Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Mzee baba shukrani sana kwa mda wako ulio toa kwaajili yetu hatuwezi kukulipa chochote zaidi ya upendo na shukrani nyingi pia wasalimu wanao wote na familia tunatumai siku ukipata nafasi utatumalizia
Nikimaliza mizinguko ya kikazi nitakutafuta PM tunaoweza badilishana mawili matatu nakutakia Usiku mwema

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Asante sana HaMachiach
Karibu sana.
 
Kudos mkuu, asante kwa ushauri na entertainment umetupa though I wish ingekua ile JF ya enzi hizo ambayo watu waliweza kuficha ujinga wao but this one inabidi tu tuizoee[emoji1787].....again congrats for having a very marvelous life
Asante sana Queen Kan
Watu wamevulugwa sana, mpaka mtu anaweza jilaumu ku share 😂😂
 
Back
Top Bottom