bin haroub
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,662
- 812
Basi kama ni hivo ni kama Mkataba wa Muungano tu nyerere kandaa kampelekea karume kusaini tuMwarabu kaandaa draft akawaita kusaini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi kama ni hivo ni kama Mkataba wa Muungano tu nyerere kandaa kampelekea karume kusaini tuMwarabu kaandaa draft akawaita kusaini
Mfumo mbovu kabisa, muungano hauna faida yoyote hata ukivunjwa leoBasi kama ni hivo ni kama Mkataba wa Muungano tu nyerere kandaa kampelekea karume kusaini tu
Hakuna anayepinga uwekezaji. Muhimu transparency.Kwa hiyo mkataba kwa sasa hatuuhoji tumehamia kwenye wanyama wetu?.
Kwanini watanzania tuna akili za kimaskini kiasi hiki?. siku zote tunadhani tunaibiwa sisi tu.
Hayo madini tunayo teknolojia ya kuweza kuyapandisha thamani? hizi akili za kichoyo hazitufikishi popote.
Serikali ya Tanzania imeingiwa mkataba na Jimbo au kampuni ya DP World? Kulikuwa na umuhimu gani kufanya hii IGA? Kwanini, kuna umuhimu gani tujifunge kwenye vipengele fulani?UAE ni muungano wa majimbo saba yanayounganishwa pamoja. Dubai likiwa ni jimbo mojawapo lina haki ya kufanya uwekezaji mahali popote duniani bila kuingilia katiba ya UAE.
Hii ni IGA sio BIT tusema wajibu wote ni wetu. Na mikataba inayokwenda kufanya kazi ni ile ya HGA ambayo ni mingi kutokana na mawanda ya uwekezaji wa DP World.
Rais hasafiri kwa siri hata siku moja, wewe au mimi kutojua kuhusu safari hiyo hakuifanyi ikawa ni ya siri.
Malengo ya wabunge kwenda Dubai ungewauliza moja kwa moja wao wenyewe wapo kwenye nafasi ya kukujibu.
Nchi inatazama uwekezaji utakaoongeza tija ya bandari yetu kwa kutuondolea foleni za upakuaji wa meli pale TPA. Pia kutupunguzia gharama zote za mizigo wakati ikiwa katika eneo la bandari.
Kwishinayi babuji.Chongolo amesema DPW lazima wapewe bandari akasisitiza ukiona mpinzani wako anakusifia basi achana na ilo jambo na ukiona mpinzani anakupinga basi kanyagia hapo hapo usonge mbele kwa kasi.
Jibu sahihi hapa ni HAPANA, tena iliyokolezwa kabisa!Unaifahamu VIEITE wewe ?
Hapa 'stelingi' wa sinema ndiye mhusika wa mradi, na anayokinga kisheria asishitakiwe wakati wowote.Hao viongozi wana kinga gani ya kutoshitakiwa kwa kuhujumu nchi? Muda ndio huu sio mpaka baadaye ndio waje washitakiwe wakiwa hawapo madarakani kama kina yona na mramba
Kampuni ya DP World ipo katika jimbo la Dubai. IGA imekwenda bungeni ili kuipa kinga na uhalali biashara yenyewe.Serikali ya Tanzania imeingiwa mkataba na Jimbo au kampuni ya DP World? Kulikuwa na umuhimu gani kufanya hii IGA? Kwanini, kuna umuhimu gani tujifunge kwenye vipengele fulani?
Nakubaliana na wewe kwenye paragraph yako ya mwisho
Issue ni kwamba IGA inatufunga kwenye migogoro, utatuzi wa migogoro. Tukienda mahakamani kwa hii IGA tutashindwa kesi zote.Kampuni ya DP World ipo katika jimbo la Dubai. IGA imekwenda bungeni ili kuipa kinga na uhalali biashara yenyewe.
Hii sio kampuni ya kitoto, inakuja kuwekeza kwenye masuala ya upakuaji na upakiaji wa makasha pale TPA, inakuja kukuza uelewa wa wanafunzi wa masuala ya bandari kwa ujumla pale DMI.
Kwanini IGA ya jimbo itufunge?, una uhakika hii ni IGA ya kwanza kusainiwa na Tanzania?, mbona hazijatufunga hizo IGA nyingine?.Issue ni kwamba IGA inatufunga kwenye migogoro, utatuzi wa migogoro. Tukienda mahakamani kwa hii IGA tutashindwa kesi zote.
Ni msingi mbaya sana wa mkataba wowote hata wako binafsi.
Kwanini tuingie IGA na Jimbo, kampuni binafsi? IGA ya hovyo? USA,UK walifanya hivyo?
Mikataba ya kikazi inakwenda kusainiwa muda sio mrefu ujao, jitihada zako za uzandiki ni kazi bure tu.
Unatishia watu maishaKwa dini ya kiislam mtu wa aina yako anauwawa tena mchana kweupe.
