leadermoe
JF-Expert Member
- Feb 15, 2017
- 1,392
- 4,588
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie aweke kitimoto kingiMarahaba mdogo wangu. Nitakaribia nitakuja na Johnnie Walker n leadermoe ngoja tujipange. .
Shida sili kitimoto nina allergy nayo😬😀Mwambie aweke kitimoto kingi
NuktaaaaPart Eight B : If you wear my shoes, you won't walk.
[emoji1284]You're going to be a daddy.
Jan 22, 1999, nilipokea email toka kwa Violet nilipoifungua nilikuta taarifa za yeye kupata mimba.
(nililala nae zike wiki tatu nikiwa Finland ).
Mambo mawili yalitokea, kwanza nilipata furaha sana nikiamini naenda kupata mtoto na mzungu, jambo la pili liliondoa furaha yangu baada ya kukumbuka kuwa sitamuoa Violet .
Nilimweleza mama kuhusu hiyo taarifa, lakini alisema kama kweli ni damu yangu atanitafuta tu.
(mama aliamua kunikatisha tamaa kuhusu Violet kisa Rosemary).
***
March 12, 1999, ninapokea tena email toka kwa Violet akinitaarifu kuhusu kifo cha baba yake.
Mzee Collins alipata ajari ya gari, aligongwa na roli na kuingia mtaroni. Akikuwa anatoka shambani kwake, baada ya kumfikisha hospitali alifarika ndani ya masaa wawili tu.
Nilichanganyikiwa sana kwa taarifa iile,
" Nimempoteza baba nikiwa na ahadi nae ya kunywa chai na wajukuu zake, haikutimia"
"Ninamkosa Violet ambae amebeba damu yangu, ahadi ya ndoa imekufa."
"Nimempoteza mzee Collins huku akiwa ameniahidi kunifundisha mbinu za kufanikiwa katika biashara, ahadi haijatimia."
Matukio yote hayo, yametokea chini ya miezi 3 tu. Unaweza kuhisi niliumia kiasi gani.
Nilimuomba mama aniruhusu niende msibani.
Lengo langu ni kwenda msibani, kisha nipate wasaa wa kumweleze Violet kuhusu ombi lake la ndoa, na maamuzi yangu, nikirudi iwe mazima, maana niliamini Violet hatataka kuniona tena baada ya kujua ukweli.
***
Nilishiriki mazishi ya mzee Collins, nikitumia nafasi hiyo kumfariji Violet na mama yake. Nilikaa wiki moja tu, nilijilizisha kuhusu mimba ya Violet na nikawa na uhakika ni yangu. Nimekaa nae wiki tatu ikiwa ni mwezi December 18, Jan 30 ananitaarifu ana mimba.
Sikuweza kumueleza kuhusu maamuzi yangu kutokana na hali aliyokuwa nayo , niliamua kunyamaza.
(ana mimba changa, amepoteza baba)
Nilimshauri ahamie kwa mama ili apate mtu wa kum-care, alikubali. Wiki ilipoisha nilimuaga Violet na mama yake ili nirudi nyumbani.
Mama alinipatia bag lilikua na documents ndani. Akaniambia ni mzigo wangu toka kwa mume wake.
Kumbe uliandaliwa kabla sijaondoka kule ile safari ya kwanza, walishindwa nipatia kutokana na zile taarifa za msiba.
Nilipokea lile bag, lakini nilipanga kuangalia kilichomo nikifika Dar ili kama nimepigwa za mbavuni niwe nimesharudi kwetu.
Kesho yake niliondoka, nilimwomba Violet apumzike tu, asinisindikize kutokana na hali yake."
Kiitos
**********
Next
Part Eight C: Tihamba Songea, 'Twende Songea.'
April 18, 1999
View attachment 2564006View attachment 2564007View attachment 2564008
Imekuwa fupi chief,hii simulizi ni tamu sana. Nasubiri muendelezo.Part Eight B : If you wear my shoes, you won't walk.

Pamoja man[emoji120]Changia mawazo mkuu, kimya kimya sio poa. Hapa tunashea na ku enjoy