Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Waambie wanipitie kahama nikajioneee hayo maigizo

wewe[mention]Gily [/mention] niko kahama nipitieni
 
my dear am asking about mkewe here je aliumwa mbona gafla etc sio mume mume najua
Mbona nae pia Gily alielezea anyway Marehemu G alikuwa Finland Rose🌹 alikuwa Tz pamoja na Vio💜Rose alifiwa na mama yake hakuwa sawa ikabidi Mzungu ampe company asiwe mpweke.G akaenda Turkey kubadilisha battery ya pacemaker akiwa na Mtoto wa 💜 na 🌹ndo walokuwa na baba Yao akafanyiwa replacement akawa vizuri ila alikatazwa asitumie simu na device zingine so mwanae Harrison ndio alikuwa anajibu meseji za baba yake G anazuon kwenye screen akiwa kalala anamwambia flani katuma ujumbe anasema hivi nae anamwambia mjibu hivi ila ikagundulika blood clot kwenye ule ule mkono alowekewa pacemaker damu imeganda inazuia damu kupita ikabidi afanyiwe oparesheni Hali ikawa Tete akawekwa ICU,ikabidi Rose Sasa afunge safari aende Turkey ndio alompa habari Gily anafika Kule G kafariki hapo ni siku kama 30 tu katoka kumpoteza mama yake kipenzi anampoteza na mumewe kipenzi walojuana miaka 25 akapata presha akawa nae mahututi ikapelekea kifo chake.Mungu awarehemu nimeandika kwa kirefu zaidi 🙏
 
Waambie wanipitie kahama nikajioneee hayo maigizo

wewe[mention]Gily [/mention] niko kahama nipitieni
Wewe ndo unaona maigizo halafu upitiwe kama nani 😂 unaongea sana hata nauli tu huna 😃wewe ndo usio amini unaona maigizo wengine vilaza lipa nauli tukutane Arusha.
 
Mbona nae pia Gily alielezea anyway Marehemu G alikuwa Finland Rose🌹 alikuwa Tz pamoja na Vio💜Rose alifiwa na mama yake hakuwa sawa ikabidi Mzungu ampe company asiwe mpweke.G akaenda Turkey kubadilisha battery ya pacemaker akiwa na Mtoto wa 💜 na 🌹ndo walokuwa na baba Yao akafanyiwa replacement akawa vizuri ila alikatazwa asitumie simu na device zingine so mwanae Harrison ndio alikuwa anajibu meseji za baba yake G anazuon kwenye screen akiwa kalala anamwambia flani katuma ujumbe anasema hivi nae anamwambia mjibu hivi ila ikagundulika blood clot kwenye ule ule mkono alowekewa pacemaker damu imeganda inazuia damu kupita ikabidi afanyiwe oparesheni Hali ikawa Tete akawekwa ICU,ikabidi Rose Sasa afunge safari aende Turkey ndio alompa habari Gily anafika Kule G kafariki hapo ni siku kama 30 tu katoka kumpoteza mama yake kipenzi anampoteza na mumewe kipenzi walojuana miaka 25 akapata presha akawa nae mahututi ikapelekea kifo chake.Mungu awarehemu nimeandika kwa kirefu zaidi 🙏
aisee no wonder wengine hawaamini this whole thing like a tragic movie basi mbele yao....
 
Hata mwili kuja Tz bado mtoto wa marehemu alimwambia Gily atamtafuta atamjulisha wakati wanashughulikia kumtoa Turkey kwenda Finland kwahio Tz ni tarehe 21 wanaweza kuzika tarehe 22 au 23.
Wewe unahitaji kupumzika kdg...huu msiba umekugusa mnoooo kaa pembeni kdg JF. Endelea kuwasiliana na Gily outside ya JF....

You were so close na leadermoe...msiba unakuhusu mnoo.

Ukazike AR, nakuombea Amani ya Bwana itawale moyo wako.
 
Our friend Mr leadermoe left us [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Oh Lord [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
[emoji3064] RIP leadermoe you were a real leader na mafunzo mengi sana umetuachia kupitia historia yako. Mengi sana yatasemwa lakini hakuna kitakachobadilika,(death) is upon us all! [emoji3064][emoji3064][emoji3064]
 
Back
Top Bottom