Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Part Seven A: All I think about is you.


1995 - 1998

Baada ya matokeo ya kidato cha sita, na mama kukataa nisiende Finland nikaenda chuo kikuu Dar-es-Salaam .

Sikupenda kukaa hostel, kulikuwa na uwezekano wa kukaa na kaka Edwin kule kigamboni, ila nilikataa kwa sababu ya kua mbali na chuo.

Pia baba alikuwa anaishi tabata bima napo sikupapemda kwa kigezo cha umbali na chuo, ikabidi wanikubalie nipange chumba riverside.

Nilipata self yenye chumba, sebule, jiko na choo.

Mpaka kipindi hicho nilikuwa na vyanzo vya mapato kadhaa. Boom,baba, mama, kaka Edwin na Mr. Collins. Nilinunua kila kitu kinachofaa kuwepo kwenye chumba cha kijana wa kisasa.

Nilikuwa na Jvc UX c7 yenye cassette tape and cd changer (mziki mnene kipindi hicho) , jokofu, kabati la nguo, jiko la umeme, mashine ya kufulia nguo, feni, kitanda na godoro 5*6 na vyombo vya kupikia.
…….
Mpaka mwaka wa kwanza wote unaisha niliendelea kutembea na Zaituni na Zainabu.

Na hawakuwahi fika kwenye chumba changu. Eneo letu lilikuwa kigamboni kwa kukwepa wao kuoneka na ndugu zao maana waliishi magomeni.

Tulikuwa tunakutana feri kisha tunachukua taksi mpaka pale ilipo mikadi beach,harafu ukiwa unatoka mikadi kama unarudi kivukoni lakini ukiwa baharini kuna beach nyingine ilikuwa inapaka na mikadi ila haikuwa ikitumika kibiashara.

Mbele ya hiyo beach ni eneo la jeshi (navy ) kulikuwa na mapori. Tukawa tunaingia pale mikadi kisha tunaenda kukaa hilo eneo linalopakana na jeshi. Ni eneo liko kimya sana, hata pale mikadi kulikuwa patulivu sana katikati ya wiki.

Hatukuwa tunaenda mwisho wa wiki kukwepa wao kuonekana na ndugu zao maana mikadi ilikuwa inajaza sana.

Tukawa tunamalizana hapo chini ya mti. Mimi sikuwa na hofu na eneo hilo ingawa wanajeshi walikuwa wakikamata raia pale unasurubiwa.

Sikuwa na hofu kwa vile kaka Edwin alikuwa hapo navy akiwa na cheo cha luteni. Nilikuwa namtembelea mara kwa mara kambini, kwa hiyo nikikamatwa nawatajia mimi ni mdogo wa luteni Edwin.

Wengi wao walikuwa wananijua, na hata wasionijua wakisikia cheo cha Luten Edwin wananiacha maana wengi ni ma Mp na vyeo vingine vya chini.
………..

Nikiwa mwaka wa 2 nikakutana na mtoto nzuri kutoka songea anaitwa Rosemary, alikuwa mrembo sana.

Nilimpenda sana toka siku ya kwanza nimemuona, moyo wangu uliniambia huyu ndie.

Rosemary alikuwa na chocolate colour, hips kiasi, kiuno dondora tumbo dogo, macho mazuri, lips nene. Aliuhifadhi uzuri wake huo ndani ya gauni la pink, kikoti cheupe, handbag nyeupe na chini viatu vyenye visigino vifupi.

"The girl got me the first day I met her."

Kuna msanii aliimba
"Midomo wet si mikavu, ona wanaona wivu
Umejazika sio sana, maana sana inaboa
Hasa kwa sisi waungwana, sana inaboa
Macho na hizo hips, nakufa kabisa"

Izzo B, you are absolutely right
Sana inabia.

Siku hiyo sikufanikiwa kuongea nae ila nilifanikiwa kujua yuko mwaka wa 1. Watu watakunyia chakula ila sio maneno. Nililetewa taarifa zake zote ndani ya dakika chache tu.

Nimetumia kauli ya kuletewa maana nilikuwa na marafiki wenyeji wa jiji, pia nilikuwa nakopesha wanafunzi hasa wasichana. Boom likitoka wananirudishia. Nilipendwa na kujulikana na wengi, hivyo kupata taarifa ni chap.

Baada ya michakato kadhaa nilifanikiwa kupata nafasi ya maongezi na Rosemary na tukaanza kuwa marafiki.

Baada ya mwezi mmoja wa urafiki, Rosemary alinishirikisha kuhusu mama yake kuwa mgonjwa. Alikuwa amelazwa regional hospital na Rosemary hakuwa na pesa ya kuwasaidia.

Alipo nishirikisha nakumbuka sikumjibu ila nilimpa pole tu, (lengo lake kunishirikisha alitaka nimkopeshe pesa, akipata boom arudishe), baada ya vipindi nilienda posta ya zamani kuchukua hela pale NBC.

