Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Acha uchokozi mkuu.
Antonnia ni mke wa mtu, ni shemeji yangu, usisumbue hisia zake tafadhari. 😂

Umeona umvae huyo? Yule ni wakishimundu kule hakuna maendeleo, tena ndugu yako Alfred alijiona mjanja akaenda kula chuma South.

Nina RB na chagga nature wote, nanza
na wewe😂😂😂🏃🏃🏃
Unafikiri mpaka wachaga wanafika mjini wanavuka mito mingap😀😀😀🤣 ukamkamate kirahisi. Analyse naye alikizwa na mchaga akalia kama mtoto mdogo na alichezea makofi hapo marangu mtoni😀

Ila siku hizi watu hawaaminiki kabisa ukitaka upoteze mda wako fanya kazi na watu wenye roho za kimasikini
 
Hapo ulipigwa laki tatu na napigia hesabu nauli ulitoa wewe. Haha ila wachaga wazuri sana hutojutia. .
Ndivyo Nilivyo mkuu, pesa ni karatasi tu, utu kwanza.

Sasa ulitaka nisimpe hata nauli? Tena alipata ya tax kutoka ubungo mpaka mtoni kijichi, sema kwa kuwa ni chagga nature, akaona apande daladala. Elewiiiiiii

Wambie wapunguze kuongea kichagga wakinogewa. 🤣
 
Unafikiri mpaka wachaga wanafika mjini wanavuka mito mingap😀😀😀🤣 ukamkamate kirahisi. Analyse naye alikizwa na mchaga akalia kama mtoto mdogo na alichezea makofi hapo marangu mtoni😀

Ila siku hizi watu hawaaminiki kabisa ukitaka upoteze mda wako fanya kazi na watu wenye roho za kimasikini
Kweli kabisa.

Alfred alikuwa mjinga sana. Cha ajabu akaenda kujihusisha ma sembe South, jamaa wakam murder baada ya kuleta janja janja.

Ila nilichangia mwili wake kurudishwa hapa ili azikwe, mzee wake alikuwa mtu mwema sana.
 
Wanawake wa kichaga wana kila shape unazozitaka duniani ndio maana ukafa ukaoza kwa Antonnia 😀 ukahonga na laki tatu😀

Kuku wameshapata na futari kabisa 😀 naona waasubiri daku. .
Naunga mkono ma mguu kwenye kila shape hapo 👆🤣🤣🤣
 
Kweli kabisa.

Alfred alikuwa mjinga sana. Cha ajabu akaenda kujihusisha ma sembe South, jamaa wakam murder baada ya kuleta janja janja.

Ila nilichangia mwili wake kurudishwa hapa ili azikwe, mzee wake alikuwa mtu mwema sana.
Ukiwa na roho ya kimasikini hata ukipewa billion moja huwezi kuwa Tajiri. Mwisho wa ubaya ni aibu, dah South hawana dogo wanaua tena kikatili. .
 
Ndivyo Nilivyo mkuu, pesa ni karatasi tu, utu kwanza.

Sasa ulitaka nisimpe hata nauli? Tena alipata ya tax kutoka ubungo mpaka mtoni kijichi, sema kwa kuwa ni chagga nature, akaona apande daladala. Elewiiiiiii

Wambie wapunguze kuongea kichagga wakinogewa. 🤣
Kuna mmoja nilikuw nae Rombo huko analiaa "mamaaaa" "shsshhhhh" "yeuwiiiiiii" kusema kweli nilisikia raha sana😀
 
Ukiwa na roho ya kimasikini hata ukipewa billion moja huwezi kuwa Tajiri. Mwisho wa ubaya ni aibu, dah South hawana dogo wanaua tena kikatili. .
Yes. Kwanza hawataki mgeni aonekane ana pesa ndefu. Ndugu yako alikutana na police wazungu, akataka kujifanya mjanja na sembe analo, wakampa chuma.
 
Acha uchokozi mkuu.
Antonnia ni mke wa mtu, ni shemeji yangu, usisumbue hisia zake tafadhari. 😂

Umeona umvae huyo? Yule ni wakishimundu kule hakuna maendeleo, tena ndugu yako Alfred alijiona mjanja akaenda kula chuma South.

Nina RB na chagga nature wote, nanza
na wewe😂😂😂🏃🏃🏃
Santoo sana cousin Gily akili zake anazijua mwenyewe huyo umzoee tu sa utamtupa wapi ndio wakwenu huko☺️😂!!
 
Dada zake Gily wana cute face ila sasa💤

Kuna mmoja yuko Arusha pale stand ndogo, shape Nikki Minaji, anachapa kichaga sana ila kwenye shape kila mtu anamwambia hiyo sio mbegu ya chaggas, itakuwa mama alichepuka. 😂🤣

Gily habari yako mkuu, umewapa kuku pumba?
Utani wa ngumi huu cousin kumbe nawe una fujoo😂😂😂😂!
 
Back
Top Bottom