vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Dada una wivu mbaya sana, unakoelekea ni kuwa mchawi. Hakuna kitu halafu hauchoki kumfuatilia na kumuongelea kila mara. Yaani upo kama demu aliyekataliwa na mwanaume kila siku kumfuatilia na kutafuta kasoro yake halafu mwenzio ndio kwanza anafanikiwa na kusonga mbelegamondi amna kitu 🚮