Mkataba wa Gamondi na Yanga wamalizika

Alafu kwa mafanikio haya mtu anakuambia hana uwezo
Jamaa ana matatizo ya akili
 
NABI : kabeba yote hayo twice tena bila penalties.

GAMONDI IS OVER RATED.

gamondi ni muhuni tu wa agentina.
NABI NDO KAMPA MWANGA GAMONDI.
 
Basi Simba watajifanya wanamtaka
sio simba tu, hadi azam fc pia, watu wana tafuta kibunda anaweza ama timu za humu humu ndani.

possibility kubwa azam fc after dabo. ila simba wanamtaka na chawa wametumwa. so usishangae

we wait.
 
Pale yanga mtu ambaye ataondoka na yanga ikayumba sana ni hersi .
Yule ndiyo brain nzima ya mafanikio .
Gamondi ataongeza mkataba ndiyo maana yanga haijahangaika kutafuta kocha mpya .
GSM ndio Kila kitu pale, huyo hersi bila GSM ni Bure kabisa
 
Gamondi ataongeza mkataba ndiyo maana yanga haijahangaika kutafuta kocha mpya .
Basi hakuwa na sababu ya kuandika hayo ma wosia. Au anatikisa kiberiti?
 
Amevunja sheria gani? account yake mwenyewe kaandia mambo yake kuna ubaya gani?
Ahaa, hapo sawa. Nilikuwa nataka msimamo kama huu. Jemedari Kazumari anatimiza wajibu wake bila kuvunja sheria, mawazo na maneno yake yaheshimiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…