Mkataba wa Bandari ya Dar ni kitanzi. Mbaya zaidi shughuli za awali zinaanza kabla ya Bunge kukubali. Je, wananchi tutakuwa na sauti katika hili?

Jioneeni wenyewe jinsi Tz ilivyokuwa na itakavyokuwa shamba la bibi..
Taifa la mazombie.. makubaliano yanatiwa saini na waziri badala ya mwanasheria mkuu wa serikali
Wavaa makobazi wote wako kimya nchi inapigwa mnada kisa mwenzao.

A cursed nation.
 
Mbona hawauzi vya Pemba wanauza Tanganyika tu ?
 
Hao madogo ni vilaza utaendaje kusoma masomo ya kidwanzi hivyo, kwanza ualimu ni kazi ya laana na kitumwa hawakuona fani za heshima kama sheria na nyinginezo mpaka waende kwenye ualimu fan la kilofer mpaka ngedere wanawacheka
We kweli kichwa box haya huko kwenye sheria watafundishwa na bwana yesu?
 
 
Tukiitisha Maandamano hamatoki, mmebakia kulia lia tu kama ke, fungeni midomo yenu
Laiti kama kila mtanzania mwenye access na mtandao akapinga huoni inatosha kupaza sauti we mbulula.
Wewe kama unaweza kuandamana andamana yeye anaweza kupaza sauti mitandaoni na ni bora kuliko kukaa kimya au kukoment umbulula kama wewe
 
Mbona wanauza vya Tanganyika tu ?
 
Mitanganyika kazi ku lalama tu, kama inawauma chukueni maamuzi magumu. Nchi si yenu mnaogopa nini sasa.!?? Hao viongozi uchwara wameisha wajua mtalalamika tu kisha wiki ijayo litapigwa tukio na mtasahau yote haya
 
"Black people are not complete human beings because they don't have good brain to govern the society as white people are. They are still under the process of becoming the complete human beings". Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Mkataba wowote unapokuwa na kipengele cha confidentiality, kwamba third party hatakiwi kufahamu chochote, wakati huyo third party ndie mtanzania mwenyewe, kuwa makini sana na hawa mafisadi wanaotuongoza.
Kama mkataba un confidentiality... Wewe umejuaje kuwa tunakodisha bandari kwa miaka 100?
 
Hivi kwanini Samia asipandishwe mahakamani kwa hili kosa kubwa namna hii? kiongozi asiyetaka kuihangaisha akili yake hata kidogo, kwa chochote, yeye anawaachia wasaidizi wake kila kitu!,
Samia kazi yake ni kutengeneza michongo ya mafisadi na mabwanyeye ili yaibe kila kitu.

Mwanamama na vijisafari vya ulaya na uaraabuni havikauki utadhani alichaguliwa kuongoza misafari ya kuzurura huko. 😃

Tukubali tu sie tuna ujinga, hii serikali tumeiweka wenyewe.
 
.. upembuzi yakinifu, tathmini ya kimazingira na kijamii, ujenzi wa barabara za muda, na kadhalika .... Huu ni mradi mpya kama wa Bagampyo unaanza kwa kupiga chepe ya kwanza??
 
Mama kanasa pabaya
Tulishamshauri kuchukua tahadhari kwa kila ushauri anaopewa

Wanasiasa wanataka aanguke na hakika anguko halipo mbali
 
Tukumbuke team inayofanya haya ni kutoka Zbr, wanatuuza mchana kweupe
Ujinga wenu kumpa Huyo mama uongozi kwani ni mtupu ; kazi yake kusafiri na kuhudhuria sherehe basi. Halafu kuna wajinga wanataka apite bila kupingwa 2025!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…