Part Eight E: : I Wanna Dance with Somebody (Who Loves Me)
[emoji126]Wedding day
July 24 ,1999.
Tuliwapa tarehe ya harusi, niliwafanyia shopping ya nguo na viatu familia na wajomba na mashangazi. Nilifanya hivi kutokana na muda tuliowapa ni mfupi, mpaka wajiandae ingehitajika muda sana. Sikuona kama ni busara, watu washerehekee huku wakiwa na huzuni.
(Baba alinipatia mali kabla hajafariki, ili inisaidie kupata mke kaka alinipa support kubwa kifedha, akiba zangu za toka 1994 ile dola 500 nilikuwa natumiwa ilikuwepo. Nilikuwa na matumizi madogo ya fedha, sikuwa mfujaji. Ilikiwa kila baada ya muda nampa mama dola 200 aongeze mtaji wa biashara yetu.)
Rosemary alikuwa mwanamke wa ajabu sana, pesa nilizokuwa nampatia kama matumizi yake binafsi tangu yuko mwaka wa kwanza, alitumia nusu na kuweka akiba nusu. Mpaka kipindi cha harusi, alikuwa na kiwango kikubwa cha akiba.
Tuliagiza shela na suti nairobi, wedding dress code was Raspberry strapless dress.
Rosemary anapenda sana hii rangi.
***
Rosemary alifanyiwa send off July 17 ukumbi unaitwa Songea club karibu na mashujaa. Sherehe ilifana sana. Alipata zawadi nyingi sana, toka kwa ndugu zake.
Wedding dress code was Raspberry strapless dress.
Tuliamua kufungia ndoa Songea, kwa kuwa Rose alikuwa na ndugu wengi, sisi upande wetu hatuna ndugu wengi.
(Pia muda wa kujiandaa ulikuwa
mfupi mno kwao, ikabidi tufanyie kule ili wengi wao washiriki, wasilalamike.)
Hakukuwa na mchango wa harusi, wala idadi ya waalikwa. Tuliwapa uhuru waalike watu wote wanaopenda watoe taarifa tu, pesa ilikuwepo, nilitaka mke wangu aache gumzo kwa ndugu zake.
Tuliona hatuwezi kusafirisha wote, mke wangu ananishukuru mpaka kesho kwa hii heshima.
Sherehe ni watu, ndugu walijaa songea club, walichinja ng'ombe wawili madume, soda, bia, juice, kifupi kila mtu alikula awezavyo.
Rosemary alipewa zawadi nyingi sana, ilibidi nimshawishi baadhi ya vitu awaachie ndugu zake wa karibu.
Huu ndio ulikuwa wimbo rasmi wa harusi yetu. Huu ulikuwa ni wimbo alichagua mke wangu kwa ajili yetu siku hiyo.
Song: I Wanna Dance with Somebody (Who Loves Me)
Artist: Whitney Houston
Released: 1987
Album: Whitney
Awards: Grammy Award for Best Female Pop Vocal Performance.
Genres: R&B/Soul, Pop
Clock strikes upon the hour
And the sun begins to fade
Still enough time to figure out
How to chase my blues away
I've done alright up to now
It's the light of day that shows me how
And when the night falls, loneliness calls
Oh, I wanna dance with somebody
I wanna feel the heat with somebody
Yeah, I wanna dance with somebody
With somebody who loves me
Oh, I wanna dance with somebody
I wanna feel the heat with somebody
Yeah, I wanna dance with somebody
With somebody who loves me
I've been in love and lost my senses
Spinning through the town
Sooner or later, the fever ends
And I wind up feeling down
I need a man who'll take a chance
On a love that burns hot enough to last
So when the night falls
My lonely heart calls
Oh, I wanna dance with somebody
I wanna feel the heat with somebody
Yeah, I wanna dance with somebody
With somebody who loves me
Oh, I wanna dance with somebody
I wanna feel the heat with somebody
Yeah, I wanna dance with somebody
With somebody who loves me
Somebody oo Somebody oo
Somebody who loves me yeah
Somebody oo Somebody oo
To hold me in his arms oh
I need a man who'll take a chance
On a love that burns hot enough to last
So when the night falls
My lonely heart calls
Oh, I wanna dance with somebody
I wanna feel the heat with somebody
Yeah, I wanna dance with somebody
With somebody who loves me
Oh, I wanna dance with somebody
I wanna feel the heat with somebody
Yeah, I wanna dance with somebody
With somebody who loves me
Don'tcha wanna dance with me baby
Dontcha wanna dance with me boy
Hey Don'tcha wanna dance with me baby
With somebody who loves me
Don'tcha wanna dance, say you wanna dance, don'tcha wanna dance
Don'tcha wanna dance, say you wanna dance, don'tcha wanna dance
Don'tcha wanna dance, say you wanna dance
With somebody who loves me
Dance.
****
Baada ya sherehe, tulikaa Songea siku tatu, ya nne tukarudi Arusha.
(Mama, shemeji na kaka walitangulia kuandaa mapokezi Ausha).
Tulirudi Arusha kwa ndege ndogo ya kukodi. (zawadi ya shemeji yangu).
Rosemary alipokelewa kwa sherehe nyingine iliyojumuisha majirani na ndugu wengine.
Hapa marafiki wa shemeji walisimamia shoo, walichija ng'ombe, vinywaji vya kutosha.
Baada ya zawadi, mama aliamua kila jirani aliekuja apewe chakula na nyama.
(watu walikuwa wachache, chakuka kikawa kingi sana).
Kilibaki chakula kinachotutosha tunaobaki tu.
Zawadi zikawa nyingi tena, Kaka na shemeji walimpa Rosemary gari aina Toyota Camry kama zawadi yake na limsaisie katika majukumu yake mapya ya ndoa.
Mama alifurahi sana kwa kukubali kumuoa Rosemary, alitutamkia baraka katika ndoa.
***
Part Eight F: It's a boy, It's a girl
September 28 1999