Mkata mauno wa Koffi akanusha kupigwa na Papaa Mopao

Kilichotokea ni madhara ya bosi kuwa na mahusiano na mfanyakazi wake na hatimaye kuoa mfanyakazi huyo na kumuacha akiendelea kufanya kazi ofisi hiyo hiyo na wafanyakazi wenzake wale wale.....

Chanzo cha Ugomvi kimeanzia mbali sana hata kabla hawajatua Kenya na aliyesababisha sekeseke lile litokee ni mrembo Cindy ambae Alikuwa ni mcheza shoo wa Koffi akaja akawa mpenzi wake na hatimaye mkewe.....Baada ya Cindy kuwa mke wa Koffi hali kwenye band ilibadilika....

Cindy alipandishwa cheo na kuwa kiongozi wa choreography ambaye Alikuwa na jukumu la kuongoza mazoezi ya kudance kubuni staili mbalimbali na mitindo kadha wa kadha ya kudance...Hilo halikuwapendeza waliokuwa wacheza shoo wenzake waliokuwa wanaamini nafasi aliyopewa hakustahili hata kama ni mke wa bosi kwani kulikuwa na wacheza shoo kibao wenye uwezo kumzidi na wazoefu na wako kwenye kundi kwa muda mrefu kuliko yeye,hao ndo wangepaswa kupewa nafasi hiyo...

Hali hiyo ikazua bifu kati ya Cindy na madensa hao wengine hususani wa kike...Sasaaaa Cindy hutumia madaraka yake kuwaadhibu hao mahasimu wake na huwaadhibu kwa kutowajumuisha kwenye tripu za kusafiri nje ya nchi.....Kwenye safari ya kuja Kenya kuna madada hatari sana na wakali wa kudance waliachwa kitendo kilichowakera dancers wengine akiwemo Pamela yule aliyepigwa teke.....

Pamela yeye bwana ni mropokaji hasa na hakusita kuzinguana na Cindy .......Pale airport sasaaaaa Cindy si akamfuata Pamela na kumuambia amsaidie kubeba begi, Pamela akachomoa kisha akamuongelea shombo Cindy na si unajua wale wanawake tena,basi walirushiana maneno kiasi cha kuchapana makofi,hali iliyofanya Koffi afikishiwe taarifa......Uamuzi wa Koffi ulikuwa mmoja tu,kumfuata Pamela kumsema na inasemekana Pamela aliambiwa baada ya kumalizika kwa tamasha lile yeye kazi basi.....Kama kawaida Pamela hakai na neno kifuani akaongea mbovu kwa Koffi....Unajua kilichofuata...NDO LILE TEKE.....

KWAHIYO UKIANGALIA NA KUFUATILIA KWA MAKINI SANA TATIZO NI HILO KUJIHUSISHA NA MAPENZI NA MFANYAKAZI WAKO,UNAMPA CHEO ILI AWAONGOZE WALE WALE ALIOKUWA ANAFANYA NAO KAZI LINE MOJA,WENGINE WAKO JUU YAKE NA WENGINE WAKO CHINI YAKE....

NI JAMBO LA KAWAIDA KUWA KUNA WAFANYAKAZI WENZIE WALIKUWA WAKIMZIDI SANA KIUTENDAJI JE UNADHANI WATARIDHIKA????NI KAWAIDA KUWA WATAKUWA NA KINYONGO NA MAMBO KAMA TAFRANI LAZIMA ZITATOKEA....
 
Lugoba nimeacha kuku quote lakini nadhani itaisoma post yangu kwa mujibu wa maelezo yako nimekuelewa ila nabaki na swali kama huyo aliepigwa ni mropokaji na nunda kama ulivyo muelezea na pia aliambiwa kuwa kazi ndo basi tena sasa haya mambo ya kusema kakanusha kuwa hakupigwa yametoka wapi?
Ningependa kama utakuwa na muda utuondolee huo mkanganyiko.
 
Status incongruence is a sure fire starter in any organization- kills performance and morale.
 
Kofi nae,mzigo gani huo wa kumtoa akili kiasi cha kupiga mtu kung fu
 
GENTAMYCINE uko wapi unielezee kwa undani kuhusu hili?
Cindy ni nani?
Naona nyotanyota tu hapa.

Cindy ni Mke wa sasa wa Koffi Olomide na ambaye pia ni Mwanamuziki mwandamizi wa Bendi ya Quarter Latin. Ni Mdada aliyetokea katika Familia duni sana huko Kisangani DRC ila ni mwenye Kipaji cha juu sana cha kuimba na kucheza pia hali ambayo siku moja wakati Koffi Olomide anafanya Show yake katika Uwanja aliomba wajitokeze Mabinti wenye Vipaji vya kuimba ndipo wakajitokeza kadhaa lakini Cindy alionekana kumkuna vilivyo MOPAO MOKONZI, LE MAXIMONE, LARGE DEGAIRE, DIGITAL GRAND MITRE ( Koffi Olomide ) ndipo jamaa akaamua kumchukua hapo hapo.

