Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Yan hapo ni kama umenisema mm,with this 40+yrs but my mom still buying clothes for me even boxers [emoji28],im proud of my mum,hataki kisikia kitu kuwa nishakua baba,nimempatia na wajukuu watatu lkn bado hakubaliani na ukweli,nilishindwaga hadi kuhama mji nilokulia kwenda kutafuta maisha 7bu yake,alikua hataki nitoke kwenye mazingira mbali nae,kivumbi kwenye kuoa sasa,akataka niishi na mke kwenye nyumba ya nyumbani nae akiwepo kwa kisingizio kuwa nyumba ni kubwa,i refuse that.
Mama ananunua boxer?
 
Baada ya Kufanya Critical Research and Examination kuhusu Claims za baadhi ya Members wa hii thread huku mwishoni.

Nimepata wasi wasi na kuanza kukubaliana na baadhi ya hoja zao

Baada ya Uchunguzi wangu wa kina na kwa Ku Gather some sort of evidences nimefikia conclusion kwamba this story might not be a real story.

Kuhusu wahusika kutangulia mbele za haki siwezi kusemea sana ingawa pia napata wasi wasi baada ya kukosekana ushahidi wowote ule zaidi ya huu uliopo kwenye account zao za JF.

All in all, it was a Fantastic story so far.
 
Aisee kazi kweli kweli
 
Mtoa mada kafariki?
Mtoa mada ni rafiki yangu ni mmoja wa watu niliobahatika kujenga nao urafiki wa karibu hapa JF. Nilitoa taarifa kuhusu kifo chake na hata alipokuwa hospital niliwaletea taarifa humu ndani

Nasikitika sana watu wanavyomzungumzia vibaya. Mara waseme story ta kutunga, mara waseme hajafa. Hakuna mtu anayependa kujizulia kifo. Kifo sio jambo zuri kwenye masikio ya mwanadamu. Mungu amlaze mahali pema Peponi.

Kila siku nakukumbuka rafiki yangu, nenda salama. Uwepo wako duniani uliacha alama katika maisha yangu. Mara ya mwisho unazungumza na mke wangu anakutakia upone haraka sikuwaza kama ungeondoka ghafla. Rest easy brother. .
 
Alikuwa mtu mzima sana?
 
Back
Top Bottom