Mkataba wa kishenzi ni marufuku Tanzania, kama wana dhamira njema, mazungumzo yaanze upya

Mkataba ule wa bandari, nasema ni wa kishenzi kwa sababu unapima uwezo wa Watanzania katika Kufikiri. Kila mwenye akili anajua kuwa mtu yeyote ambaye yupo kwenye utimamu wa akili hawezi kuukubali mkataba kama ule.

Nani atakubali kitu chake ambacho amewekeza trilioni kadhaa ampe mtu anayekodi halafu yeye awe na umiliki 0%?

Nani mwenye akili timamu atakubali etu abadilishe sheria za nchi kwa sababu ya mwekezaji mmoja?

Nani mwenye akili timamu atakubali, umpe mpangaji umiliki wa 100% ili achukue faida yote yeye pekee yake, halafu tena na kodi alipe pungufu ya wengine, wakati wenzake wote kwenye mali za asili wanatoa umiliki wa bure kwa Serikali wa 16%, wanalipa kodi 30%, wanalipa mrabaha, n.k. Yeye anapewa mradi ambao tayari kuna uwekezaji mkubwa, anakupa umiliki 0%, hataki kulipa kodi ya 30% (anataka alipe pungufu) ambayo wengine wanalipa, halipi mrabaha, apewe ardhi yoyote anayoitaka na fidia tulipe sisi (wakati wawekezaji wengine wote gharama ya fidia ya ardhi huwa wanalipa wenyewe), ana nini cha pekee mpaka apewe hayo yote?

Eti anawekeza dola 500m. Barrick kule Buly kwenye mgodi mmoja waliwekeza zaidi ya dola 600m. Dangote uwekezaji wa awali likuwa zaidi ya dola 700m. Bomba la gas zaidi ya dola 1billion. Wachina kule Liganga na Mchuchuma walisema watawekeza dola bilioni 7 (japo hawa nao ni wahuni wengine, mpaka leo hawajawekeza hata dola 1m). Tulimkataa mwekezaji wa uhakika Rio Tinto aliyetaka kuwekeza dola bilioni 3 kwa kudanganywa na Wachina kuwa watawekeza dola bilioni 7, kumbe ni ya maneno, nalo hilo ni uzembe wa Serikali.

Nayanukuu maneno ya Baba wa Taifa, Mwakimu Nyerere:

"Mtu akikuambia jambo la kijinga, na wewe ukakubali, anakudharau"

"Ukiwa mjinga, unaweza kuwa na almasi yako, halafu anakuja mtu na kipande cha chupa, anakuambia chukua hiki wewe, hicho ulichoshika ni chupa, chukua hii almasi, kwa kuwa wewe ni mjinga, unampa almasi yako, unachukua kipande cha chupa halafu unaenda unachekelea kama zuzu"

Waarabu wa DP wametufanya waafrika wa Tanzania ni mazuzu. Wanaona ule ubinadamu wetu wa kale uliofishwa, na kisha kufanywa bidhaa kama zilivyo nyanya au vitunguu, haujatutoka mpaka leo. Ndio maana kuna hizo tetesi za wabunge wale batili kununuliwa. Utu wao na utashi wao umefutwa na kugeuzwa kuwa ni bidhaa.

Kama DP watakuwa wamejirudi na kuwaona Watanzania ni binadamu kama walivyo wao, yaani wana akili na utashi, ule mkataba wa kishenzi utupwe. Majadiliano yaanze upya yakiwahusisha watu wenye weledi, maadili na wanaojitambua. Mbarawa na kundi lake, na wale wabunge bidhaa wasihusike kwa chochote.

Wakikishindwa hilo, waende zao. Japo bandari ni kichaka cha rushwa, na kama taasisi nyingine za umma zilivyo, ni mahali pasipo na ufanisi kutokana na ulegevu wa Serikali, kuna siku nchi itapata serikali imara iliyo thabiti, na viongozi thabiti, bandari na mashirika mengine ya umma, vitasimama na kufanya kazi stahili kwa namna istahiliyo.

Tatizo letu kubwa siyo bandari, siyo ATCL, siyo TANESCO, BALI NI UBOVU NA ULEGEVU WA SERIKALI, AMBAYE NDIYE MSIMAMIZI MKUU. Na ubovu huu wa Serikali haujaanza wakati wa Rais Samia, umekuwepo wakati wote, na unaendelezwa mpaka sasa.
Kwa nini usiende kulalamika kwa Mbunge wenu Kenan (yule Mdada Mfipa wa Sumbawanga) au kwa kina Halima 19? Mpigangumi ukutani huumiza mkonowe. CCM walishinda Uchagizi 2020 bita sinira uwaache nao watekeleze Ilani yao.
 
