Nshomile wa Muleba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,166
- 5,620
Waambie wanipitie kahama nikajioneee hayo maigizo
wewe[mention]Gily [/mention] niko kahama nipitieni
wewe[mention]Gily [/mention] niko kahama nipitieni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona nae pia Gily alielezea anyway Marehemu G alikuwa Finland Rose🌹 alikuwa Tz pamoja na Vio💜Rose alifiwa na mama yake hakuwa sawa ikabidi Mzungu ampe company asiwe mpweke.G akaenda Turkey kubadilisha battery ya pacemaker akiwa na Mtoto wa 💜 na 🌹ndo walokuwa na baba Yao akafanyiwa replacement akawa vizuri ila alikatazwa asitumie simu na device zingine so mwanae Harrison ndio alikuwa anajibu meseji za baba yake G anazuon kwenye screen akiwa kalala anamwambia flani katuma ujumbe anasema hivi nae anamwambia mjibu hivi ila ikagundulika blood clot kwenye ule ule mkono alowekewa pacemaker damu imeganda inazuia damu kupita ikabidi afanyiwe oparesheni Hali ikawa Tete akawekwa ICU,ikabidi Rose Sasa afunge safari aende Turkey ndio alompa habari Gily anafika Kule G kafariki hapo ni siku kama 30 tu katoka kumpoteza mama yake kipenzi anampoteza na mumewe kipenzi walojuana miaka 25 akapata presha akawa nae mahututi ikapelekea kifo chake.Mungu awarehemu nimeandika kwa kirefu zaidi 🙏my dear am asking about mkewe here je aliumwa mbona gafla etc sio mume mume najua
Wewe ndo unaona maigizo halafu upitiwe kama nani 😂 unaongea sana hata nauli tu huna 😃wewe ndo usio amini unaona maigizo wengine vilaza lipa nauli tukutane Arusha.Waambie wanipitie kahama nikajioneee hayo maigizo
wewe[mention]Gily [/mention] niko kahama nipitieni
aisee no wonder wengine hawaamini this whole thing like a tragic movie basi mbele yao....Mbona nae pia Gily alielezea anyway Marehemu G alikuwa Finland Rose🌹 alikuwa Tz pamoja na Vio💜Rose alifiwa na mama yake hakuwa sawa ikabidi Mzungu ampe company asiwe mpweke.G akaenda Turkey kubadilisha battery ya pacemaker akiwa na Mtoto wa 💜 na 🌹ndo walokuwa na baba Yao akafanyiwa replacement akawa vizuri ila alikatazwa asitumie simu na device zingine so mwanae Harrison ndio alikuwa anajibu meseji za baba yake G anazuon kwenye screen akiwa kalala anamwambia flani katuma ujumbe anasema hivi nae anamwambia mjibu hivi ila ikagundulika blood clot kwenye ule ule mkono alowekewa pacemaker damu imeganda inazuia damu kupita ikabidi afanyiwe oparesheni Hali ikawa Tete akawekwa ICU,ikabidi Rose Sasa afunge safari aende Turkey ndio alompa habari Gily anafika Kule G kafariki hapo ni siku kama 30 tu katoka kumpoteza mama yake kipenzi anampoteza na mumewe kipenzi walojuana miaka 25 akapata presha akawa nae mahututi ikapelekea kifo chake.Mungu awarehemu nimeandika kwa kirefu zaidi 🙏
Wewe unahitaji kupumzika kdg...huu msiba umekugusa mnoooo kaa pembeni kdg JF. Endelea kuwasiliana na Gily outside ya JF....Hata mwili kuja Tz bado mtoto wa marehemu alimwambia Gily atamtafuta atamjulisha wakati wanashughulikia kumtoa Turkey kwenda Finland kwahio Tz ni tarehe 21 wanaweza kuzika tarehe 22 au 23.
labda post ya 500, page hazijafika 500.Nimeanza leo, ndo kwanza niko page ya 500 nitamalizia kweli
Ila ni tamu
Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
Asante kwa kunisahihisha mkuulabda post ya 500, page hazijafika 500.
Sijajua juu hakuna utaratibu wowote niloupata labda Gilly atujuze,,Today ni may 7 Wameshazikaa?
Chalii mbona unakaza shingo sana??Waambie wanipitie kahama nikajioneee hayo maigizo
wewe[mention]Gily [/mention] niko kahama nipitieni
Oh Lord [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Our friend Mr leadermoe left us [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
TANZIA: Kifo cha mwanaJamiiForums mwenzetu Leadermoe, aliyesimulia story ya maisha yake "Wema ni akiba, usiache kutenda wema"
Habari With deep sorrow, I am very sad to let you all know that Gibson’s heart suddenly stopped, he left us at 2:34 pm today. We thank you all for all the prayers, and we should please continue praying for his and our peace as family, friend’s, comrade, mates 🙏 ❤️ This isn't so much an...www.jamiiforums.com
Yani bado naupitia huu Uzi afu nakua kama siamini wenye Uzi wao eti gafla hatupo nao tena[emoji22][emoji22]Mtoto Rose anakuwa na hisia sana akiwa na mwamba. Inaoneka anampenda sana mwamba. Eti Gily
Hapo mwisho pole sana. Nimecheeeka[emoji23][emoji23][emoji23]
aisee!!He was a loving father. (RIP daddy, one day we will meet again.) "