Ni Ansbert Ngurumo akichambua hatua kwa hatua kilicho nyuma ya mkataba wa uuzwaji/ukodishaji/ubinafsishaji wa bandari za Tanganyika ukiziacha za Zanzibar huku suala la bandari likiwa ni la muungano.
Kwa kuunganisha na hilo, katika mjadala huo bungeni tarehe 9 na 10/6/2023 aliyetia fora kuliko wote ni waziri wa habari ndugu Nape Nnauye.
Yeye kwa dakika takribani 12 alizopewa kuchangia kuhusu mkataba huo, jamaa alikuwa nje kabisa ya hoja ya msingi.
Jamaa Nape Nnauye hakusema lolote kuhusu mkataba hata katika kifungu kimoja tu na badala yake dakika zote hizo alizitumia kumjadili na kumshambulia M/kiti CHADEMA(T) ndugu Freeman Mbowe.
Hakika ilikuwa ni kituko na upotezaji wa muda na rasrimali za taifa uIofanywa na waziri huyu!
Sababu ni eti tu, Freeman Mbowe alimtahadharisha Rais Samia kuwa makini na hisia za watu kudhani kuwa amefanya maamuzi hayo ya kukubali kuwauzia Waarabu bandari za Tanganyika akiacha za Zanzibar kama hujuma dhidi ya Tanganyika, huku akitambua kuwa yeye na Waziri wake Makame Mbarawa waliotia Saini zao katika mkataba huo ni Wazinzibari.
Fuatilia mwenyewe uchambuzi huo katika video hii kuanzia mwanzo hadi mwisho 👇
Jamaa Nape Nnauye hakusema lolote kuhusu mkataba hata katika kifungu kimoja tu na badala yake dakika zote hizo alizitumia kumjadili na kumshambulia M/kiti CHADEMA(T) ndugu Freeman Mbowe.[emoji848][emoji3064][emoji2827]
Niliwahi kuandika hapa JF na Nitaendelea kusema. NAPE UWEZO WAKE KICHWANI ANASTAHILI KUWA MTENDAJI WA KIJIJI AU MTAA IQ yake imeathiriwa na Lishe duni utotoni jamaa ni kilaza saaaaana.
Hii Nchi inatakiwa Deliverance kutoka Kwa Watumishi wa Mungu,, Viongozi Wengi hatujielewi.Halafu hatujui Kwa Nini Sisi maskini.Pia tunaakili mbovu Kuwa wageni wanaweza leta Utajiri Kwetu.
Ni Ansbert Ngurumo akichambua hatua kwa hatua kilicho nyuma ya mkataba wa uuzwaji/ukodishaji/ubinafsishaji wa bandari za Tanganyika ukiziacha za Zanzibar huku suala la bandari likiwa ni la muungano.
Kwa kuunganisha na hilo, katika mjadala huo bungeni tarehe 9 na 10/6/2023 aliyetia fora kuliko wote ni waziri wa habari ndugu Nape Nnauye.
Yeye kwa dakika takribani 12 alizopewa kuchangia kuhusu mkataba huo, jamaa alikuwa nje kabisa ya hoja ya msingi.
Jamaa Nape Nnauye hakusema lolote kuhusu mkataba hata katika kifungu kimoja tu na badala yake dakika zote hizo alizitumia kumjadili na kumshambulia M/kiti CHADEMA(T) ndugu Freeman Mbowe.
Hakika ilikuwa ni kituko na upotezaji wa muda na rasrimali za taifa uIofanywa na waziri huyu!
Sababu ni eti tu, Freeman Mbowe alimtahadharisha Rais Samia kuwa makini na hisia za watu kudhani kuwa amefanya maamuzi hayo ya kukubali kuwauzia Waarabu bandari za Tanganyika akiacha za Zanzibar kama hujuma dhidi ya Tanganyika, huku akitambua kuwa yeye na Waziri wake Makame Mbarawa waliotia Saini zao katika mkataba huo ni Wazinzibari.
