Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Aliyekuchagua kuwa kiongozi wetu ni nani🤣

Basi kama mwekahazina humu ndani naweka namba mtume hela ya bando, kahawa na feni au AC. 😄 Ili kwenda kununua PC nyingine aina ya apple kwa sababu PC imeibiwa na Alfred na kakimbia nayo south😄
🤣🤣🤣 Jamani kuweni makini, sina muwakilishi yoyote bongo, send money for your own risk.

Nshakutibulia mzee wa fursa, famchezo nini🏃🏃🏃🏃
Changa nature stand uppppp
 
Thanks a lot, I received your hug. Now with this scent, how do I tell Violet.😂😂
Kwani uko nae? Mwambie umeitoa kwenye daladala😄😄😄😄 ila ninavyomfahamu huyo dada anaweza kukwambia muongozane akahakikishe kama kweli umeitoa kwa daladala😆😆😆
 
Kwani uko nae? Mwambie umeitoa kwenye daladala😄😄😄😄 ila ninavyomfahamu huyo dada anaweza kukwambia muongozane akahakikishe kama kweli umeitoa kwa daladala😆😆😆
🤣🤣🤣
 
Aisee bonge moja la story, ina kila kitu ndani. Nimetumia ziku nzima kuisoma (nimecancel ratiba zangu zote).

Mkuu MUNGU akubariki mno na heshima nyingi sana ziende upande wako [emoji120]

Ningepata dhambi kubwa sana kama ningepita bila kutoa comment.

Umeniinspire kwa mengi mazuri lakini pia nimepata elimu sehemu ambazo hazikuwa sawa na namna ya kuziepuka.

Nimetamani sana ungekuwa unasimulia nikiwa mbele yako nakusikiliza.

Thanks alot.
 
Asante sana Rule bender
Nashukuru kwa pongezi. Ni kweli balaa ni zito pm, ila ni kundi dogo tu lilitoleta balaa. Wengine wote wamenifata kwa ushauri na mawazo, tukaelewana.

Kuna kundi dogo la watu wasio jiheshimu, wanazani wanaweza kupata kila wanachotaka. Mtu mmoja anatuma messages 40 bila kujibiwa, huyo dish liko sawa kweli??

Hata mimi napenda sana niumalize huu mkasa, ila ratiba zimenibana. Naweza kuwa na post mara moja au mbili kwa wiki maana tofauti ni saa 1 tu, shida ninayoogopa ni kama watu watavumilia?

Sipendi wapate arosto, waniweke kwenye kundi la wale wale. Ila kama watakubali nitafanya hivyo. Wewe kama muwakilishi wa hilo hebu waulize mie sina neno ati.

Kama wanaogopa arosto, tusubiri nikiwa na mda tuimalize, huku mbele ni kutamu sana, angalia picha ya mwisho kwenye post ya mwisho
kwa niaba pia ya antonnia na gily nasema hiviiiii TUMEKIBALIIIIIII
 
Back
Top Bottom