Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Ndivyo Nilivyo mkuu, pesa ni karatasi tu, utu kwanza.

Sasa ulitaka nisimpe hata nauli? Tena alipata ya tax kutoka ubungo mpaka mtoni kijichi, sema kwa kuwa ni chagga nature, akaona apande daladala. Elewiiiiiii

Wambie wapunguze kuongea kichagga wakinogewa. [emoji1787]
utasikia yesu ruwaaa babaaa(kwa bezi)hapo hapo
 
Back
Top Bottom