Safhat_Ummu Twinz
Member
- Apr 25, 2019
- 43
- 26
Hahahaa poyeeeNi komenti tu... Hilo eneo liliwahi kunitesa sana... Wakati magari yakipita njia hiyo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa poyeeeNi komenti tu... Hilo eneo liliwahi kunitesa sana... Wakati magari yakipita njia hiyo...
Chezea papuchi ww🤣🤣🤣Mzee baba umenishinda tabia yaani ukapigwa risasi na bado ukatafuna mzigo 😄😄😁
😂😂😂 Una matukio🤣🤣😂😂!
Mimi huwa sinywi pombe yoyote ile sinywi kabisa!!
Sasa siku moja wifi Zangu ( kwa kaka yao )ni walevi kufaaa wakanilazimisha niende nao club eti Kwanini weekend napenda kujaa tu nyumbani wanapenda kujiachiaa sijawahi ona!! Sasa kwenye kuagiza wameagiza ma wine makali makali wanayajua wenyewe Mimi nikasema waniletee soda tu wee walinichamba Mtu mzima unakunywaje soda wifi hebu jaribu hii nikaonja ikanishinda basi wakamwambia mhudumu aniletee wine Gani sijui kwamba haileweshi sana kwa ambae sijawahi kunywa pombe ..nikaletewa wakaniwekea kwenye kile kiglass kidogoo inalingana kama kakikombe ka kunywea kahawa hivi mi si nishazoea sodaa kunywa guduuu guduu dakika imeisha nikapiga kiglass chakwanza dakika sifuri kimeisha wakaniwekea chapili kikaisha aloo huto tuglass tuwili tu nikaanza jisikia tofauti kichwaniii mara ghafla nikasimama kucheza nilichezaaa mzikii mimi kama mwehuu wakati hata kucheza ukunikuta nacheza labda nimerogwa wifi wanacheka hawana mbavuuu nachezaaa Huku Nacheka cheka tu! Mbona walinirudisha nyumbani kwanza then wao wakarudi huko club asubuhi niliamka kichwaa Sio changu kizitoo😄😄😄😄!!
Mwamba miezi tisa unawasiliana na Violet bila kuchoka [emoji848] ningekua mimi kuna mahali ningechoka. Huu moyo wa namna hii wachache sana.
Daah kwl ni majonzi ila ni somo zuri Sana nimelipata .....naomba kufahamu jina la series aliyotengenezea hii story kama wafahamuMundele Makusu acha kufukua makaburi unataka kumpa Gily Gru depression 😔😢😓 imemchukua muda kumsahau jamaa 😂
May his soul found peace.Our friend Mr leadermoe left us 😭😭😭😭
TANZIA: Kifo cha mwanaJamiiForums mwenzetu Leadermoe, aliyesimulia story ya maisha yake "Wema ni akiba, usiache kutenda wema"
Habari With deep sorrow, I am very sad to let you all know that Gibson’s heart suddenly stopped, he left us at 2:34 pm today. We thank you all for all the prayers, and we should please continue praying for his and our peace as family, friend’s, comrade, mates 🙏 ❤️ This isn't so much an...www.jamiiforums.com
Amen.
May his soul found peace.
Hivi ushapona Sonona ya LeadermoeAmen.
Soon anatimiza mwaka mmoja baada ta kifo chake. Very sad indeed.Hivi ushapona Sonona ya Leadermoe
Gily Gru atuambie nini kinaendeleaNyie wakuu kwanini @Leadermoe ameondolewa RIP badge?.
Kabisa mkuu.Gily Gru atuambie nini kinaendelea
unataka kusema kafufuka 😂😂Nyie wakuu kwanini @Leadermoe ameondolewa RIP badge?.
Itakuwa JF wameona hakuna uthibitisho wowote wa kifo wameona watoe au ka log in mtu 😂🤣Nyie wakuu kwanini @Leadermoe ameondolewa RIP badge?.
Aisee mnatutia taharuki kwa kweli, Gily Gru naona unapita tu angani.Itakuwa JF wameona hakuna uthibitisho wowote wa kifo wameona watoe au ka log in mtu 😂🤣
Nina mashaka pia huenda tulipigwa 🤔Itakuwa JF wameona hakuna uthibitisho wowote wa kifo wameona watoe au ka log in mtu 😂🤣
Hebu njoo somewhere.Nina mashaka pia huenda tulipigwa 🤔
Wapi huko tenaHebu njoo somewhere.