Mkataba wa Bandari umeonesha rangi zao

Nimekuwa nikimfuatilia Ahmed Rajab tangu akiandika jarida la kama sio African Now basi ni African Events hadi kuwa mchangiaji kwenye gazeti la Raia Mwema. Hana tofauti sana na mwandishi wa historia ya Tandamti na Kipata Mzee Mohamed Said!
 
Chuki ipo wapi?. Punguzeni unafiki. Mkiambiwa ukweli mnaanza kudai ni chuki.
 
Hakuna mwenye nia ya kuvuruga nchi. Cha msingi tukubaliane kukosolewa. Suala la bandari ni muungano, lakini Ni bandari za bara tu zinahusika. Sasa kwanini watu wasihoji.
Unakubaliana na hoja za mwandishi?.
 
Pumbavu chawa wa DP World 🌎
 
🇶🇦
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…