Mkataba wa Dubai na Tanzania kuhalalisha Kambi 88 za Masetla wa Kiarabu nchini Tanzania?

Mleta uzi ana hoja usiibeze, sualalakuifanya Kigali kuwa Dubai in africa ina miaka kadha takribani 15 hivi,lengo si kumpenda Paulo au kuwapenda Wanyarwanda lengo DRC nautajiri wake, Tanzania tunakuwa obstacle kwa sababu sisi ni lango, kama hutaki kupisha njia mwenye nguvu atapita na mlango, utababkia kupiga kelele,JPM alipinga kitu hiki sana na alisema nanukuuu " ni mwendawazimu pekee anayeweza kukubalianana mashalti haya" sina hakika kama wenye nguvu walipita na mlango au vipi lakini mleta hoja ana hoja.
 
Kuwa na hoja na kuandika uongo ni sawa?
Kambi za masetla? Dpworld wako Rwanda ..kuna kambi ya masetla?
Dpworld wako Uk na German kote huko kuna kambi za masetla? seriously??
Inashangaza sana, unajiita The Boss huku una upeo mdogo kama watoto wa chekechea!.

Mleta mada ametumia neno masetla baada ya kuonesha maeneo ya kimkataba yaliyowapa waarabu mamlaka ya kujitawala ndani ya ardhi ya Tanganyika, ameonesha bandari za maziwa, na bahari.

Ajabu wewe unapinga hoja yake kwa kusema waarabu pia wamewekeza Germany na kwingineko, kwani huko Germany wamepewa mkataba wa hovyo unaowaruhusu waarabu kujitawala ndani ya nchi za wazungu, kama walivyopewa hapa kwetu na serikali yetu?

Halafu kwa huu ujinga wako ndio unawaomba mods waufute uzi!, wewe endelea kuwekeza kwenye udini tu.
 
Kuwa na hoja na kuandika uongo ni sawa?
Kambi za masetla? Dpworld wako Rwanda ..kuna kambi ya masetla?
Dpworld wako Uk na German kote huko kuna kambi za masetla? seriously??

Hebu weka bandari za maji wanazo operate UK , zuzu kama wewe tukupe Elimu DP Rwanda na UK wanaendesha bandari kavu sawa na
Mamlaka ya bandari ingewapa waendeshe Kwala ile bandari kavu kwa mkataba wa miaka mitano mitano na kutakua na review kila baada ya muda, sasa wewe na mapoyoyo wenzio kugawa bandari za maji ya bahari na ziwa mnajiona wajanja kumbe hamna kitu
 
"Kambi 88 za masetla" wa kiarabu..
Na mods mnaacha hizi hate speech na uwongo ?
Maxence Melo Paw Cookie

Soma hoja vizuri. Hakuna kauli za chuki hapo, Ni ukweli mtupu. kwa kifupi nimeandika hoja ifuatayo:

1. Kuna wakoloni wa aina mbili, yaani mkoloni wa kimapokeo (traditional colonialism) na mkoloni wa kilowezi (setller colonialism), ambapo, mkoloni wa kimapokeo anafika kwenye koloni ili kuteka rasilimali watu na kuitumia kuvuna maliasili na kuhamisha faida kwa ajili ya kuipeleka katika nchi mkoloni, wakati mkoloni mlowezi anafika kwenye koloni kuteka ardhi, watu na rasilimali zao ili kujenga makazi mapya ya kudumu, ama kwa kuwahamisha wazawa au kuwateketeza.

2. Mkataba wa Tanzania-Dubai umetoa haki ya umiliki wa milele wa haki za matumizi (eternal use ownership rights) ya bandari 88 za Tanzania Bara, na pia umetoa haki ya umiliki wa milele wa haki za kuvuna faida (eternal fruits ownership rights) kutokana na bandari 88 za Tanzania Bara, jambo ambalo linaipa Dubai haki ya kuanzisha makazi ya kudumu katika ardhi ya Tanzania, na hivyo kuwa na sifa ya kuitwa mkoloni mlowezi.

