Part Eight C: If you wear my shoes, you won't walk.
[emoji1666]I'll marry your daughter.
Tihamba Songea, 'Twende Songea.'
April 18, 1999
Napokea taarifa kuwa Rosemary ni mja mzito. Kweli mpaka wakati huu sikuwa sawa kutokana na matukio ya haraka haraka.
Nilimwambia mama kuhusu mimba ya Rosemary, mama alifurahi sana.
(nikajiuliza mbona kwa Violet hakufurahi hivyo)
Alinishauri nimveshe pete Rosemary mapema, kisha tufanye mipango ya ndoa ili mtoto azaliwe ndani ya ndoa.
Mama alitaka kabla sijamvesha Pete Rosemary , nimweleza kuhusu Violet. Tulikubaliana kisha Rosemary Akaitwa aje, Lengo tuongee mbele ya mama.
Nilimwambia mama siwezi kumweleza kuhusu Violet, kwa sababu nitamuumiza na huenda nikamkosa.
(I cheated on her and I slept with Violet, I lied to her about my trip.)
Mama alisema nisiogope ni bora nipate dawa mapema hata kama ni chungu, kuliko kuficha ugonjwa utakao niumbua baadae.
Rosemary alikuwa mtiifu sana, (kama vile alikuwa na hamu na ndoa), alikuja tukawa na kikao kidogo.
Mama : " sasa mama nimekuita ili tuongee, kuna mambo unapaswa kuyajua kabla uhusiano wenu haujafika mbali sana."
"Kuna mambo ukiyajua mapema hayatakuumiza Kam vile ukifichwa ukajua baadae, au unasema uongo mama?. "
Rosemary: "Nikweli mama"
Mama : " Sijajua malengo yenu ni yapi, uhusiano wenu ukoje. Nataka mnieleze leo ili tuone namna ya kufanya, ndio maana tuko wote hapa."
"Edson unatakiwa uanze wewe, mwanaume ndie huanzisha mahusiano."
Edson : "Sawa, mimi nampenda sana Rosemary , natamani siku moja awe mke wangu."
Mama: " umemsikia mwenzako mama.?"
Rosemary : " Nimesikia mama, kwa upande wangu sitamani siku moja, natamani hata sasa niolewe na Edson, ni mwanaume mwenye upendo sana, nampenda sana tangu tumefahamiana. "
Mama :" kumbe mnapendana, inabidi sasa muwekane wazi mapito yenu, Edson. "
Edson :" Mama sasa mimi niongee nini tena, nisaidie tu maana unajua. "
Mama: " Huna aibu kudeka mbele ya mwanamke?, Rosemary mama, kuna jambo mwenzako anashindwa kukwambia, ni kwa vile anakupenda, anahofu kukuumiza. Ila inabidi ulijue sasa. "
" unajua kama mwenzako anatarajia kuwa na watoto.? "
Rosemary alikodoa macho, akaniangalia usoni kisha wakamjibu mama.
Rosemary :" Hapana mama, hajawahi niambia. "
She was like, better be a lie, or else I'll show you.
Mama : " alihofia kukuumiza, anatarajia kupata watoto mapacha , huko Finland. "
" Rosemary gazed at me again with piercing eyes, her face fading."
Mama : " ni vizuri ukajua ukweli ili msije gombana mbeleni, maana dunia haina siri."
Rosemary :" nashukuru sana mama kwa kunijulisha hili, Edson hakuwahi niambia, lakini nafikiri ni kwa vile hatukuwahi kuongele mipango ya ndo. Nimefurahi kuujua ukweli mapema"
(Rosemary was talking with her eyes on me, like she was saying what you didn't have in me.)
Kwa jibu lile moyo ulishtuka, nikajua nimemkosa Rosemary.
Mama : " Sawa mwanangu, sasa mwenzako anataka muoane, naomba kusikia kutoka upande wako, uko tayari?."
Mommy's been helping out until she's done too much.
Edson : " Mama mbona uko speed sana. Rosemary kwanza nashukuru kwa kunielewa, ni kweli sikuwahi kulisema hili kwa vile sikuwa najua namna nzuri ya kukujulisha, mama amenisaidia, asante mama. "
" I got up off the couch and took the ring from my pocket (gold ring ). I stretched out my left hand (I asked her to receive me).
I said to Rosemary,
Edson : "my love, I seek approval from your heart, I need you in my life. "
Rosemary alidondosha chozi, akatulia kama dakika 1, kisha akainuka na kuupokea mkono wangu,
Rosemary : "Edson, I am ready to give you consent in my heart, I have taken care of your position since I knew you. I've been waiting for you to come and ask me, finally today it's come true, thank you Edson."
Nilimvalisha mchumba wangu Pete, kama ishara ya uchumba rasmi mbele ya mama.
Mama alifurahi, na kigeregere kidogo
Edson :" Asante sana Rosemary kwa kupokea moyo wangu, nakuahidi hutajutia uamuzi huu, Asante sana.
Niliongea nikimvuta Rosemary ili nimkumbatie
Rosemary : "Edson, I love you so much."
Mama akaona amesahaulika, akasema
Mama : " wanangu nimefurahi kwa hatua yenu hii, nimefurahi kuona mnavyopendana. Nawatakia maisha mema wanangu, Mungu awatangulie daima."
Mama alimaliza akanitemea mate usoni na mikononi kama ishara ya Baraka, wakafanya hivyo kwa Rosemary pia, kisha akashika tumbo la Rosemary na kutamka
Mama : " kuanzia siku hii ya leo, tumbo hili libebe watoto wenye afya njema, wenye kuwatii wazazi wao, waheshimu kila mtu, wamatafute Mungu siku zote."
" Mheshimiane, mpendane, mtunziane siri. Malizeni tofauti zenu haraka inapobidi ili msifaidishe watu. Nawaombea maisha yenye Baraka tele, mzae na kule , msomeshe na kuoza watoto wenu. "
Edson na Rosemary:" Asante sana mama. "
Song: Golden Hour
Artist: Kacey Musgraves
Released: 2018
Album: Golden Hour
Genre: Country
All that I know
Is you caught me at the right time
Keep me in your glow
'Cause I'm havin' such a good time with you
Baby, don't you know
That you're my golden hour
The color of my sky
You set my world on fire
And I know, I know everything's gonna be alright
I used to get sad
And lonely when the sun went down
But it's different now
'Cause I love the light that I found in you
Baby, don't you know
That you're my golden hour
The color of my sky
You set my world on fire
And I know, I know everything's gonna be alright
Mm
You make the world look beautiful, ooh
I thought I'd seen it all before
But lookin' through your eyes
It looks like paradise
You set my world on fire, yeah
And I know, I know everything's gonna be alright
You're my golden hour
The color of my sky
You set my world on fire
And I know, I know everything's gonna be alright
Yeah, I know, I know everything's gonna be alright
Golden hour
Oh
**********
Next
Part Eight D: If you wear my shoes, you won't walk.
[emoji593]Tihamba Songea, 'Twende Songea.