"Nilifanikiwa kumaliza miezi saba, bila kuingia mtegoni mwake, akanza ku lose confidence kwangu, nikaanza mtesa kihisia. Siku moja Ijumaa, akaniomba kama sitasafiri, anipe lunch, tupate na muda wa kufahamiana. Nikakubali, tukakutana Jumamosi."
Ila hata kama ni hisia mwanamke kumuanza mwanaume binafsi naona haikuji haipendezi kabesssa... kabesaaa yanii kwanza atakunyanyasaaa kisisia mpaka ukomee
Raha ya mapenzi mwanaume akuanzee buanaa akupende yeyeee akutongozee yeyee umsumbueeee ucheze na hisiaa zakee kwanzaaa hadii akili imkae sawaaaa!!!