Kwa mfano Nick wa pili anaweza kumpiga rais kweli kuhusu hii bandari kuwa aliteleza?Halafu Lissu akiongea, anaonekana anatukana watu.
1. Tuoneshe muda wa kuisha huo mkataba?Kwanini IGA ya jimbo itufunge?, una uhakika hii ni IGA ya kwanza kusainiwa na Tanzania?, mbona hazijatufunga hizo IGA nyingine?.
Punguzeni huu unabii wa majanga usiolisaidia taifa kwa namna yoyote ile.
Ukomo upo kwenye project contracts IGA haiwezi kuandikwa ukomo. Ni mradi wenye mawanda ya utekelezaji [scope] hivyo kila eneo lina mkataba wake wa utekelezaji.1. Tuoneshe muda wa kuisha huo mkataba?
2. Kama taifa litanufaikaje na huo mkataba?
Kinachoendelea ni ufisadi wala hauonekani ni mkataba bali ni makubaliano tu.Ukomo upo kwenye project contracts IGA haiwezi kuandikwa ukomo. Ni mradi wenye mawanda ya utekelezaji [scope] hivyo kila eneo lina mkataba wake wa utekelezaji.
Taifa litanufaika kupitia teknolojia ya ushushaji na upakiaji wa mizigo wa melini, foleni itaondoka kabisa pia upitishaji wa madawa ya kulevya utaondolewa, tukumbuke wanayo mitambo ya kubaini biashara hizo haramu.
Taifa litafaidika kwa kuongeza elimu ya wataalam wa masuala ya bandari tulionao, watafanya kazi kwa ushirikiano na chuo cha masuala ya bandari DMI, na kwenye mkataba wameandikiwa hivyo.
Boss,Ndugu Paskali Mayalla , elimu yako ya sheria haijakusaidia hata kujua kupitia wording ya Mkataba wa Bandari kwa mkataba huo haujaandaliwa na Tanzania bali Dubai?!!
Halafu uliona wapi Mpangaji ( Tenant) ndiye uandaa Mkataba ( Lease) na Mwenye Nyumba ( Landlord) yeye ni kuanguka sahihi tu!
Kwa hili la Mkataba wa Bandari Mama na Brokers wenzake walijitoa ufahamu kabisa na hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuwaelewa kabisa!
Tundu Lissu yuko sawa 100% dhidi ya Mama na Brokers Wenzake!
Tusubiri Judgement from the High Court on 7/8.
Uzuri ni kwamba Judges on disposing that case, the have to write into details na kwa Legal Brains tutajua tu kwamba hii ni pumba au mchele!
Let's wait and see!
Jitahidi uelewe ili usitumiwe kama condom halafu ukatupwa na kusahaulika.Kinachoendelea ni ufisadi wala hauonekani ni mkataba bali ni makubaliano tu.
1. Mkataba hauna ukomo, kama kila eneo lina mkataba mbona halioneshi muda wa kuisha kwa mkataba kwa kila eneo?
2. Hauoneshi watanzania watanufaikaje bali sijui teknolojia, sijui machines, sijui kupitisha madawa ni maelezo ya kitoto kabisa uliyoandika. Madawa ya kulevya yalishaundiwa tume na timu ya kutosha kushughulikia hili kipindi cha magufuli. Hakuna kitu kama hicho
3. Serikali inanufaikaje na huo mkataba feki?Ni upigaji tu unaoendelea
Nyie viongozi, wananchi wa watanzania siyo wale ya miaka 1970 hawa wanaelewa kwahiyo mnachozungumza au kuandika mkitazame sana.
Haya maelezo uliyoandika ni ufisadi unaoendelea Tanzania. Sijashawishika kukubali maelezo yako
Wacha kupotosha. Serikali kupitia Mradi wake na WB ishafanya maboresho hayo ya miundombinu. Anachokuja kukifanya DP W ni uendeehaji tu.Ukomo upo kwenye project contracts IGA haiwezi kuandikwa ukomo. Ni mradi wenye mawanda ya utekelezaji [scope] hivyo kila eneo lina mkataba wake wa utekelezaji.
Taifa litanufaika kupitia teknolojia ya ushushaji na upakiaji wa mizigo wa melini, foleni itaondoka kabisa pia upitishaji wa madawa ya kulevya utaondolewa, tukumbuke wanayo mitambo ya kubaini biashara hizo haramu.
Serikali ishakuwa ikitoa elikunkwa Wataalamu waliopo. DP.W inakuja(hope not) kuendesha tuTaifa litafaidika kwa kuongeza elimu ya wataalam wa masuala ya bandari tulionao,
watafanya kazi kwa ushirikiano na chuo cha masuala ya bandari DMI
Mkataba gani huo, kama sio mkataba wa World bank? Sasa unaunganisha unganisha kuaminisha DP world ndio inayoenda kufanya hivyo.....huko ni kupotosha, na kwenye mkataba wameandikiwa hivyo.