Part Seven B: All I think about is you.
Medical support to her mother.
Niliomba kuongea na Rosemary akiwa mwenyewe ikabidi Hadija atusubiri pale sebuleni akiangalia filamu kwenye ile thinkpad 700.
Nilimshika Rosemary mkomo na kumuongoza chumbani, tulikaa juu ya kitanda.
Nilimwambia Rosemary nitampa pesa akaitume nyumbani kwa ajili ya matibabu ya mama yake, alisita kukubali lile wazo.
Rosemary: " ni kweli mama anaumwa na sina pesa ya kumsaidia, lakini kwa nini unanipa pesa, na nitatoa wapi hela ya kurudisha." (wasichana bwana, kwani alivyotaka nimkopeshe angetoa wapi ya kurudisha.)
Nilimwambia nampa hela ya matibabu ya mama yake kwa kuwa nimependa kumsaidia.
Rosemary: " kuna watu wangapi wana shida kwa nini unione mimi?"
Alianza kudondosha jozi, nilimuonea huruma kwa vile alikuwa anaumia moyoni, hana pesa mama anaumwa, hana namna ya kupata hata mkopo.
Edson: "Rosemary tafadhali naomba usilie, wewe ni rafiki yangu, nakupenda sana. Marafiki wa kweli husaidiana kwenye shida na raha. Naomba uniamini kuwa nakupa hii hela kwa ajili ya matibabu ya mama na sihitaji unirudishie na isipotosha naomba unijulishe tafadhali".
Rosemary aliacha kulia akaipokea ile hela. Ilikuwa laki moja na elfu themanini kwa ajili ya mama na elfu kumi na tano ya kwake, na elfu tano kwa ajili ya usafiri wao kurudi hostel, jumla laki 2. (mkopo wake alitaka elfu 40)
Sikutaka tuendelee kukaa pale chumbani maana nilishaanza kusisimka na sikuona ni busara kuanzisha maongezi ya kimapenzi siku ile.
Tuliungana na Hadija kuangalia filamu baada ya chakula niliwatafutia taksi wakaondoka kurudi hostel.
Every time our eyes meet
This feeling inside me
Is almost more than I can take
I've never been this close to anyone or anything
I can hear your thoughts, I can see your dreams
I don't know how you do what you do
I'm so in love with you
It just keeps getting better
I wanna spend the rest of my life
With you by my side
Forever and ever
Every little thing that you do
Baby, I'm amazed by you
The smell of your skin
The taste of your kiss
The way you whisper in the dark
Your hair all around me
Baby, you surround me
You touch every place in my heart
Oh, it feels like the first time every time
I wanna spend the whole night in your eyes
I don't know how you do what you do
I'm so in love with you
It just keeps getting better
I wanna spend the rest of my life
With you by my side
Forever and ever
Every little thing that you do
Baby, I'm amazed by you
Every little thing that you do
I'm so in love with you
It just keeps getting better
I wanna spend the rest of my life
With you by my side
Forever and ever
Every little thing that you do
Oh, every little thing that you do
Baby, I'm amazed by youholding it tight
Emotional touch
Touching my skin
And askin' you to do
What you've been doing
All over again
Oh, it's a beautiful thing
Don't think I can keep it all in
I just gotta let you know
What it is that won't let me go
Better than I was
More than I am
And all of this happened
By taking your hand
And who I am now
Is who I wanted to be
And now that we're together
I'm stronger than ever, I'm happy and free
Oh, it's a beautiful thing
Don't think I can keep it all in (oh oh)
And if you ask me why I've changed
All I gotta do is say your sweet name
It's your love
It just does something to me
It sends a shock right through me
I can't get enough
And if you wonder
About the spell I'm under
Oh it's your love
(Woah oh baby)
(Oh, oh, oh)
Oh, it's a beautiful thing
Don't think I can keep it all in
I just gotta let you know
What it is that won't let me go
It's your love
It just does something to me
It sends a shock right through me
I can't get enough
(Oh) And if you wonder
About the spell I'm under
Oh it's your love
It's your love
It's your love
Penzi la Rosemary lilishaniteka bila yeye kujua.
……………
Baada ya wiki kupita Rosemary alinitembelea pale kwangu. Safari hii alikuja peke yake bila Hadija.
