mmash
JF-Expert Member
- Nov 30, 2013
- 832
- 1,237
Usitupange,unaogopa DM itajaa😂Aahaa wapi sina shepu hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usitupange,unaogopa DM itajaa😂Aahaa wapi sina shepu hiyo
Legeza kidogo basiYan najikuta tu nakodoa[emoji23][emoji23]hata cjielewi,...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kinachoendelea hapa haina tofauti na kwenda kucheza juu ya kabuli la marehemu[emoji17]
Nimemkemea shetaniLegeza kidogo basi
Mkuu kwani ulikuwa wapi umekuja kufufua makaburi🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂 Na hii sekta ya kutinduana tuko sambamba nukta kwa nukta
Mama ananunua boxer?Yan hapo ni kama umenisema mm,with this 40+yrs but my mom still buying clothes for me even boxers [emoji28],im proud of my mum,hataki kisikia kitu kuwa nishakua baba,nimempatia na wajukuu watatu lkn bado hakubaliani na ukweli,nilishindwaga hadi kuhama mji nilokulia kwenda kutafuta maisha 7bu yake,alikua hataki nitoke kwenye mazingira mbali nae,kivumbi kwenye kuoa sasa,akataka niishi na mke kwenye nyumba ya nyumbani nae akiwepo kwa kisingizio kuwa nyumba ni kubwa,i refuse that.
😂Yan acha tu,huu uzi nilikuaga naupita tu siusomi,ndo nikajasoma mahali wanasema jamaa mleta uzi alifariki si ndo nianze kuusoma,Mkuu kwani ulikuwa wapi umekuja kufufua makaburi🤣🤣🤣🤣🤣
Classmates wako ni akina nani unaowa-ripR.i.P Classmates....[emoji26]
Classmates wako ni akina nani unaowa-rip
Aisee kazi kweli kweliBaada ya Kufanya Critical Research and Examination kuhusu Claims za baadhi ya Members wa hii thread huku mwishoni.
Nimepata wasi wasi na kuanza kukubaliana na baadhi ya hoja zao
Baada ya Uchunguzi wangu wa kina na kwa Ku Gather some sort of evidences nimefikia conclusion kwamba this story might not be a real story.
Kuhusu wahusika kutangulia mbele za haki siwezi kusemea sana ingawa pia napata wasi wasi baada ya kukosekana ushahidi wowote ule zaidi ya huu uliopo kwenye account zao za JF.
All in all, it was a Fantastic story so far.
Mtoa mada kafariki?Acha kabisa,huu uzi nilikuaga nauona nikaupotezea,ss hadi kuuanza kupita nao ww ndo 7bu,kuna mahali nikakusikia[emoji23] i mean ukaandika jamaa leadermoe hatupo nae ndo nikapata nguvu ya kuanza upya huu uzi maana ule wa kuwaokoa wafin niliusomaga pia,.. so sad aisee[emoji24][emoji24]
Angalia status yake kwenye post #1Mtoa mada kafariki?
Mtoa mada ni rafiki yangu ni mmoja wa watu niliobahatika kujenga nao urafiki wa karibu hapa JF. Nilitoa taarifa kuhusu kifo chake na hata alipokuwa hospital niliwaletea taarifa humu ndaniMtoa mada kafariki?
Dah niliishia njiani nikachoshwa na mashairi ya nyimbo ila nikajiapiza ikiisha nitamaliziaAngalia status yake kwenye post #1
Alikuwa mtu mzima sana?Mtoa mada ni rafiki yangu ni mmoja wa watu niliobahatika kujenga nao urafiki wa karibu hapa JF. Nilitoa taarifa kuhusu kifo chake na hata alipokuwa hospital niliwaletea taarifa humu ndani
Nasikitika sana watu wanavyomzungumzia vibaya. Mara waseme story ta kutunga, mara waseme hajafa. Hakuna mtu anayependa kujizulia kifo. Kifo sio jambo zuri kwenye masikio ya mwanadamu. Mungu amlaze mahali pema Peponi.
Kila siku nakukumbuka rafiki yangu, nenda salama. Uwepo wako duniani uliacha alama katika maisha yangu. Mara ya mwisho unazungumza na mke wangu anakutakia upone haraka sikuwaza kama ungeondoka ghafla. Rest easy brother. .