alikua ananikanda na mabarafu mwili mzima ananifuta vizuri kisha anaenda kuniogesha [emoji2960][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] !
Life la boarding na ujana bana!!
Mpaka nimeona wivu walahi ukizingatia tupo kipindi cha majonzi [emoji24]
 
Gily tupatie updated basi msiba upo wap na mazishi yanafanyikia wap wenye uwezo na kama wapo hapo A town wahudhurie
Hivi mnakuwa hampitii comments?????!!!

Gily kashaliongelea hana update yoyote toka aongee na mtoto wa marehemu Harrison akamwambia wanaenda Finland kuaga kisha watammoumzisha nyumba yake ya milele kwao Arusha pembeni ya Mama yake na mtoto alimwambia atamtafuta akili yake ikikaa sawa toka hapo hajawasiliana nao tena na wala alipowatafuta no response 👎🙅
 
Hivi mnakuwa hampitii comments?????!!!

Gily kashaliongelea hana update yoyote toka aongee na mtoto wa marehemu Harrison akamwambia wanaenda Finland kuaga kisha watammoumzisha nyumba yake ya milele kwao Arusha pembeni ya Mama yake na mtoto alimwambia atamtafuta akili yake ikikaa sawa toka hapo hajawasiliana nao tena na wala alipowatafuta no response [emoji107][emoji135]
Okay,lkn yeye mwenyewe aliahidi ataendelea kutupatia taarifa kadiri anavyopata,ila na imani muda leadermoe atakua ameshapumzishwa kwenye makazi yake ya milele[emoji24][emoji26]
 
Kumbe ndo uyu mwamba wame zika toka last week mbona .naona mme pigwa kalenda mjuba yuko chini zamani sanaaa au hamna wadau wakubwa Arusha.
 
Back
Top Bottom