Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Wajina kamwaga maji mengi eti wachaga wana maji?πŸ˜€
Kila mwanamke ana maji inategemea na jitihada za mchotajiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜!!
Na ukiona mwanaume anamfanya mwanamke mpaka kufikia kumtoa maji jua huyo ni mwambaaaaa!! Sio Kazi rahisi kabisa lazima awe fundiiii certified expert mdeadly!! !!
 
Ungependa sanamu lako tuliweke wapi, magogoni jumba jeupe au mwenge pale lugalo.
 
Yani mtu mnakutana tu na kumshushia matatizo yako thubutuuuu... sio nyie wanaume wa kibongo labda πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!!
Lazima atumie fursaaa nashida zako ukafie mbele hukooπŸ˜‚πŸ˜
Hakunieleza matatizo yake kwa kupenda.
Nilimdadisi sana tena kwa masaa mengi ndio hatimae akafunguka.

Pia ni single mother, hakutaka kuchezea fursa, huwezi jua labda mchumba anatafutwa. 😁
 
Wangoni washakuharibu unatembeza tu rungu huwa unakumbuka kupima kweli cousin???πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜!!
Sio wangoni hata,
Ni tatizo la kuwa mkubwa kabla hujapitia ujana. Kila stage maishani ni ya muhimu sana, ukiiruka unakuja ilipia uzeeni huko.

Ndio maana unakuta mama mika 60 kijana mika 18, baba mika 70 binti mika 21
 
Yani mtu mnakutana tu na kumshushia matatizo yako thubutuuuu... sio nyie wanaume wa kibongo labda πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!!
Lazima atumie fursaaa nashida zako ukafie mbele hukooπŸ˜‚πŸ˜
Ila naomba kuuliza, hivi kwa nini wanawake mnawaza kuwa namgea mwanaume, kwani mwanaume yeye hampi mwanamke malovudovu?
 
[emoji38][emoji38][emoji38]nawapa ofa watani zangu waje niwafundishe mauno wasidhalilike tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…