Mkataba wa Bandari umeonesha rangi zao


Waende Bandari ya Zenj basi😂😂😂😂😂
 
Huyo Nguli wa taaluma ya uandishi wa habari amejadili vizuri sana juu ya ukabila na udini dhidi ya Mama Samia.Ni kweli kabisa kuna viongozi ndani ya CCM wanamfanyia fitina.
 
ahmad rajab mwnyewe ni mzanzibar!!
 
Waende Bandari ya Zenj basi😂😂😂😂😂

Na wakija mtaanza kupiga kelele humu waarabu wanarudi , wacha Karma iwatie adabu wale mliowauwa kwa maelfu sasa wanakuja kiulaini tena vijijini kwenu , mlie tu kutesa kwa zamu
 
Kwa hivyo hata sheikh Ponda ni mkristo maana kaponda huo mkataba. Msijifiche kwenye udini kisa mmeboronga kwenye mkataba.

Kama ulivyoborongwa na Nyerere, mkataba wa muungano
 
Hawa watu wa upande ule wanataka kujifanya kama wana uchungu sana na watu wa bara kuliko kinyume chake kama hiyo kampuni ina manufaa namna hiyo mbona haijagusa huko kisiwani

Kama vile unaipenda sana Zanzibar , wacha waarabu wawajengee gati ya kisasa maana siku zote mlikuwa na wazungu kanisa likifaidi tu
 
Ahmed, hakuna mtu hata mmoja anayepinga DP WORLD kuja kama wawekezaji. kinachopingwa ni vipengele kwenye mkataba, yaani kutoendeleza bandari zingine (wamekufunga mikono usiendeleze bandari za tanga, bagamoyo au mtwara), huwezi kuita hata mchina au mjapani tu siku moja ukasema tuingie makubaliano tujenge bandari ingine ya Bagamoyo, hapo hadi uombe ruhusa kwa waarabu wakati wewe upo kwenye nchi yako. ni sawa na sasaivi ukitaka kuwinda kitalu cha loliondo, uombe ruhusa kwa mwarabu. pia, kingine mkataba usio na kipengele cha ukomo, ni kitu gani icho?

kwahiyo, uishi ukijua kwamba hakuna mwenye kisirani na waarabu, tunawapenda, wana pesa na tunapenda waje waziwekeze hapa kwetu, ila kwa terms nzuri za kwenye mkataba. shida yenu ninyi wachache ni kwamba kutokana na utamaduni wenu, chochote anachofanya mwarabu huwa mnaamini ni bora na ni barka. hata akitoa ushuz mnaweza kuufurahia tu kwasababu ni mwarabu. na wapo watu wenye akili kama za kwako wanaamini kupinga huu mkataba ni kupinga dini fulani. jinga kabisa hawa. binafsi, kwasababu waarabu wa dubai wanao uzoefu kwenye nchi nyingi, ningependa wao ndio wawekeze (pamoja na kwamba tunajua wanapunguza nguvu ya kuleta mizigo toka china moja kwa moja hapa kama bagamoyo ingekuwepo jambo ambalo lingepunguza pesa wanayopata dubai port). tunachopinga ni vitu viwili tu, mkataba usio na ukomo, na kwamba hatutaruhusiwa kujenga bandari ingine, why? unampangisha mtu nyumba afu (mpangaji) anakwambia huruhusiwi kujenga nyumba nyingine?
 
hulaumiki labda ndivyo wengine mlivyoumbwa

View attachment 2657779
wewe shoga unayesapoti ushoga uliyeweka mstari ambao mashoga wanasema Yesu alisema kuna watu wamezaliwa mashoga, ni upotoshaji, shetani mkubwa we. huu ni upotoshaji. kama haujui, hakuna hata sehemu moja Yesu alisema kuna watu wamezaliwa mashoga.

Matthew 19:10-12​

10 The disciples said to him, “If this is the situation between a husband and wife, it is better not to marry.”
11 Jesus replied, “Not everyone can accept this word, but only those to whom it has been given. 12 For there are eunuchs who were born that way, and there are eunuchs who have been made eunuchs by others—and there are those who choose to live like eunuchs for the sake of the kingdom of heaven. The one who can accept this should accept it.”

nini maana ya eunuchs?, hawa ni watu waliokuwa wanahasiwa ili wawe walinzi wa wake za mfalme au wake wa royal family enzi ya zamani. kwahiyo, alichosema ni kwamba, kuna watu wengine wanazaliwa hawana nguvu za kiume na wengine wanahasiwa. na kuna uwezekano Paulo akawa alikuwa mmojawapo, na paulo huyohuyo kwenye Warumi 1:26 - 27 amepinga vikali ushoga na kuiita ni dhambi jambo jambo linaloonyesha kwamba pamoja na kwamba inawezekana hakuwa na nguvu za kiume lakini hakuwa shoga, hakuruhusu kupumuliwa kama wewe unayesapoti ushoga. paulo hadi amekufa alisema kuna mwiba (yaani impairment) mwilini amemwomba Mungu amponye lakini ameamua kuishi hivyohivyo. wasomi wanasema aliomba MUngu ampe nguvu za kiume lakini hakupata na akaishi kama mtawa maisha yake yote.

MAANA YA EURUCHS NI HII: Eunuchs were men who were castrated in order to be trusted in overseeing the king's domestic interests, especially in protecting king's harems.
 
Huyo Bibi aliyesema kuwa ni heri kutawaliwa na mzungu kuliko mwarabu ana hoja ya msingi.
Historia inatukumbusha kuwa mzungu ndiye aliyepiga marufuku biashara ya utumwa ambayo kwa waarabu ilikuwa ni pigo kubwa kwani walinufaika sana na biashara hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…