Part Eight D: If you wear my shoes, you won't walk.
[emoji1666]I'll marry your daughter.
May 12, 1999
Kwa kushirikiana na kaka, tuliamdaa safari ya kwenda kujitambulisha kwao Rosemary.
Kaka Alitafuta rafiki yake na mzee mmoja tukaenda Songea kwao Rosemary.
Tuliongea na Rosemary, tukamuomba awaeleze ukweli wazazi wake, ili tukifika kusiwe na kusumbuliwa maana kaka alipata ruhusa ya aiku 7 pekee.
Tusingeweza kurudi tena kuongea kuhusu mali, na muda unaenda, mimba inakua.
Tulianza safari May 12 1999, Lengo letu ndoa ifungwe kabla ya mwaka kuisha ili Rosemary ajifungue ndani ya ndoa.
Tulijiandaa kamili kwamba hakuna kurudishwa tena, tulienda watu watano. Kaka Edwin, rafiki yake, mzee moja, mimi, rafiki yangu.
Tulifika Songea usiku sana, kutokana na madereva wetu kutokuwa na uzoefu na ile njia hasa kwenye ile 'milima ya lukumbulu'.
Tulifikia guest moja nazani ilikuwa inaitwa 'anex'. Ilikuwa inamilikiwa na Matiko mmiliki wa Buhemba hotel. Inatazamana na shule ya msingi misufini.
(tuliona mwanzo wa simulizi)
***
Kesho yake kaka Edwin , rafiki yake, Mzee kiongozi na rafiki yangu, walienda kwao Rosemary kujitambulisha. Rosemary alikuwa amerudi kwao kwa ajili ya tukio hilo.
Wazazi wake Rosemary wanaishi 'Mahenge' njia ya kwenda Field Force Unit aka FFU (Fanya Fujo Uone).
Baba yake ni mtu mngwana sana, waliwakuta wanawasubiri , walishapewa taarifa za ujio ule.
Mzee kiongozi (alikuwa mgoni pia) alitumia busara zake kushawishi, hatimaye barua ikakubaliwa.
(mjomba msomaji wa barua alikuta elfu 50 ya kusomea barua ndani ya bahasha).
Wakaambiwa twende kesho ili nijitambulishe kisha waseme mali waitakayo. Ni baada ya yule Mzee kuomba tufanye kwa upesi maana wanaotakiwa kurudi kazini.
***
Kesho yake tulifika wote watano, tukapata mapokezi makubwa, safari hii walichinja mbuzi.
Mzee alinipokea kwa heshima zote, hata kabla sijatambulishwa kila mtu alijua ni mimi maana sikuwepo jana yake.
Tukaambiwa wameniona,
Wakasema mali waitakayo. Nakumbuka ng'ombe 4, mbuzi 4, mablanketi, masufuria, n. k
(Hapa Rosemary alisaidia sana kuondoa usumbufu, aliwaambia mimi ndie nilimpa ile laki na 80 kipindi mama anaumwa),
Yule mzee kiongozi alisema tunaomba tupewe gharama ya hivyo vitu vyote ili tulipe cash maana sisi kuvipata na kivifikisha kwao itakuwa kazi, kutokana na ufinyu wa muda.
Mali ya mke wangu nilitoa milioni 2 na laki 7.
(kaka akaongeza laki 3 kama asante kwa wajomba maana walisimamia shoo iende fasta, tukawa tumetoa 3m.)
Mzee kiongozi wetu aliwaambia, wafanye maandalizi yao, tutawapa tarehe ya harusi mapema ili ndoa ifungwe haraka.
Tuliondoka na Rosemary kurudi Dar, kisha akaenda Chuo na mimi nikarudi Arusha.
Song: Marry Your Daughter
Artist: Brian McKnight Jr.
Released: 2020
Album: Marry Your Daughter
Genre: R&B/Soul
Sir, I'm a bit nervous
'Bout being here today
Still not real sure of what I'm going to say
So bare with me please
If I take up too much of your time
But you see, in this box is a ring for your oldest
She's my everything and all that I know is
It would be such a relief if I knew that we were on the same side
'Cause very soon I'm hoping that I Can marry your daughter
And make her my wife
I want her to be the only girl that I love for the rest of my life
And give her the best of me 'til the day that I die, yeah
I'm gonna marry your princess
And make her my queen
She'll be the most beautiful bride that I've ever seen
I can't wait to smile
As she walks down the aisle
On the arm of her father
On the day that I marry your daughter
She's been hear every step since the day that we met
(I'm scared to death to think of what would happen if she ever left)
So don't you ever worry about me ever treating her bad, no
We've got most of our vows done so far (so bring on the better or worse)
And 'til death do us part
There's no doubt in my mind
It's time
I'm ready to start
I swear to you with all of my heart
I'm gonna marry your daughter
And make her my wife
I want her to be the only girl that I love for the rest of my life
And give her the best of me 'til the day that I die, oh
I'm gonna marry your princess
And make her my queen
She'll be the most beautiful bride that I've ever seen
I can't wait to smile
As she walks down the aisle
On the arm of her father
On the day that I marry your daughter
I'm gonna marry your daughter
And make her my wife
I want her to be the only girl that I love for the rest of my life
And give her the best of me 'til the day that I die
**********
Next
Part Eight E: : I Wanna Dance with Somebody (Who Loves Me)
[emoji126]Wedding day, July 24 ,1999.