Mkataba wa Gamondi na Yanga wamalizika

Mkataba wa Gamondi na Yanga wamalizika

Hauoni muda wako unautumia vibaya kwa kuangaika na Gamondi kila kukicha wakati yeye haangaiki na wewe na mbaya zaidi mipango yake anayopanga inafanikiwa. Na kila baya unalonena kwake linafeli.
1)Klabu bingwa robo fainali kacheza
2) Ligi kuu kubeba
3)Kombe la federation kabeba
4)Simba kabiduliwa home and away.
5)Mamelodi aliyepewa odds 10+ kashindwa kuifunga Yanga ndani ya dakika 90.
Haya yote mashudu yako unayeangaika na Gamondi
Alafu kwa mafanikio haya mtu anakuambia hana uwezo
Jamaa ana matatizo ya akili
 
Hauoni muda wako unautumia vibaya kwa kuangaika na Gamondi kila kukicha wakati yeye haangaiki na wewe na mbaya zaidi mipango yake anayopanga inafanikiwa. Na kila baya unalonena kwake linafeli.
1)Klabu bingwa robo fainali kacheza
2) Ligi kuu kubeba
3)Kombe la federation kabeba
4)Simba kabiduliwa home and away.
5)Mamelodi aliyepewa odds 10+ kashindwa kuifunga Yanga ndani ya dakika 90.
Haya yote mashudu yako unayeangaika na Gamondi
NABI : kabeba yote hayo twice tena bila penalties.

GAMONDI IS OVER RATED.

gamondi ni muhuni tu wa agentina.
NABI NDO KAMPA MWANGA GAMONDI.
 
Basi Simba watajifanya wanamtaka
sio simba tu, hadi azam fc pia, watu wana tafuta kibunda anaweza ama timu za humu humu ndani.

possibility kubwa azam fc after dabo. ila simba wanamtaka na chawa wametumwa. so usishangae

we wait.
 
Pale yanga mtu ambaye ataondoka na yanga ikayumba sana ni hersi .
Yule ndiyo brain nzima ya mafanikio .
Gamondi ataongeza mkataba ndiyo maana yanga haijahangaika kutafuta kocha mpya .
GSM ndio Kila kitu pale, huyo hersi bila GSM ni Bure kabisa
 
Gamondi ataongeza mkataba ndiyo maana yanga haijahangaika kutafuta kocha mpya .
Basi hakuwa na sababu ya kuandika hayo ma wosia. Au anatikisa kiberiti?
 
Amevunja sheria gani? account yake mwenyewe kaandia mambo yake kuna ubaya gani?
Ahaa, hapo sawa. Nilikuwa nataka msimamo kama huu. Jemedari Kazumari anatimiza wajibu wake bila kuvunja sheria, mawazo na maneno yake yaheshimiwe
 
Back
Top Bottom