Mkataba wa Dube Haupo kwenye mfumo wowote

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
Ule mkataba mpya uliosemekana kuwa wa nyongeza kwa Prince Dube kutoka 2024 hadi 2026 haupo kwenye mfumo wa usajili wa ndani wala kwenye TMS,Je mkataba huo ulisaini vipi ikiwa mamlaka hazina nakala yake? au yalikuwa makubaliano binafsi?endelea kula mtori nyama zinakuja😅😅😅😅😅
20240418_191533.jpg
 
Watajuana wenyewe,ila kinachonisikitisha ni kama nikweli Yanga wana interest naye,tutakuwa tunarudi nyuma hatua 12 ,wakati tulishavuka angalau 10.

Pili anapancha nyingi, sikumbuki ni lini amecheza full season.......
 
Jamaa analalamika misumali huko alipo , sijui atakapoenda kama patakua salama kwake
 
Kutokuwepo huko TFF na TMS ni suala moja! Je Dube anakana huo mkataba?, je analipwa kwa mkataba wa mpya au wa zamani?..haya ngoja tuone.
 
Sakata la Yondani na Simba na Messi hujui? Basi utakuwa kijana wa early 2000's......... siwezi kukulaumu sana mkuu, Nisamehe
Shikamoo kaka..nilikua nimezaliwa ila nilikua nasubiria tuu matokeo ya Simba kama kashinda au kafungwa...

Sasa mkataba wa Analojia nao mkataba? Yani inashangaza kwa sasa na dunia ilivyo na utandawazi bado watu wanasainishwa mikataba butu...
 
Shikamoo kaka..nilikua nimezaliwa ila nilikua nasubiria tuu matokeo ya Simba kama kashinda au kafungwa...

Sasa mkataba wa Analojia nao mkataba? Yani inashangaza kwa sada na dunia ilivyo na utandawazi bado watu wanasainishwa mikataba butu...
Marahabaaa mdogo wangu.........kwa hilo ujanja ujanja wa viongozi watakwama kwasababu kipindi hiki ngumu kuoboa
 
Watajuana wenyewe,ila kinachonisikitisha ni kama nikweli Yanga wana interest naye,tutakuwa tunarudi nyuma hatua 12 ,wakati tulishavuka angalau 10.

Pili anapancha nyingi, sikumbuki ni lini amecheza full season.......
Dembele alikuwa pancha akiwa Barcelona tu
 
Ule mkataba mpya uliosemekana kuwa wa nyongeza kwa Prince Dube kutoka 2024 hadi 2026 haupo kwenye mfumo wa usajili wa ndani wala kwenye TMS,Je mkataba huo ulisaini vipi ikiwa mamlaka hazina nakala yake? au yalikuwa makubaliano binafsi?endelea kula mtori nyama zinakuja😅😅😅😅😅
View attachment 2967588
Emmanuel Okwi vs Yanga
....mainjinia walikuwa ni bin kleb na seif magari.
Walimsainisha Okwi mkataba wa miezi sita kwa tajiri Manji wakapeleka mkataba wa miaka miwili wakapiga pesa.
TFF ulikuwepo mkataba wa miezi sita!
Kilichotokea baadae Manji & Yanga wakagalagazwa kwenye shauri la kimkataba TFF.
Okwi akaenda zake Simba.
Hadi leo hii Manji hataki kuwasikia Wala kuwaona akina bin Kleb na Seifu Magari!!
Isije kuwa kwenye mkataba wa Dube Kuna magumashi kibao!!!
 
Hahaaa! Ndiyo maana Babra ofisi yake ikawa Masaki. Ukienda jipange.Mpira wa bongo longolongo
 
Emmanuel Okwi vs Yanga
....mainjinia walikuwa ni bin kleb na seif magari.
Walimsainisha Okwi mkataba wa miezi sita kwa tajiri Manji wakapeleka mkataba wa miaka miwili wakapiga pesa.
TFF ulikuwepo mkataba wa miezi sita!
Kilichotokea baadae Manji & Yanga wakagalagazwa kwenye shauri la kimkataba TFF.
Okwi akaenda zake Simba.
Hadi leo hii Manji hataki kuwasikia Wala kuwaona akina bin Kleb na Seifu Magari!!
Isije kuwa kwenye mkataba wa Dube Kuna magumashi kibao!!!
Ha ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom