Mkataba wa Arsenal na Rwanda umefika tamati baada ya miaka 8. Waziri Makonda fanya mchakato tuone “Visit Serengeti”

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
IMG_8967.jpeg

Mkataba wa Rwanda Development Board (RDB) na Arsenal umeisha msimu huu wa EPL (2025/26)! Kwahiyo jersey za Arsenal hazitakua na Visit Rwanda mkononi tena.

IMG_8964.webp

Jimbo liko wazi, Waziri wa Michezo na board yake, fanyeni mtangaze vivutio vyetu.

820CFE5A-68E1-437D-A7C7-37B27FCCB968.png

#COYG
 
Katika vitu ninavyopinga ni huu utalii wa makundi makubwa wa kutembelea mbuga za wanyama. Tusipodhibiti idadi ya watalii miaka ijayo mbuga zetu za wanyawa zibaki kuwa mitaa ya Dar na ule ''umbuga'' wa mbuga zetu utageuka na kuwa jiji kubwa lenye foleni ya magari. Tungejaribu kufanya mbuga zetu ziwe premium places, tuache zile na uasili wake, tuweke ceiling ya watalii wanaoruhusiwa kutembelea kwa siku, mwezi na mwaka, na tutoze fee kubwa. Nawahakikishia baada ya miaka michache ijayo, tutaona faida yake. Wakati wengine mbuga zao zikiwa zimepigika kwa uchakavu wa mazingira ya asili, sisi tutapata soko kubwa na tutagombewa. Tutajinadi kuwa Tanzania ndiyo nchi pekee yneye mbuga ambazo bado ni asili...
 
Hawatakuelewa, ila ulichosema kweli. Kutembelea mbuga zetu iwe ni experience ya kipekee. Nilienda Ngorongoro mwaka jana ile nyomi niliokutana nayo tena siku zote mbili, aisee shikamoo. Imagine kwa mwaka.
 
Katika vitu ninavyopinga ni huu utalii wa makundi makubwa wa kutembelea mbuga za wanyama. Tusipodhibiti idadi ya watalii miaka ijayo mbuga zetu za wanyawa zibaki kuwa mitaa ya Dar na ule ''umbuga'' wa mbuga zetu utageuka na kuwa jiji kubwa lenye foleni ya magari. Tungejaribu kufanya mbuga zetu ziwe premium places, tuache zile na uasili wake, tuweke ceiling ya watalii wanaoruhusiwa kutembelea kwa siku, mwezi na mwaka, na tutoze fee kubwa. Nawahakikishia baada ya miaka michache ijayo, tutaona faida yake. Wakati wengine mbuga zao zikiwa zimepigika kwa uchakavu wa mazingira ya asili, sisi tutapata soko kubwa na tutagombewa. Tutajinadi kuwa Tanzania ndiyo nchi pekee yneye mbuga ambazo bado ni asili...
wakati wenzanko wanawaza kujenga UWANJA wa NDEGE ili zitue kabisa KATiKATI ya Serengeti
 
Katika vitu ninavyopinga ni huu utalii wa makundi makubwa wa kutembelea mbuga za wanyama. Tusipodhibiti idadi ya watalii miaka ijayo mbuga zetu za wanyawa zibaki kuwa mitaa ya Dar na ule ''umbuga'' wa mbuga zetu utageuka na kuwa jiji kubwa lenye foleni ya magari. Tungejaribu kufanya mbuga zetu ziwe premium places, tuache zile na uasili wake, tuweke ceiling ya watalii wanaoruhusiwa kutembelea kwa siku, mwezi na mwaka, na tutoze fee kubwa. Nawahakikishia baada ya miaka michache ijayo, tutaona faida yake. Wakati wengine mbuga zao zikiwa zimepigika kwa uchakavu wa mazingira ya asili, sisi tutapata soko kubwa na tutagombewa. Tutajinadi kuwa Tanzania ndiyo nchi pekee yneye mbuga ambazo bado ni asili...
Nimekupata
 
Huo utalii wa wanyama unakwisha
Wazungu hawahitaji kusafiri kuja kuona nyumba.
Serikali ibuni fursa zingine utali wa kiuchumi, technology n. K
 
Kwanza tujiulizwe Rwanda kafaidika vipi na vist Rwanda na kama kafaidika kwann hana mpango wa kuongeza mkataba mpya

Kuna vitu vingne unaweza ona ni vikubwa kwa macho ila katika point ya kiuchumi havina faida ya moja kwa moja
 
Swali zuri.

Kutokana na makala, kwanza Rwanda alikua anawalipa Arsenal karibia $13 Million kwa mwaka, so kwa miaka 8 roughly $107.

Ila wao Rwanda wanadai imeboost utalii kwa zaidi ya 47% tokea waanza kujitangaza.
 
Back
Top Bottom