MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
SoC03 - Ili tuendelee, tunachotakiwa kubadili ni mindset ya watu wetu kwanza
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Wahenga wanasema kuishi kwingi ni kuona mengi. Hakika, katika safari yangu hapa duniani, nimekua najiuliza maswali mengi sana ili kupata utambuzi wa identity yetu sisi watu weusi na kwanini tuko katika hali hizi zetu duni...
www.jamiiforums.com