Sababu ya kuolewa na Koffi Olomide.

Wakati Koffi Olomide akiwa ziarani huko Kisangani huku nyuma alikuwa ameshatalikiana na Mkewe aliyemzalia Wanae wapendwa akina Didistone na Del Piero hivyo akaona aue Ndege wawili kwa jiwe moja ambapo alipoenda tu Kwao kujitambulisha na kumtaka kumchukua Cindy pia akaonyesha Mahaba yake kwake ambapo wakati akisubiri jibu kutoka kwa Wazazi wake Baba yake Cindy akahamishwa kwa muda kuja Kinshasa ili kupisha ukarabati wa Nyumba yao uliofanywa na Koffi Olomide kisha ilipoisha akarudi Kwake.

Muda mchache baadae Koffi Olomide akajibiwa na Wazazi wa Cindy kuwa wameridhia amuoe Binti yao na kitendo cha Baba yake Cindy kukubali tu Bintiye aolewe na Koffi siku tatu baadae Baba yake Cindy alipokea zawadi ya Gari aina Vogue Brand New kabisa aliyopewa na Mkwewe Koffi na Mzee mzima akamchukua Mtoto Mrembo Cindy na hadi sasa wanaishi pamoja ambapo tayari ambapo ameshamzalia Mtoto ambaye anaitwa Ramsey. Kama umeusikia Wimbo wake wa SELFIE Koffi amemfagilia huyo Mwanae.

Nifah ni hayo tu na naomba niishie hapa tafadhali.
 
Naam,that's my GENTAMYCINE
Asante sana.
Naomba unifanyie favour...
Niwekee picha ya huyo Cindy nimthaminishe...
Sio kwa sifa hizi!
Asante [emoji122][emoji120]
 
Lugoba nimeacha kuku quote lakini nadhani itaisoma post yangu kwa mujibu wa maelezo yako nimekuelewa ila nabaki na swali kama huyo aliepigwa ni mropokaji na nunda kama ulivyo muelezea na pia aliambiwa kuwa kazi ndo basi tena sasa haya mambo ya kusema kakanusha kuwa hakupigwa yametoka wapi?
Ningependa kama utakuwa na muda utuondolee huo mkanganyiko.
Baada ya lile tukio,Koffi alienda kufanya interview Citizen tv huko ndiko yeye mwenyewe alipata nafasi ya kutoa maelezo yake ya kujitetea ambayo mimi binafsi sikuyaelewa....
Koffi alisema kuwa hakuwa amempiga yule dancer wake na si tabia yake kupiga wanawake kama inavyoripotiwa,.....

Koffi akaendelea kusema kuwa lengo lake lilikuwa kunyamazisha kelele zilizokuwa zinapigwa na dancers wake nyuma ya kamera wakati yeye anahojiwa na waandishi,kelele hizo zilizokuwa zimesababishwa na mdada mwingine aliyetaka kuwaibia dancers wake mkoba.....

Dancers wake waliitwa studio na Pamela alihojiwa akasema hakupigwa na Koffi,hana ugomvi na Koffi na pia aliulizwa amelipwa sh ngapi au alipewa vitisho gani na Koffi ili akatae ukweli wa lile tukio kuwa kapigwa???
PAMELA AKASISITIZA KUWA,HAKUPIGWA NA WALA HAKUTISHWA NA KOFFI ILI ATOE UTETEZI ULE.....
 
Lugoba shukran nimekuelewa lazima aliwekwa sawa bint ili afunike kombe mwanakharamu apite.
Maana kwa video ile hata chongo aliliona uzuri ukijumlisha na khulqa ya jamaa unapata jibu
 
Kilichonifurahisha ni uamuzi wa serikali ya Kenya ya kumuondoa Mopao immediately back to Kinshasa.
 
fb17301de959396664e3c9be4d41e4db.jpg

Kaongo haka, kameogopa kupoteza kibarua tu!
 
Naam,that's my GENTAMYCINE
Asante sana.
Naomba unifanyie favour...
Niwekee picha ya huyo Cindy nimthaminishe...
Sio kwa sifa hizi!
Asante [emoji122][emoji120]

Yap kwa Sura na umbile ni mzuri hasa isipokuwa tu ana Miguu mibaya ambayo ina matege ya kutokeza nje. Tafuta onyesho lao lile MUBASHARA la Dar walipokuja kutambulisha album yao ya SELFIE ujionee " ngoko " zake huyu Mdada Cindy. Ukitaka sauti ya kuimba nadhani kwa Cindy ndiyo Makao Makuu.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom