Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu mbariki NgurumoNi Ansbert Ngurumo akichambua hatua kwa hatua kilicho nyuma ya mkataba wa uuzwaji/ukodishaji/ubinafsishaji wa bandari za Tanganyika ukiziacha za Zanzibar huku suala la bandari likiwa ni la muungano.
Kwa kuunganisha na hilo, katika mjadala huo bungeni tarehe 9 na 10/6/2023 aliyetia fora kuliko wote ni waziri wa habari ndugu Nape Nnauye.
Yeye kwa dakika takribani 12 alizopewa kuchangia kuhusu mkataba huo, jamaa alikuwa nje kabisa ya hoja ya msingi.
Jamaa Nape Nnauye hakusema lolote kuhusu mkataba hata katika kifungu kimoja tu na badala yake dakika zote hizo alizitumia kumjadili na kumshambulia M/kiti CHADEMA(T) ndugu Freeman Mbowe.
Hakika ilikuwa ni kituko na upotezaji wa muda na rasrimali za taifa uIofanywa na waziri huyu!
Sababu ni eti tu, Freeman Mbowe alimtahadharisha Rais Samia kuwa makini na hisia za watu kudhani kuwa amefanya maamuzi hayo ya kukubali kuwauzia Waarabu bandari za Tanganyika akiacha za Zanzibar kama hujuma dhidi ya Tanganyika, huku akitambua kuwa yeye na Waziri wake Makame Mbarawa waliotia Saini zao katika mkataba huo ni Wazinzibari.
Fuatilia mwenyewe uchambuzi huo katika video hii kuanzia mwanzo hadi mwisho [emoji116]
View attachment 2658976
Mbowe ni shujaaJamaa Nape Nnauye hakusema lolote kuhusu mkataba hata katika kifungu kimoja tu na badala yake dakika zote hizo alizitumia kumjadili na kumshambulia M/kiti CHADEMA(T) ndugu Freeman Mbowe.[emoji848][emoji3064][emoji2827]
Duh!Ukiona mtu mwenye uthubutu wa kutembea juu ya wowowo za kina mama waliojilaza chini mbele yake, tena hadharani, basi tambua mtu hiyo ni "empty case".
Mkuu 'Erythro', hebu saidia tafadhali, 'wowowo' ni kitu gani. Hilo neno kalitumia mkuu 'mbenge'.Mbowe ni shujaa
Hee hee hee🥱🥱🥱🥱
Mkuu hii ilitokea kwenye kampeni za uchaguzi 2020..Hee hee hee🥱🥱🥱🥱
Hii ni Photoshop au ni tukio halisi?
Ilitokea lini hii, wapi na kwanini alitembea juu ya matako/migongo ya wanawake hawa?
Tukio kama hili nimeliona akifanya mwanamke mmoja mtu WA dini moja ya ajabu huko Mwanza na anajiita "Mfalme Zumaridi"...
Wafuasi wa dini ya mwanake huyu, mara kadhaa hujilaza chini kufudifudi (haileweki kama huwa ni kwa amri/maelekezo yake au hufanya hivyo kwa mapenzi yao) na huyu mwanamke hupita juu yao akiwakanyaga kanyaga...
Sasa hii ya Nape iko vipi?
Haa haa🥱Mkuu hii ilitokea kwenye kampeni za uchaguzi 2020..
Jimboni Mtama.
Hakuna cha propaganda hapa. Mbowe ni dhahiri anamchukia samia na wazanzibar wote vibaya mno.Ni Ansbert Ngurumo akichambua hatua kwa hatua kilicho nyuma ya mkataba wa uuzwaji/ukodishaji/ubinafsishaji wa bandari za Tanganyika ukiziacha za Zanzibar huku suala la bandari likiwa ni la muungano.
Kwa kuunganisha na hilo, katika mjadala huo bungeni tarehe 9 na 10/6/2023 aliyetia fora kuliko wote ni waziri wa habari ndugu Nape Nnauye.
Yeye kwa dakika takribani 12 alizopewa kuchangia kuhusu mkataba huo, jamaa alikuwa nje kabisa ya hoja ya msingi.
Jamaa Nape Nnauye hakusema lolote kuhusu mkataba hata katika kifungu kimoja tu na badala yake dakika zote hizo alizitumia kumjadili na kumshambulia M/kiti CHADEMA(T) ndugu Freeman Mbowe.
Hakika ilikuwa ni kituko na upotezaji wa muda na rasrimali za taifa uIofanywa na waziri huyu!
Sababu ni eti tu, Freeman Mbowe alimtahadharisha Rais Samia kuwa makini na hisia za watu kudhani kuwa amefanya maamuzi hayo ya kukubali kuwauzia Waarabu bandari za Tanganyika akiacha za Zanzibar kama hujuma dhidi ya Tanganyika, huku akitambua kuwa yeye na Waziri wake Makame Mbarawa waliotia Saini zao katika mkataba huo ni Wazinzibari.
Fuatilia mwenyewe uchambuzi huo katika video hii kuanzia mwanzo hadi mwisho 👇
View attachment 2658976
Nape ni muimbaji wa taarabu hivyo hajawahi kuwa na hoja zaidi ya mipasho.sifa za kuwa mbunge zero,sifa za kuwa waziri zero =hakuna kitu au an empty set or a pumpkin.Ni Ansbert Ngurumo akichambua hatua kwa hatua kilicho nyuma ya mkataba wa uuzwaji/ukodishaji/ubinafsishaji wa bandari za Tanganyika ukiziacha za Zanzibar huku suala la bandari likiwa ni la muungano.