Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Mtoto Rose anakuwa na hisia sana akiwa na mwamba. Inaoneka anampenda sana mwamba. Eti Gily

Hapo mwisho pole sana. Nimecheeeka😂😂😂
Rose anampenda kweli leadermoe. Ikiisja hii ingependeza angeandika uzi mwingine maisha yake na Rose mikasa ugomvi na kama alishwahi msaliti Rose. Kikweli mwanamke mmoja hawezi nmmtosheleza mwanaume. .

Watching hivi ndoa unayotumikia ina miaka mingap? 😀 Next week mke wangu ananizawadia mtoto. Wiki hii niko nyumbani nae yani nimepata na kitambi🙃Ukiwa na mke mwema utafurahi sana. .
 
Sasa apo leadermoe kila mtu yuko na uzuri wake😂😂, 🌹 mary unampenda since then na inaonekana atakaa na mama vizuri,,😂😂
ila purple nae ni pisi ya kwendaa, yuko fin, ana mpunga ila hatokuwa na muda sana na mama kwasababu nayeye ako na family yake kule😂😂

Apo tuangalie your priorities 😂😂.. Au oa ote sasa😂😂au basii
Nilitaka kutoa ushauri kama huo umeniwahi.

Mwezi ufini, mwezi tz💃💃💃
 
Sasa apo leadermoe kila mtu yuko na uzuri wake😂😂, 🌹 mary unampenda since then na inaonekana atakaa na mama vizuri,,😂😂
ila purple nae ni pisi ya kwendaa, yuko fin, ana mpunga ila hatokuwa na muda sana na mama kwasababu nayeye ako na family yake kule😂😂

Apo tuangalie your priorities 😂😂.. Au oa ote sasa😂😂au basii
Hivi wewe unamuamini leadermoe kuwa hapashi kiporo na purple🤣🤣 ahaaa weee he is a man trust me hata akatae yule lazima anapasha kiporo tu labda kichache😀
 
Rose anampenda kweli leadermoe. Ikiisja hii ingependeza angeandika uzi mwingine maisha yake na Rose mikasa ugomvi na kama alishwahi msaliti Rose. Kikweli mwanamke mmoja hawezi nmmtosheleza mwanaume. .

Watching hivi ndoa unayotumikia ina miaka mingap? 😀 Next week mke wangu ananizawadia mtoto. Wiki hii niko nyumbani nae yani nimepata na kitambi🙃Ukiwa na mke mwema utafurahi sana. .
Hongera sana mkuu.
Nina miaka 25 kwenye ndoa, asikwambie mtu ndoa tamuuuuuuuuuu hasa ukipata kichaa wako mmoja anaekuelewaaaa🤣🤣💃💃
 
Hongera sana mkuu.
Nina miaka 25 kwenye ndoa, asikwambie mtu ndoa tamuuuuuuuuuu haa ukipata kichaa wako mmoja anaekuelewaaaa🤣🤣💃💃
Huu mwaka wa kumi iwe kheri ikifika 25 years nachinja ng'ombe watatu. Wengine miaka 25 wanauana kabisa 😀 wanahesabu miaka kwa majeraha😀 kama unavyosoma umri wa mtu😀 . .
 
Bora mjuane tu mtaheshimiana😎, ukijifanya cha peke yako atajaza foreni ya michepuko.

Mwanaume halindwi anajilinda Gily 🤣🤣
Sijawahi msaliti mke wangu inawezekana kwa sababu ninabanwa sana na biashara na miradi. Aisee umenena vyema hata kunguru hachungwi😀

Ila nahisi mwanamke anayemlinda sana mwanaume anampq ushawishi wa kucheat. Ila kama hana habari na wewe inasaidia sana. .
 
Huu mwaka wa kumi iwe kheri ikifika 25 years nachinja ng'ombe watatu. Wengine miaka 25 wanauana kabisa 😀 wanahesabu miaka kwa majeraha😀 kama unavyosoma umri wa mtu😀 . .
Watu wema bado wapo mkuu, mika 25 hata kofi sijawahi pata naachaje kumpenda huyo mume💃💃
 
Sijawahi msaliti mke wangu inawezekana kwa sababu ninabanwa sana na biashara na miradi. Aisee umenena vyema hata kunguru hachungwi😀

Ila nahisi mwanamke anayemlinda sana mwanaume anampq ushawishi wa kucheat. Ila kama hana habari na wewe inasaidia sana. .
Hongera sana mkuu
 
Hata sielewi ninejikuta nimempenda Rosemary [emoji846] ana sifa nzuri kakubalika hadi kwa mama.
Najiuliza kwaresma imekuwa kali leo au ni hisia tu za kumpenda [emoji257]

Kuna siku nilikutana na dada mzuri tumbo likawa linauma aisee nikasema hawa ndio [emoji1652] [emoji1652] [emoji1652] wanaowasikiaga wazungu. Kuja kushtuka likawa tumbo la kuhara [emoji3][emoji2]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa apo leadermoe kila mtu yuko na uzuri wake[emoji23][emoji23], [emoji257] mary unampenda since then na inaonekana atakaa na mama vizuri,,[emoji23][emoji23]
ila purple nae ni pisi ya kwendaa, yuko fin, ana mpunga ila hatokuwa na muda sana na mama kwasababu nayeye ako na family yake kule[emoji23][emoji23]

Apo tuangalie your priorities [emoji23][emoji23].. Au oa ote sasa[emoji23][emoji23]au basii
Priority kama priority [emoji16][emoji16]

Nichagulia mmoja tu Dahan
 
Back
Top Bottom