Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 8,632
- 23,673
Unafikiri mpaka wachaga wanafika mjini wanavuka mito mingap😀😀😀🤣 ukamkamate kirahisi. Analyse naye alikizwa na mchaga akalia kama mtoto mdogo na alichezea makofi hapo marangu mtoni😀Acha uchokozi mkuu.
Antonnia ni mke wa mtu, ni shemeji yangu, usisumbue hisia zake tafadhari. 😂
Umeona umvae huyo? Yule ni wakishimundu kule hakuna maendeleo, tena ndugu yako Alfred alijiona mjanja akaenda kula chuma South.
Nina RB na chagga nature wote, nanza
na wewe😂😂😂🏃🏃🏃
Ila siku hizi watu hawaaminiki kabisa ukitaka upoteze mda wako fanya kazi na watu wenye roho za kimasikini