Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Ule mkataba mpya uliosemekana kuwa wa nyongeza kwa Prince Dube kutoka 2024 hadi 2026 haupo kwenye mfumo wa usajili wa ndani wala kwenye TMS,Je mkataba huo ulisaini vipi ikiwa mamlaka hazina nakala yake? au yalikuwa makubaliano binafsi?endelea kula mtori nyama zinakuja😅😅😅😅😅