Kesho yake asubuhi nilimtafuta pale chuo kupitia kwa rafiki zake, nikamwambia akipata wasaa tuonane.

Sikutaka kumpa hela pale chuo maana nilikusudia kumpa kiasi kikubwa hivyo nisingeweza kumpa maelezo ya kueleweka pale. (niliepusha emotions mbele za watu)

Jioni Rosemary alinitafuta akiwa na Hadija rafiki yake kipenzi. Niliwaomba twende nyumbani kwangu ili tukaongee, walikubali nikachukua taksi.

'miaka hiyo usafiri mkubwa ni taksi, hakukuwa na boda boda wala bajaji' .

Tulipofika nyumbani walishangaa kuona palivyo wakahisi naishi kwa ndugu, niliwaeleza pale ni kwangu.

Baada ya kupata chakula tulianza maongezi huku tunaamgalia movies. (nimefundishwa kupika toka niko mdogo, nikila hotel basi ni emergency tu, nilikuwa na kila kitu ndani, I made them dinner.)


**********
Next

Part Seven B: All I think about is you.

Medical support to her mother.
Table.jpg
Jvc.jpg
Kabati%20la%20nguo.jpg
Jiko.jpg
Bed.jpg
Jokofu.jpg
Fan.jpg
Sana%20inaboa.jpg
 
Part Seven B: All I think about is you.

Medical support to her mother.

Niliomba kuongea na Rosemary akiwa mwenyewe ikabidi Hadija atusubiri pale sebuleni akiangalia filamu kwenye ile thinkpad 700.

Nilimshika Rosemary mkomo na kumuongoza chumbani, tulikaa juu ya kitanda.

Nilimwambia Rosemary nitampa pesa akaitume nyumbani kwa ajili ya matibabu ya mama yake, alisita kukubali lile wazo.

Rosemary: " ni kweli mama anaumwa na sina pesa ya kumsaidia, lakini kwa nini unanipa pesa, na nitatoa wapi hela ya kurudisha." (wasichana bwana, kwani alivyotaka nimkopeshe angetoa wapi ya kurudisha.)

Nilimwambia nampa hela ya matibabu ya mama yake kwa kuwa nimependa kumsaidia.

Rosemary: " kuna watu wangapi wana shida kwa nini unione mimi?"

Alianza kudondosha jozi, nilimuonea huruma kwa vile alikuwa anaumia moyoni, hana pesa mama anaumwa, hana namna ya kupata hata mkopo.

Edson: "Rosemary tafadhali naomba usilie, wewe ni rafiki yangu, nakupenda sana. Marafiki wa kweli husaidiana kwenye shida na raha. Naomba uniamini kuwa nakupa hii hela kwa ajili ya matibabu ya mama na sihitaji unirudishie na isipotosha naomba unijulishe tafadhali".

Rosemary aliacha kulia akaipokea ile hela. Ilikuwa laki moja na elfu themanini kwa ajili ya mama na elfu kumi na tano ya kwake, na elfu tano kwa ajili ya usafiri wao kurudi hostel, jumla laki 2. (mkopo wake alitaka elfu 40)

Sikutaka tuendelee kukaa pale chumbani maana nilishaanza kusisimka na sikuona ni busara kuanzisha maongezi ya kimapenzi siku ile.

Tuliungana na Hadija kuangalia filamu baada ya chakula niliwatafutia taksi wakaondoka kurudi hostel.

Every time our eyes meet
This feeling inside me
Is almost more than I can take

I've never been this close to anyone or anything
I can hear your thoughts, I can see your dreams

I don't know how you do what you do
I'm so in love with you
It just keeps getting better

I wanna spend the rest of my life
With you by my side
Forever and ever

Every little thing that you do
Baby, I'm amazed by you

The smell of your skin
The taste of your kiss
The way you whisper in the dark

Your hair all around me
Baby, you surround me
You touch every place in my heart

Oh, it feels like the first time every time
I wanna spend the whole night in your eyes
I don't know how you do what you do

I'm so in love with you
It just keeps getting better
I wanna spend the rest of my life
With you by my side
Forever and ever

Every little thing that you do
Baby, I'm amazed by you
Every little thing that you do
I'm so in love with you

It just keeps getting better
I wanna spend the rest of my life
With you by my side
Forever and ever

Every little thing that you do
Oh, every little thing that you do
Baby, I'm amazed by youholding it tight

Emotional touch
Touching my skin
And askin' you to do
What you've been doing
All over again

Oh, it's a beautiful thing
Don't think I can keep it all in
I just gotta let you know
What it is that won't let me go

Better than I was
More than I am
And all of this happened
By taking your hand
And who I am now
Is who I wanted to be
And now that we're together
I'm stronger than ever, I'm happy and free

Oh, it's a beautiful thing
Don't think I can keep it all in (oh oh)
And if you ask me why I've changed
All I gotta do is say your sweet name

It's your love
It just does something to me
It sends a shock right through me
I can't get enough
And if you wonder
About the spell I'm under
Oh it's your love
(Woah oh baby)
(Oh, oh, oh)

Oh, it's a beautiful thing
Don't think I can keep it all in
I just gotta let you know
What it is that won't let me go
It's your love

It just does something to me
It sends a shock right through me
I can't get enough
(Oh) And if you wonder
About the spell I'm under
Oh it's your love
It's your love
It's your love

Penzi la Rosemary lilishaniteka bila yeye kujua.
……………

Baada ya wiki kupita Rosemary alinitembelea pale kwangu. Safari hii alikuja peke yake bila Hadija.

Ikikuwa jumamosi alifika mapena saa 4 asubuhi, alifanya maandalizi ya chakula, nikafata maini na matunda maana vitu vingine vilikuwepo ndani. Alipika wali na maini rosti, tulikula na kushushia soda za vimto zilikuwa hazishi ndani.

Rose aliponikaribisha chakula, nikakumbuka ule msemo

"When a beautiful woman invites you to a good meal, you start asking yourself if I should start with the food or the chef."

Rosemary anajua kupika, nilikula rosti matata sana siku hiyo, wali wa hiriki, pembeni vimto baridi.

Baada ya chakula tukaanza maongezi huku tunaangalia filamu, tuliongea mengi hatime ukafika wakati mwafaka.

Rosemary turned to me because she and I sat on the same couch. She grabbed my hands and put them on her lap and we were watching each other face to face.

(Baby, when you touch me
I can feel how much you love me
And it just blows me away)


Rosemary : " Edson nakushukuru kwa msaada wako wa pesa, mama alitibiwa na kurudi nyumbani, sijui usingenipa ile hela ingekuwaje maana baba hakuwa na pesa wakati huo."

Edson: "Don't worry Rosemary tumeumbwa kusaidiana tunapoweza bila kujali unatoa msaada kwa nani, nilikuonea huruma baada ya kunieleza shida yako na nilikuwa na uwezo wa kukusaidia ndio maana nilikusaidia."

Rosemary, I'm still trying to figure out if I've met an angel. Because I don't think one person can help another to that extent bila kuhitaji kurudishiwa, na huyo mtu huna uhusiano nae wala sio ndugu yako."

Rosemary : " Labda iko siku nitaamini ila kwa sasa ngoja nijiionee huu muujiza au labda ni ndoto nitaamka. "

Rosemary aliongea akiwa ananitazama usoni, alionekana ni binti mwenye busara sana na maadili mema, kutokana na maneno yake alivyoyapangilia. Sura yake iilionyesha anamaanisha anacho kiongea toka moyoni.

Edson: " Rosemary Mungu ana njia nyingi sana za kumsaidia mtu anaemuomba, anaweza kutumia malaika au binadamu mwenzako kukuonyesha njia. Nilitimiza wajibu wangu kwa lile nililokuwa na uwezo nalo. "

Rosemary : " Asante sana Edson, sina cha kukulipa ila nakuombea kwa Mungu ulipwe kwa ukarimu wako hapa hapa duniani, na upate haja ya moyo wako. Wakati naburudishwa na sauti tamu ya Rosemary, The Ronettes walikuwa wanatusindikiza na wimbo be my baby

***
Song: Be My Baby
Artist: The Ronettes
Album: Be My Baby
Released: 1963
Genres: R&B/Soul, Pop, Jazz

The night we met I knew I needed you so
And if I had the chance I'd never let you go
So won't you say you love me?
I'll make you so proud of me
We'll make 'em turn their heads every place we go

So won't you, please (be my, be my baby)
Be my little baby? (My one and only baby)
Say you'll be my darlin' (be my, be my baby)
Be my baby now (my one and only baby)
Whoa-oh-oh-oh

I'll make you happy, baby, just wait and see
For every kiss you give me, I'll give you three
Oh, since the day I saw you
I have been waiting for you
You know I will adore you 'til eternity

So won't you, please (be my, be my baby)
Be my little baby? (My one and only baby)
Say you'll be my darlin' (be my, be my baby)
Be my baby now (my one and only baby)
Whoa-oh-oh-oh

So come on and, please (be my, be my baby)
Be my little baby? (My one and only baby)
Say you'll be my darlin' (be my, be my baby)
Be my baby now (my one and only baby)
Whoa-oh-oh-oh

Be my little baby? (My one and only baby)
Oh-oh-oh (be my, be my baby)
Oh (my one and only baby)
Whoa-oh-oh-oh (be my, be my baby)
Oh-oh-oh (My one and only baby)
Oh (be my, be my baby)

I was like, has this lady gone crazy? Why she's telling me that, I know she's got something for me. [emoji39]

**********
Next
Part Seven C: All I think about is you.

#I got Rosemary's sweet fruit.#
Table.jpg
Bed.jpg
Vimto%202.jpg
Sana%20inaboa.jpg
 
Back
Top Bottom