Fuatilia mwenyewe uchambuzi huo katika video hii kuanzia mwanzo hadi mwisho [emoji116]
Huyu bwana ni moja ya wale born town lakini shida akili hana kashasahau hiyo nafasi yakushambulia watu tayari alishaivuka kipindi hicho yeye muenezi kwa hatua aliyopo sasa ya uwaziri anajifedhesha bado anaitamani nafasi ya uchawa
Ni Ansbert Ngurumo akichambua hatua kwa hatua kilicho nyuma ya mkataba wa uuzwaji/ukodishaji/ubinafsishaji wa bandari za Tanganyika ukiziacha za Zanzibar huku suala la bandari likiwa ni la muungano.
Kwa kuunganisha na hilo, katika mjadala huo bungeni tarehe 9 na 10/6/2023 aliyetia fora kuliko wote ni waziri wa habari ndugu Nape Nnauye.
Yeye kwa dakika takribani 12 alizopewa kuchangia kuhusu mkataba huo, jamaa alikuwa nje kabisa ya hoja ya msingi.
Jamaa Nape Nnauye hakusema lolote kuhusu mkataba hata katika kifungu kimoja tu na badala yake dakika zote hizo alizitumia kumjadili na kumshambulia M/kiti CHADEMA(T) ndugu Freeman Mbowe.
Hakika ilikuwa ni kituko na upotezaji wa muda na rasrimali za taifa uIofanywa na waziri huyu!
Sababu ni eti tu, Freeman Mbowe alimtahadharisha Rais Samia kuwa makini na hisia za watu kudhani kuwa amefanya maamuzi hayo ya kukubali kuwauzia Waarabu bandari za Tanganyika akiacha za Zanzibar kama hujuma dhidi ya Tanganyika, huku akitambua kuwa yeye na Waziri wake Makame Mbarawa waliotia Saini zao katika mkataba huo ni Wazinzibari.
Fuatilia mwenyewe uchambuzi huo katika video hii kuanzia mwanzo hadi mwisho 👇
Jamaa Nape Nnauye hakusema lolote kuhusu mkataba hata katika kifungu kimoja tu na badala yake dakika zote hizo alizitumia kumjadili na kumshambulia M/kiti CHADEMA(T) ndugu Freeman Mbowe.[emoji848][emoji3064][emoji2827]
Niliwahi kuandika hapa JF na Nitaendelea kusema. NAPE UWEZO WAKE KICHWANI ANASTAHILI KUWA MTENDAJI WA KIJIJI AU MTAA IQ yake imeathiriwa na Lishe duni utotoni jamaa ni kilaza saaaaana.
Ooh, kumbe ndiyo maana badala ya kujadili hoja akaanza kumjadili mtu aliyetoa maoni yake kama ambavyo yeye anatoa. What a wastage of time ya bunge aisee..!
Huyu bwana ni moja ya wale born town lakini shida akili hana kashasahau hiyo nafasi yakushambulia watu tayari alishaivuka kipindi hicho yeye muenezi kwa hatua aliyopo sasa ya uwaziri anajifedhesha bado anaitamani nafasi ya uchawa
Lakini sometimes tunaweza kuwalaumu watu dizaini ya Nape bure tu..
The problem hapa ni mfumo wa kisiasa na kiutawala (kikatiba) wa nchi yetu..
Kwa jinsi mfumo wetu wa kikatiba ulivyo dhaifu na mbovu, hata uingie wewe humo leo ni lazima utaishi na kutenda sawasawa na ubovu wa mfumo na mwisho wa siku utaonekana hufai na tutakuvurumishia Kila aina ya matusi kuwa umetusaliti..
Unamkumbuka Julius Mtatiro? Yuko wapi na anafanya nini? Kwa kifupi ni kuwa anaishi sawasawa kulingana na mfumo.!
Unamkumbuka Humphrey Polepole? Unamwonaje sasa kulinganisha na huko nyuma kabla hajamezwa na mfumo? Jibu ni: Anaishi na kutenda sawasawa na mfumo ulivyo...
Wako wengi. Sijawataja kina Prof. Palamagamba Kabudi ambao kabla ya kumezwa na mfumo wa ki - CCM walikuwa vichwa vyenye akili lakini baada kuingia kwenye mfumo wamekuwa kama wajinga na mataahira fulani...!!