Mkataba wa Gamondi na Yanga wamalizika

Unganisha na zile nyuzi zako zinazosema Gamondi habebi kombe la ligi kuu, Yanga mbovu, Gamondi anapewa rushwa na Guede ili apangwe, Yanga imtimue Gamondi,.... Bila shaka moyo wako utakuwa na amani ukiona Gamondi hatokuwa tena kikosi cha Yanga au hata ikitokea Yanga msimu ujao chini ya Gamondi ikifanya vibaya. Jamaa una chuki mbaya sana dhidi ya Gamondi
 
Pale yanga mtu ambaye ataondoka na yanga ikayumba sana ni hersi .
Yule ndiyo brain nzima ya mafanikio .
Gamondi ataongeza mkataba ndiyo maana yanga haijahangaika kutafuta kocha mpya .
 
Pale yanga mtu ambaye ataondoka na yanga ikayumba sana ni hersi .
Yule ndiyo brain nzima ya mafanikio .
Gamondi ataongeza mkataba ndiyo maana yanga haijahangaika kutafuta kocha mpya .
kaizer and SA teams are at his door.
 
Anadhani tumesahau mashudu yake
 
kaizer and SA teams are at his door.
Ni kaizer tu walikuwa wanamuwinda na next season hawapo Kwenye mashindano yoyote ya caf na hio ni hasara kwao hakuna kocha mkubwa atavutiwa.
Mamelodi na Orlando pirates tayari wana makocha .
Hata kiuchumi kaizer wameyumba .
 
sio kweli
 
gamondi amna kitu 🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…