Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AtaendeleaAtaendelea. Otherwise tutaletewa chuma kingine na Eng.
Acha wasemeKwa Nabi mlisemaje?
kaizer and SA teams are at his door.Pale yanga mtu ambaye ataondoka na yanga ikayumba sana ni hersi .
Yule ndiyo brain nzima ya mafanikio .
Gamondi ataongeza mkataba ndiyo maana yanga haijahangaika kutafuta kocha mpya .
Anadhani tumesahau mashudu yakeUnganisha na zile nyuzi zako zinazosema Gamondi habebi kombe la ligi kuu, Yanga mbovu, Gamondi anapewa rushwa na Guede ili apangwe, Yanga imtimue Gamondi,.... Bila shaka moyo wako utakuwa na amani ukiona Gamondi hatokuwa tena kikosi cha Yanga au hata ikitokea Yanga msimu ujao chini ya Gamondi ikifanya vibaya. Jamaa una chuki mbaya sana dhidi ya Gamondi
Ni kaizer tu walikuwa wanamuwinda na next season hawapo Kwenye mashindano yoyote ya caf na hio ni hasara kwao hakuna kocha mkubwa atavutiwa.kaizer and SA teams are at his door.
Hata kwa nabi ilikuwa hivyo sisi wanayanga tuko tayari makocha wako wengi ni swala la pesa tu
sio kweliNi kaizer tu walikuwa wanamuwinda na next season hawapo Kwenye mashindano yoyote ya caf na hio ni hasara kwao hakuna kocha mkubwa atavutiwa.
Mamelodi na Orlando pirates tayari wana makocha .
Hata kiuchumi kaizer wameyumba .
gamondi amna kocha muleAnadhani tumesahau mashudu yake
Kwanini wewe ndiye unayeongoza kwa kumuongelea Gamondi humu jukwaani? Maana makocha wako wengi ndani ya Tanzania na nje ya Tanzania ila kwanini kila uzi wako ni Gamondi, Gamondi, Gamondi.gamondi amna kocha mule
gamondi amna kitu 🚮Unganisha na zile nyuzi zako zinazosema Gamondi habebi kombe la ligi kuu, Yanga mbovu, Gamondi anapewa rushwa na Guede ili apangwe, Yanga imtimue Gamondi,.... Bila shaka moyo wako utakuwa na amani ukiona Gamondi hatokuwa tena kikosi cha Yanga au hata ikitokea Yanga msimu ujao chini ya Gamondi ikifanya vibaya. Jamaa una chuki mbaya sana dhidi ya Gamondi