Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Naipenda sana sijawahi kinai nampenda Mother Confesser Kahlan halafu Cara, Wizard Zeddy,Richard The seeker, Darken Rahil.
 
Naomba kuuliza swali mheshimiwa je??changamoto nikubwa au ndogo kiasi gani kuzaa watoto kwa wamamatofauti tofauti??je maswala ya upendo kati yao nawatoto watumbo moja kuhisi wnaahaki kuzidi wengine???..ukipata nafasi nijibu hili tafadhali mkuu.

Asante Benbulugu , sahanai kwa kuchelewa kujibu.

Changamoto ya kuzaa na mama tofauti, ni kwamba kila mama atampendelea mwanae, hatampa malezi ya usawa, pia kila mama atamfundisha mtoto tabia zake.

Hapo ni vigumu wao watoto kuwa na upendo. Kila mtoto atambagua wa mama mwingine, maana amekua anaona hayo.

Ni kawaida kila mtoto atampenda yule wa tumbo moja, kutokana na malezi.

Wa kwangu wamejitambua wakiwa chini ya mama mmoja, tofauti yao ni rangi ya ngozi lakini malezi wote walelewa pamoja. Kwa hali hiyo wanajiona kama wa mama mmoja, hawakupewa nafasi ya kubaguana, kwa kweli kwangu sijawahi waona wala kusikia wakibaguana. Ndio maana hata umiliki wa mali, mtoto wa Violet anakuwa mkurugenzi mkuu, wa Rose anakuwa mkurugenzi wa fedha. Wamelelewa hivyo.

Sijui kama nimejibu ulivyo toka, asante.
 
Naipenda sana sijawahi kinai nampenda Mother Confesser Kahlan halafu Cara, Wizard Zeddy,Richard The seeker, Darken Rahil.
Hii series niliipenda sana.
Pia nilitekwa na merlin, ile sehemu Morgana anamgeuza Guinevere kuwa mnyama ili Arthur pendrago amuue kwa mshale, nilimhurumia sana.
 
Daaaaah yashanikuta hayo mzee mwenzangu kila nikimfikilia yule man'gati wangu....issue kdg tu kazimia hili la kumletea mtoto anajua ntauwa bule mtoto wa watu.
Basi hata nikiambiwa ntalea mwenyewe natokea mlango wa uani.
🤣🤣🤣 Pole sana kaka
 
Mzee kwanza hongera kuiwakilisha vyema nchi huko mambele, ulianzia India ukapita Ulaya, Arabuni na Amerika, kama stori ingendelea nadhani ungefika Asia.
Barikiwa sana.
🤣🤣🤣 Inaendele ila asia hapana kwa kweli. Mbona Tanzania hujaitaja mkuu
 
Habari ya Jumatatu wadau. Hope mko poa.

💚😰Poleni wana Yanga
❤️👏Hongereni wana Simba

Kuimba kupokezana, huwezi imba verse na chorus peke yako.

Kuanzia Jumamosi ya tarehe 22, nitaweka mwendelezo wa huu mkasa, kila siku mpaka Jumapili ya tarehe 30 nitakuwa nimemaliza.

Nimeona hali ya kiafya haiko sawa, mwezi May nina appointment ya kufanya matengenezo, huenda nikapumzika kwa muda mrefu, sipendi kuwakwaza, hata nilichotaka mjifunze hakitakuwa na maana tena. Pia nimetakiwa kupunguza matumizi makubwa ya Electronic devices kama simu na computer. Hivyo basi, nalazimika kumaliza mapema kabla ya muda huo.

Karibuni sana, hii sehemu iliyobaki ndio lengo langu kuu la kuusimulia huu mkasa. Utaona kunusurika kifo, majuto, maisha mapya, ugonjwa, nk.
 
Ndugu unaumwa nini? mbona unatupa presha
 
Pole sana shukurani pia ila Allah akufanyie wepesi japo Avatar yako imenitia huruma maana inasadifu hali yako ya sasa ikiwa siko nje ya dhahania.
 
Pole sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…