Mkataba wa Bandari ya Dar ni kitanzi. Mbaya zaidi shughuli za awali zinaanza kabla ya Bunge kukubali. Je, wananchi tutakuwa na sauti katika hili?

Mkataba wa Bandari ya Dar ni kitanzi. Mbaya zaidi shughuli za awali zinaanza kabla ya Bunge kukubali. Je, wananchi tutakuwa na sauti katika hili?

Jioneeni wenyewe jinsi Tz ilivyokuwa na itakavyokuwa shamba la bibi..
Taifa la mazombie.. makubaliano yanatiwa saini na waziri badala ya mwanasheria mkuu wa serikali
Ahaaaa! Kimangungo.
 
Tanzania unfortunately doesn’t have leadership that is the reason for giving a lease of 100 years to the Arabs to manage the port!
These ccm politicians are only concerned about the here and now ; meaning the next general election and not the interests of the next generation![emoji23][emoji23][emoji23]
Tukiitisha Maandamano hamatoki, mmebakia kulia lia tu kama ke, fungeni midomo yenu
 
Hao madogo ni vilaza utaendaje kusoma masomo ya kidwanzi hivyo, kwanza ualimu ni kazi ya laana na kitumwa hawakuona fani za heshima kama sheria na nyinginezo mpaka waende kwenye ualimu fan la kilofer mpaka ngedere wanawacheka
Huyo mwalimu unayemtukana kiasi hicho na kusema ni kazi ya laana ndio aliyekufanya ukajua kusoma na kuandika. Halafu una andika ujinga kama huu
 
Hivi wapi pameandikwa kuwa ni miaka 100?
 
Miaka 100?
Mlimani City pale pia ni miaka 100 sio!

Miaka 100 inaweza ikawa sio issue, wananchi wa chini siye tunanufaikaje hapo?
  • Tunazo mechanism ya kujua na kufikia kipato halisi cha bandari yetu?
  • Wanakuja na nini? Mikopo mitupu kama Songas na IPTL?
  • Tunaweza kuwambia kuwa 75% ya net profit iwe ya nchi?

Maana ukisema nchi inanufaikaje, utakuwa unamaanisha akina Januari Madelu na Msoga clan, ambao wapo kote kote, kwenye wizi, ufisadi, na wananchi wa chini wanajiweka pia! Mikopo yote inaishia mikononi mwao.
 
Hawa jamaa wanaturejesha utumwani. Napata wasi wasi kuwa Magu alikolimbwa na hawa hawa aliowaamini akidhani kuwa wanawake na watu wa hovyo wasingemfanya kitu. Angalia kilichotokea Peru ambako makamu wa rais Dina Boloarte alipomdondosha bosi wake Pedro Castillo na kumweka ndani huko Peru. Haya mambo yapo.
Bibi ushungi abahusika kwenye kadhia hii 2025 nako mbali sana
 
Jioneeni wenyewe jinsi Tz ilivyokuwa na itakavyokuwa shamba la bibi..
Taifa la mazombie.. makubaliano yanatiwa saini na waziri badala ya mwanasheria mkuu wa serikali
Mzee Mwinyi alisema Nyerere, Mkapa na Magufuli walifanya kazi nzuri sana, ila hajui yeye na Kikwete kwanini walishindwa
 
Jioneeni wenyewe jinsi Tz ilivyokuwa na itakavyokuwa shamba la bibi..
Taifa la mazombie.. makubaliano yanatiwa saini na waziri badala ya mwanasheria mkuu wa serikali
Tukumbuke team inayofanya haya ni kutoka Zbr, wanatuuza mchana kweupe
 
Hivi tutaendelea kulia mpaka lini? hawa jamaa hawabadiliki, walishatuonesha na wanaendelea kutuonesha kwa vitendo hawataki kabisa kubadilika, sasa hawa tutaendelea kuwalalamikia kwa ujinga wao wanaotufanyia makusudi mpaka lini?

Hapo kwenye huo mkataba wa miaka 100 waliotoa kwa hiyo kampuni, maana yake wameirithisha bandari yetu kwa vizazi, kwamba hiki kizazi chetu kipite, mpaka kizazi kitakachofuata kitaukuta huo mkataba wa kinyonyaji bado upo!.

Hivi kwanini Samia asipandishwe mahakamani kwa hili kosa kubwa namna hii? kiongozi asiyetaka kuihangaisha akili yake hata kidogo, kwa chochote, yeye anawaachia wasaidizi wake kila kitu!, ok, she is immune, basi laana yetu iwe juu yake, simply, makosa ya kiongozi tuliyenaye, tunaenda kuyarithisha maumivu yake kwa vizazi, huu sio ujinga tu, hakika ni upumbavu kabisa.
Kwenye hiyo MOU ni wapi wameandika mkataba wa miaka 100?
 
Jioneeni wenyewe jinsi Tz ilivyokuwa na itakavyokuwa shamba la bibi..
Taifa la mazombie.. makubaliano yanatiwa saini na waziri badala ya mwanasheria mkuu wa serikali
CCM ni ile ile
 
wako sawa tu, mitanzania mitumbavu kutwa kushangilia mpira tu huku wanasiasa wanafanya mambo ya kingese bila woga, juzi ajira za walimu zimetoka huku madogo waliosoma masomo ya geography, kiswahili na histori wakikataliwa kuomba bila sababu yoyote hakuna aliyehoji na sasa bandari inapigwa mnada mamtu yapo na yanga na simba. kwao bora nchi ipoteane ila simba na yanga wazione, ***** hii nchi tunaishi tu lakini hakuna maisha.
sio wajinga ila wapiga kura wengi wako vijijini na vyama visivyo vya kiraia viko mijini.wanatakiwa kwenda vijijini kuwaelimisha ubaya wa serikali hii iliyoko madarakani.iwafumbue macho na kuwafanya hao walioko vijijini waikatae ccm na vibaraka wake.pia mijini nako nguvu iongezeke sababu kuna watz ambao wanadhani kwamba hakuna haja ya wao kupiga kura.ni kwamba wamekata tamaa.ukiwauliza kwa nini hawapigi kura majibu yao ni kwamba kura zao hawaoni kama zina impact yoyote.
 
Jioneeni wenyewe jinsi Tz ilivyokuwa na itakavyokuwa shamba la bibi..
Taifa la mazombie.. makubaliano yanatiwa saini na waziri badala ya mwanasheria mkuu wa serikali
Jamani naomba niulize huu ni mkataba baina ya serikali ya tanzania na serikali ya dubai au ni mkataba baina ya serikali ya tanzania na kampuni ya world
 
Back
Top Bottom