Habari ya Jumanne wadau. Hope mko poa
[emoji172][emoji27]Poleni wana Yanga
[emoji3590][emoji122]Hongereni wana Simba
Kuimba kupokezana, huwezi imba verse na chorus peke yako.
Kuanzia Jumamosi ya tarehe 22, nitaweka mwendelezo wa huu mkasa, kila siku mpaka Jumapili ya tarehe 30 nitakuwa nimemaliza.
Nimeona hali ya kiafya haiko sawa, mwezi May nina appointment ya kufanya matengenezo, huenda nikapumzika kwa muda mrefu, sipendi kuwakwaza, hata nilichotaka mjifunze hakitakuwa na maana tena. Pia nimetakiwa kupunguza matumizi makubwa ya Electronic devices kama simu na computer. Hivyo basi, nalazimika kumaliza mapema kabla ya muda huo.
Karibuni sana, hii sehemu iliyobaki ndio lengo langu kuu la kuusimulia huu mkasa. Utaona kunusurika kifo, majuto, maisha mapya, ugonjwa, nk.