3. Kwa hiyo, nikahitimisha kwamba, Mkataba wa Tanzania-Dubai unafungua milango ya kuanzishwa kwa kambi 88 za walowezi wa Kiarabu nchini Tanzania, ambapo kambi hizo zitakuwa kwenye mwambao wa Pwani na kwenye mmaeneo ya mmaziwa ya Tanganyika, Viktoria na Tanganyika.

Hate speech iko wapi?
Naona unaendelea kujitoa ufahamu.
Na bado naboresha hoja hii.
NItaiandika kwa Kiswahili na Kiingereza ili tuelewane vizuri.
Tulia sindano ikuingie...
 
Dah sasa itakuwaje
JF ondoeni uzushi huu wa kipuuzi, au nanyi mnafaidika na upuuzi huu? Kumbukeni tuna nchi moja na mauaji ya kimbari ya Rwanda yalianza na chuki km hizi na uwongo mwingi uliopaliliwa na vyombo vya habari. Tambueni wajibu wenu km mhimili wa nne wa dola
 
we hata siku yako ya kuzaliwa inatakiwa ilaaniwe kwa upuuzi wako huu. Una pepo wewe siyo bure. Watanzania mpuuzeni mpuuzi km huyu
 
Boss huoni kuwa mleta mada ana hoja? Kumilikisha waarabu bandari zote hizo kwa mkataba usiojulikana ukomo wake unaelewa maana yake?
na we ni zuzu km yeye, yaani mtu mpumbavu akueleze jambo la kipumbavu na we unamkubalia? Mwishowe anakudharau anakuona zuzu tu. Sahivi anasoma comment kupima mazuzu yaliyoingia ktk upuuzi wake.
 
mkuu umechanganyikiwa? wewe mambo ya uislamu/ukristo/utanganyika umeyasoma wapi kwenye hilo bandiko?
 
JF ondoeni uzushi huu wa kipuuzi, au nanyi mnafaidika na upuuzi huu? Kumbukeni tuna nchi moja na mauaji ya kimbari ya Rwanda yalianza na chuki km hizi na uwongo mwingi uliopaliliwa na vyombo vya habari. Tambueni wajibu wenu km mhimili wa nne wa dola

Hakiondoki kitu. Nanyumbulisha hoja hapa chini ili akili ikuingie:

Kwa kifupi nimeandika hoja ifuatayo:

1. Kuna wakoloni wa aina mbili, yaani mkoloni wa kimapokeo (traditional colonialism) na mkoloni wa kilowezi (setller colonialism), ambapo, mkoloni wa kimapokeo anafika kwenye koloni ili kuteka rasilimali watu na kuitumia kuvuna maliasili na kuhamisha faida kwa ajili ya kuipeleka katika nchi mkoloni, wakati mkoloni mlowezi anafika kwenye koloni kuteka ardhi, watu na rasilimali zao ili kujenga makazi mapya ya kudumu, ama kwa kuwahamisha wazawa au kuwateketeza.

2. Mkataba wa Tanzania-Dubai umetoa haki ya umiliki wa milele wa haki za matumizi (eternal use ownership rights) ya bandari 88 za Tanzania Bara, na pia umetoa haki ya umiliki wa milele wa haki za kuvuna faida (eternal fruits ownership rights) kutokana na bandari 88 za Tanzania Bara, jambo ambalo linaipa Dubai haki ya kuanzisha makazi ya kudumu katika ardhi ya Tanzania, na hivyo kuwa na sifa ya kuitwa mkoloni mlowezi.

3. Kwa hiyo, nikahitimisha kwamba, Mkataba wa Tanzania-Dubai unafungua milango ya kuanzishwa kwa kambi 88 za walowezi wa Kiarabu nchini Tanzania, ambapo kambi hizo zitakuwa kwenye mwambao wa Pwani na kwenye mmaeneo ya mmaziwa ya Tanganyika, Viktoria na Tanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…