Mkataba wa Dubai na Tanzania kuhalalisha Kambi 88 za Masetla wa Kiarabu nchini Tanzania?

Kuwa na hoja na kuandika uongo ni sawa?
Kambi za masetla? Dpworld wako Rwanda ..kuna kambi ya masetla?
Dpworld wako Uk na German kote huko kuna kambi za masetla? seriously??
Ishu si kusema tu "mbona hata kule......... DP World wako?"

Unajua terms and conditions (mikataba) waliyoingia na nchi hizi unazozitaja? Je, ni sawa na terms & conditions zinaowaingiza hapa Tanganyika...?

Ungesema "...mbona hata UK, USA au Rwanda au Kenya na kwingineko DP World wako na mikataba ni kama huu huu wa kwetu".. ungeleeweka...

Please leteni hoja na sio viroja vyenu hapa....
 
Kuwa na hoja na kuandika uongo ni sawa?
Kambi za masetla? Dpworld wako Rwanda ..kuna kambi ya masetla?
Dpworld wako Uk na German kote huko kuna kambi za masetla? seriously??
Rwanda na German kuna CCM na Bunge la Tulia!!??
 
Hadi Mama Amon unapinga?

Sijui huko ccm wamepewa nini hadi wakakubali hayo mambo.

Nimeamini Waarabu ni wachawi sana.

Majini is real
 
Kwa nini mnaingiza dini? Magufuli alipingwa yeye pamoja na usukuma wake, Hadi leo bado wasukuma wanapingwa

Nyie hiyo dini yenu imewafanya muwe inferior, kila jambo mnahisi dini yenu inashambuliwa
 
na we ni zuzu km yeye, yaani mtu mpumbavu akueleze jambo la kipumbavu na we unamkubalia? Mwishowe anakudharau anakuona zuzu tu. Sahivi anasoma comment kupima mazuzu yaliyoingia ktk upuuzi wake.
Hoja hujibiwa kwa hoja na si viroja. Ukishajiona katika mjadala wa kikubwa unachoweza kuchangia ni matusi tu basi ujijue wewe hamna kila kitu. Huwezi kupewa nafasi mbele ya wanaojielewa.
 
Unafikiri huko Ulaya wameingia mkataba wakijinga kama wetu
 
Kuna watu humu wanachuki mbaya sana na waarabu, ndio maana hawaendelei.
Nenda sehemu alizokaa Mwarabu kipindi kile hakuna maendeleo yoyote. Aje akuletee maendeleo sasa hivi?
Shinyanga mjini, Nzega, Pwani, Singida nenda Mtwara, Morogoro, Lindi hadi Zanzibar. Kama utakuta maendeleo.
Mwarabu akikusaidia sana atakujengea msikiti na kukuchimbia kisima cha kujitawazia
 
Kilichoandikwa hapo ni ushuzi mtupu.
 
Kuwa na hoja na kuandika uongo ni sawa?
Kambi za masetla? Dpworld wako Rwanda ..kuna kambi ya masetla?
Dpworld wako Uk na German kote huko kuna kambi za masetla? seriously??
Mkataba wetu una tofauti kubwa na wa hizo nchi ulizozitaja hapo juu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…