Asante sana
Rule bender
Nashukuru kwa pongezi. Ni kweli balaa ni zito pm, ila lni kundi dogo tu lilitoleta balaa. Wengine wote wamenifata kwa ushauri na mawazo, tukaelewana.
Kuna kundi dogo la watu wasio jiheshimu, wanazani wanaweza kupata kila wanachotaka. Mtu mmoja anatuma messages 40 bila kujibiwa, huyo dish liko sawa kweli??
Hata mimi napenda sana niumalize huu mkasa, ila ratiba zimenibana. Naweza kuwa na post mara moja au mbili kwa wiki maana tofauti na saa 1 tu, shida ninayoogopa ni kama watu watavumilia?
Sipendi wapate arosto, waniweke kwenye kundi la wale wale. Ila kama watakubali nitafanya hivyo. Wewe kama muwakilishi wa hilo hebu waulize mie sina neno ati.
Kama wanaogopa arosto, tusubiri nikiwa na mda tuimalize, huku mbele ni kutamu sana, angalia picha mwisho kwenye post ya mwisho