Mkataba wa Bandari umeonesha rangi zao

Mkataba wa Bandari umeonesha rangi zao

Huu uzi umeletwa humu
. huyo ni mpuuzi mlamba viatu vya waarabu

Anajadili nini km hajasoma
Hajajadili mkataba amejadili namna tunavyoendeshwa na chuki na hisia za kibaguzi kwa kuropokwa tukijifanya kukosoa MKATABA.....

Amesema kweli maana tukiiharibu nchi yetu hatutapata spear wala nyingine ya mbadala.....

Tuwakosoe watawala bila kuingiza chuki na hisia za kibaguzi.....

Tuhanikize SAUTI ZETU bila ya KUVUNJA STAHA YA WATU WENGINE...
 
MKATABA WA BANDARI UMEONESHA RANGI ZAO

Picha: Sehemu ya Bandari ya Dar es Salaam.

Na Ahmed Rajab

KUMEKUWA na mijadala ya kushangaza nchini Tanzania tangu ibainike kwamba serikali yake inawasilisha bungeni Azimio la kujadili mkataba unaotarajiwa kutiwa saini baina yake na kampuni ya kimataifa ya DP World inayomilikiwa na serikali ya
Wakristo ni wadini na watu wenye chuki sana na waislamu na uislamu! Wacha waendelee kulia mpaka mabwana zai wa vaticam wawasikie
 
Watakaovunja nchi yetu ni hao viongozi wanaouza nchi yetu kwa waarabu

Mungu atuepushe na hawa viongozi

Back
Top Bottom