Ikikuwa jumamosi alifika mapena saa 4 asubuhi, alifanya maandalizi ya chakula, nikafata maini na matunda maana vitu vingine vilikuwepo ndani. Alipika wali na maini rosti, tulikula na kushushia soda za vimto zilikuwa hazishi ndani.
Rose aliponikaribisha chakula, nikakumbuka ule msemo
"When a beautiful woman invites you to a good meal, you start asking yourself if I should start with the food or the chef."
Rosemary anajua kupika, nilikula rosti matata sana siku hiyo, wali wa hiriki, pembeni vimto baridi.
Baada ya chakula tukaanza maongezi huku tunaangalia filamu, tuliongea mengi hatime ukafika wakati mwafaka.
Rosemary turned to me because she and I sat on the same couch. She grabbed my hands and put them on her lap and we were watching each other face to face.
(Baby, when you touch me
I can feel how much you love me
And it just blows me away)
Rosemary : " Edson nakushukuru kwa msaada wako wa pesa, mama alitibiwa na kurudi nyumbani, sijui usingenipa ile hela ingekuwaje maana baba hakuwa na pesa wakati huo."
Edson: "Don't worry Rosemary tumeumbwa kusaidiana tunapoweza bila kujali unatoa msaada kwa nani, nilikuonea huruma baada ya kunieleza shida yako na nilikuwa na uwezo wa kukusaidia ndio maana nilikusaidia."
Rosemary, I'm still trying to figure out if I've met an angel. Because I don't think one person can help another to that extent bila kuhitaji kurudishiwa, na huyo mtu huna uhusiano nae wala sio ndugu yako."
Rosemary : " Labda iko siku nitaamini ila kwa sasa ngoja nijiionee huu muujiza au labda ni ndoto nitaamka. "
Rosemary aliongea akiwa ananitazama usoni, alionekana ni binti mwenye busara sana na maadili mema, kutokana na maneno yake alivyoyapangilia. Sura yake iilionyesha anamaanisha anacho kiongea toka moyoni.
Edson: " Rosemary Mungu ana njia nyingi sana za kumsaidia mtu anaemuomba, anaweza kutumia malaika au binadamu mwenzako kukuonyesha njia. Nilitimiza wajibu wangu kwa lile nililokuwa na uwezo nalo. "
Rosemary : " Asante sana Edson, sina cha kukulipa ila nakuombea kwa Mungu ulipwe kwa ukarimu wako hapa hapa duniani, na upate haja ya moyo wako. Wakati naburudishwa na sauti tamu ya Rosemary, The Ronettes walikuwa wanatusindikiza na wimbo be my baby
***
Song: Be My Baby
Artist: The Ronettes
Album: Be My Baby
Released: 1963
Genres: R&B/Soul, Pop, Jazz
The night we met I knew I needed you so
And if I had the chance I'd never let you go
So won't you say you love me?
I'll make you so proud of me
We'll make 'em turn their heads every place we go
So won't you, please (be my, be my baby)
Be my little baby? (My one and only baby)
Say you'll be my darlin' (be my, be my baby)
Be my baby now (my one and only baby)
Whoa-oh-oh-oh
I'll make you happy, baby, just wait and see
For every kiss you give me, I'll give you three
Oh, since the day I saw you
I have been waiting for you
You know I will adore you 'til eternity
So won't you, please (be my, be my baby)
Be my little baby? (My one and only baby)
Say you'll be my darlin' (be my, be my baby)
Be my baby now (my one and only baby)
Whoa-oh-oh-oh
So come on and, please (be my, be my baby)
Be my little baby? (My one and only baby)
Say you'll be my darlin' (be my, be my baby)
Be my baby now (my one and only baby)
Whoa-oh-oh-oh
Be my little baby? (My one and only baby)
Oh-oh-oh (be my, be my baby)
Oh (my one and only baby)
Whoa-oh-oh-oh (be my, be my baby)
Oh-oh-oh (My one and only baby)
Oh (be my, be my baby)
I was like, has this lady gone crazy? Why she's telling me that, I know she's got something for me. [emoji39]
**********
Next
Part Seven C: All I think about is you.
#I got Rosemary's sweet fruit.#