Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi maalumu ndo kazini gani ? [emoji15][emoji15]Habari za muda huu ndugu wanasheria
Tafadhali naomba kupata ufafanuzi je sheria inaongelea nini kwenye mkataba wa kazi maalumu.
Habari za muda huu ndugu wanasheria
Tafadhali naomba kupata ufafanuzi je sheria inaongelea nini kwenye mkataba wa kazi maalumu.
Naomba pia kuuliza
Je, Internship program ina fit kwenye definition of employment au sio employment
Ningependa kujua termination benefits baada ya mkataba wa muda maalumu kuisha.Hapa lazima useme sheria inaongelea nini kwa mkataba wa muda maalumu yani lengo lako ni lipi kujua kati ya haya
1. Termination grounds yani kusitishwa kwakwe kutafatwa sababu zipi
2. Terminal benefits yani kipi unastahili kulipwa baada ya mkataba wa muda maalumu kuisha
3. Je ukivunjwa kimakosa au kikiukwa kimakosa nini kifanyike au kipi cha kufanya
swali lako lipo kiujumla sana ulitakiwa uelezee hali halisi ila kwa msaada zaidi unaweza kupitia hivi 1. employment and labou relation act 2004, code of good practice 2007, contract for service hizi pitia pitia mifano yake uone inakuaje kitu chake chepesi kama vile kampuni ya ujenzi inapotaka huduma ya ulinzi inaweza kuchukua kampuni ya ulinzi ili ipate huduma ya ulinzi aina yake ya kimakubaliano kidogo inakuwa tofauti hivyo hivyo kuna baadhi ya makampuni na taasisi zina huo mtindo wa kutoa contract for service
Ningependa kujua termination benefits baada ya mkataba wa muda maalumu kuisha.