Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Daaah! Nimesikitishwa saaana na kifo cha mwana jamvi mwenzetu! Mwenyezi Mungu akupe pumziko la milele
 
Ndugu yangu pole kwa matusi ya hapa. Sijui kwanini members wengi hapa wako so naive. Mimi naungana na wewe katika hili..sijui kwanini watu wanashindwa kutuliza kichwa na ku connect dots. Anyway.kila mtu ana maoni yake

JF members wengi wana uwezo mdogo wa kufikiri na wako na mihemko.

Inahitaji “a little spark in someone’s brain” kujua wapi ni nyekundu na bluu.

Ila nasikitika kuwa wengi wao ni vilaza
 
HIZO PICHA ZA MSIBA ZIKO WAP??

msiwe mnaleta stori za uongo kuleta taharuki kwa members humu sawa?
Unataka picha za msiba zanini si ulishasema mtu hajafa kakimbia kusaidia watu Sasa picha za msiba zanini 😂.

Atazikwa Baada ya siku 21 ndio atazikwa Arusha anapelekwa Finland kwanza kuagwa na ndugu jamaa marafiki na wafanyakazi wenzie Kisha mwili utaletwa Tz Arusha na family ilishasema watu watakao penda kushiriki basi wamuone Gily waandikishwe ila msiba wao wanahitaji privacy hawataki mapicha pichahivyo hata akizikwa usitegemee humu picha unataka kuthibitisha subiri waje watoe utaratibu kajiandikishe uende kaone kwa macho.
 
Unataka picha za msiba zanini si ulishasema mtu hajafa kakimbia kusaidia watu Sasa picha za msiba zanini [emoji23].

Atazikwa Baada ya siku 21 ndio atazikwa Arusha anapelekwa Finland kwanza kuagwa na ndugu jamaa marafiki na wafanyakazi wenzie Kisha mwili utaletwa Tz Arusha na family ilishasema watu watakao penda kushiriki basi wamuone Gily waandikishwe ila msiba wao wanahitaji privacy hawataki mapicha pichahivyo hata akizikwa usitegemee humu picha unataka kuthibitisha subiri waje watoe utaratibu kajiandikishe uende kaone kwa macho.

haya maigizo duh aya banaa
 
Today ni may 7 Wameshazikaa?
Hata mwili kuja Tz bado mtoto wa marehemu alimwambia Gily atamtafuta atamjulisha wakati wanashughulikia kumtoa Turkey kwenda Finland kwahio Tz ni tarehe 21 wanaweza kuzika tarehe 22 au 23.
 
mkasa woote nimesoma sijaona majibu ndo mana nimeuliza
Rudia Tena kusoma sio kweli kama umesoma basi umesoma kwa kuruka episode sababu marehemu kaelezea toka kaanza kuumwa mpaka anaenda hospital mpaka anawekwa ICU Gily ndo anatoa taarifa za hali yake vyote vipo kwenye huo mkasa unataka kujua soma USIONE uvivu 😃
 
mkasa woote nimesoma sijaona majibu ndo mana nimeuliza
Kwa kukusaidia anzia page ya 108 kurudi nyuma utaona habari za Ugonjwa wake na kuanzia 108 kuendelea ndipo Kuna habari za kulazawa ICU mpaka kifo.
 
haya maigizo duh aya banaa
Wewe hayo maigizo subiri tarehe 21 ukayaone live Arusha wewe jipange tu muda unao wa kujipanga ukashuhudie Le Akili Kubwazzz sio kilaza Tena familia nahisi itatoa usafiri bure gari za utalii 😃ndo maana wametaka kujua watu wanao enda waandikishwe kwahio jipange bepali la kihaya ukaone maigizo ya mtu kasingiziwa kufa kwa kukimbia kusaidia watu akaamua ajiuwe na mkewe ili kukimbia kusaidia.
 
Rudia Tena kusoma sio kweli kama umesoma basi umesoma kwa kuruka episode sababu marehemu kaelezea toka kaanza kuumwa mpaka anaenda hospital mpaka anawekwa ICU Gily ndo anatoa taarifa za hali yake vyote vipo kwenye huo mkasa unataka kujua soma USIONE uvivu 😃
my dear am asking about mkewe here je aliumwa mbona gafla etc sio mume mume najua
 
Back
Top Bottom