Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Yondani,Messi ilikuwaje?Mbona mikataba ya hizi timu ukiondoa Simba inamashaka mashaka?
Jamaa analalamika misumali huko alipo , sijui atakapoenda kama patakua salama kwakeWatajuana wenyewe,ila kinachonisikitisha ni kama nikweli Yanga wana interest naye,tutakuwa tunarudi nyuma hatua 12 ,wakati tulishavuka angalau 10.
Pili anapancha nyingi, sikumbuki ni lini amecheza full season.......
walikulalamikia?Yondani,Messi ilikuwaje?
Kipindi cha seke seke la Hassan Kessy ulikua bado mdogo?Mbona mikataba ya hizi timu ukiondoa Simba inamashaka mashaka?
Leo nitakwotiwa mpk basi... π π π πKipindi cha seke seke la Hassan Kessy ulikua bado mdogo?
Sakata la Yondani na Simba na Messi hujui? Basi utakuwa kijana wa early 2000's......... siwezi kukulaumu sana mkuu, Nisamehewalikulalamikia?
Shikamoo kaka..nilikua nimezaliwa ila nilikua nasubiria tuu matokeo ya Simba kama kashinda au kafungwa...Sakata la Yondani na Simba na Messi hujui? Basi utakuwa kijana wa early 2000's......... siwezi kukulaumu sana mkuu, Nisamehe
Marahabaaa mdogo wangu.........kwa hilo ujanja ujanja wa viongozi watakwama kwasababu kipindi hiki ngumu kuoboaShikamoo kaka..nilikua nimezaliwa ila nilikua nasubiria tuu matokeo ya Simba kama kashinda au kafungwa...
Sasa mkataba wa Analojia nao mkataba? Yani inashangaza kwa sada na dunia ilivyo na utandawazi bado watu wanasainishwa mikataba butu...
Dembele alikuwa pancha akiwa Barcelona tuWatajuana wenyewe,ila kinachonisikitisha ni kama nikweli Yanga wana interest naye,tutakuwa tunarudi nyuma hatua 12 ,wakati tulishavuka angalau 10.
Pili anapancha nyingi, sikumbuki ni lini amecheza full season.......
Emmanuel Okwi vs YangaUle mkataba mpya uliosemekana kuwa wa nyongeza kwa Prince Dube kutoka 2024 hadi 2026 haupo kwenye mfumo wa usajili wa ndani wala kwenye TMS,Je mkataba huo ulisaini vipi ikiwa mamlaka hazina nakala yake? au yalikuwa makubaliano binafsi?endelea kula mtori nyama zinakujaπ π π π π
View attachment 2967588
Hahaaa! Ndiyo maana Babra ofisi yake ikawa Masaki. Ukienda jipange.Mpira wa bongo longolongoEmmanuel Okwi vs Yanga
....mainjinia walikuwa ni bin kleb na seif magari.
Walimsainisha Okwi mkataba wa miezi sita kwa tajiri Manji wakapeleka mkataba wa miaka miwili wakapiga pesa.
TFF ulikuwepo mkataba wa miezi sita!
Kilichotokea baadae Manji & Yanga wakagalagazwa kwenye shauri la kimkataba TFF.
Okwi akaenda zake Simba.
Hadi leo hii Manji hataki kuwasikia Wala kuwaona akina bin Kleb na Seifu Magari!!
Isije kuwa kwenye mkataba wa Dube Kuna magumashi kibao!!!
Bongo sanaa nyingi sana!!!Hahaaa! Ndiyo maana Babra ofisi yake ikawa Masaki. Ukienda jipange.Mpira wa bongo longolongo
Ha ha ha ha haEmmanuel Okwi vs Yanga
....mainjinia walikuwa ni bin kleb na seif magari.
Walimsainisha Okwi mkataba wa miezi sita kwa tajiri Manji wakapeleka mkataba wa miaka miwili wakapiga pesa.
TFF ulikuwepo mkataba wa miezi sita!
Kilichotokea baadae Manji & Yanga wakagalagazwa kwenye shauri la kimkataba TFF.
Okwi akaenda zake Simba.
Hadi leo hii Manji hataki kuwasikia Wala kuwaona akina bin Kleb na Seifu Magari!!
Isije kuwa kwenye mkataba wa Dube Kuna magumashi kibao!!!
Kwenye masuala ya fedha kamwe usimuamini mtu mweusi.Bongo sanaa nyingi sana!!!
Mkumbushe pia na Ramadhani Singano 'Messi'.Kipindi cha seke seke la Hassan Kessy ulikua bado mdogo?