Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Kiukweli jana sijapata usingizi kabisa leo tena na habari za rosemarry kufariki mmenikata maini kabisaa. Yaan within one week mme na mke jamani nimejikuta chozi limenidondoka siku yangu imevurugia eeh mola wangu mpendwa wapokee viumbe hawa wako kwa mikono yako miwili, ijaze familia yao nguvu,faraja na amani ktk kipindi hiki kigumu wapumzike kwa amani AAMIN.
 
Hii habari iko kama stage managed, account zote mbili zimeingia JF, 2017,,
Something fishy
Kha! Kweli Jamii Forum Kuna viumbe mbona mie na mume wangu tukijiunga Instagram kwa wakati mmoja!!!
 
Kiukweli jana sijapata usingizi kabisa leo tena na habari za rosemarry kufariki mmenikata maini kabisaa. Yaan within one week mme na mke jamani nimejikuta chozi limenidondoka siku yangu imevurugia eeh mola wangu mpendwa wapokee viumbe hawa wako kwa mikono yako miwili, ijaze familia yao nguvu,faraja na amani ktk kipindi hiki kigumu wapumzike kwa amani AAMIN.
Amin
 
Huyu jamaa yawezekana yuko Hai ila ana mpango wa kubadilisha akaunti mana baada ya kutoa hii story watakaomfata inbox kuomba onba ni wengi

ila i believe its not true. amalize stori afu afariki tena na mkewe come on guys!!!

stop thinking using emotions and crtical thinking
 
Simu ya mama yao wanayo. Huko hospital alikuw na wanae wawili. Mama yake alitoka kumpoteza mama yake mzazi kwa hiyo hakushauriwa kwenda.
Sasa watu wanatuma ujumbe kule wanapata notifications ndipo kwa account ya mama yao wakanijulisha kafariki. Watoto wanajua kuhusu mimi.

hakijaaribuka kitu, mimi ni msemaji tu hapa JF. Watoto nao wako uko nchi ya watu Turkey Sasa nimewaomba ndugu wawatafute JF uongozi wawajulishe kuweni na uvumilivu. .

mmmh mzee mbona kama kuna ka mchezo.

mara watoto wakaona notifications, mara wanajua kuhusu wewe! kwenye akaunti ya kiongozi au akaunt ya mama yao????

Something fishy here
 
Kijana unajitahidi kua na intelijensi nzuri

Tatizo la stori nyingi huwa zinateka hisia za watu na mwishoni huamua mambo kwa emotions.

ila ukiisoma hii stori na mtiririko wa matukio kwa kichwa kizuri utagundua hapa kuna some sort of drama.

Ila inahitaji watu wenye kipawa cha hali ya juu cha kun’gamua mambo
 
Tumshukuru Mungu kwa nyakati mbaya na nyakati nzuri.
 
Tatizo la stori nyingi huwa zinateka hisia za watu na mwishoni huamua mambo kwa emotions.

ila ukiisoma hii stori na mtiririko wa matukio kwa kichwa kizuri utagundua hapa kuna some sort of drama.

Ila inahitaji watu wenye kipawa cha hali ya juu cha kun’gamua mambo
Chumvi zpo nyingi nimeisoma vzur
 
Back
Top Bottom