Kama hawayumbishwi na maneno ya mitandaoni mbona ameshayajibu?

Kama kweli hayumbishwi anyamaze kimya.

Samia katupeleka utumwani.
Sasa Kama mmeshindwa kujisimamia mnataka Samia afanye nini!? Akiwatumbua Kama alivyokua anawatumbua Magufuli,bado na yeye mtamwita Dikteta,bora Mama wa Watu kaamua kuwauza utumwani ili mkasimamiwe na wageni Kama mlivyozowea! Na naomba Mama aendelee na mwendo huu huu, kila taasisi ikishindwa kujisimamia yenyewe ni mwendo wa kumpa Muwekezaji hadi tutie akili ya kujisimamia wenyewe bila ya shuruti!!
 
Mkataba ule wa bandari, nasema ni wa kishenzi kwa sababu unapima uwezo wa Watanzania katika Kufikiri. Kila mwenye akili anajua kuwa mtu yeyote ambaye yupo kwenye utimamu wa akili hawezi kuukubali mkataba kama ule.

Nani atakubali kitu chake ambacho amewekeza trilioni kadhaa ampe mtu anayekodi halafu yeye awe na umiliki 0%?

Nani mwenye akili timamu atakubali etu abadilishe sheria za nchi kwa sababu ya mwekezaji mmoja?

Nani mwenye akili timamu atakubali, umpe mpangaji umiliki wa 100% ili achukue faida yote yeye pekee yake, halafu tena na kodi alipe pungufu ya wengine, wakati wenzake wote kwenye mali za asili wanatoa umiliki wa bure kwa Serikali wa 16%, wanalipa kodi 30%, wanalipa mrabaha, n.k. Yeye anapewa mradi ambao tayari kuna uwekezaji mkubwa, anakupa umiliki 0%, hataki kulipa kodi ya 30% (anataka alipe pungufu) ambayo wengine wanalipa, halipi mrabaha, apewe ardhi yoyote anayoitaka na fidia tulipe sisi (wakati wawekezaji wengine wote gharama ya fidia ya ardhi huwa wanalipa wenyewe), ana nini cha pekee mpaka apewe hayo yote?

Eti anawekeza dola 500m. Barrick kule Buly kwenye mgodi mmoja waliwekeza zaidi ya dola 600m. Dangote uwekezaji wa awali likuwa zaidi ya dola 700m. Bomba la gas zaidi ya dola 1billion. Wachina kule Liganga na Mchuchuma walisema watawekeza dola bilioni 7 (japo hawa nao ni wahuni wengine, mpaka leo hawajawekeza hata dola 1m). Tulimkataa mwekezaji wa uhakika Rio Tinto aliyetaka kuwekeza dola bilioni 3 kwa kudanganywa na Wachina kuwa watawekeza dola bilioni 7, kumbe ni ya maneno, nalo hilo ni uzembe wa Serikali.

Nayanukuu maneno ya Baba wa Taifa, Mwakimu Nyerere:

"Mtu akikuambia jambo la kijinga, na wewe ukakubali, anakudharau"

"Ukiwa mjinga, unaweza kuwa na almasi yako, halafu anakuja mtu na kipande cha chupa, anakuambia chukua hiki wewe, hicho ulichoshika ni chupa, chukua hii almasi, kwa kuwa wewe ni mjinga, unampa almasi yako, unachukua kipande cha chupa halafu unaenda unachekelea kama zuzu"

Waarabu wa DP wametufanya waafrika wa Tanzania ni mazuzu. Wanaona ule ubinadamu wetu wa kale uliofishwa, na kisha kufanywa bidhaa kama zilivyo nyanya au vitunguu, haujatutoka mpaka leo. Ndio maana kuna hizo tetesi za wabunge wale batili kununuliwa. Utu wao na utashi wao umefutwa na kugeuzwa kuwa ni bidhaa.

Kama DP watakuwa wamejirudi na kuwaona Watanzania ni binadamu kama walivyo wao, yaani wana akili na utashi, ule mkataba wa kishenzi utupwe. Majadiliano yaanze upya yakiwahusisha watu wenye weledi, maadili na wanaojitambua. Mbarawa na kundi lake, na wale wabunge bidhaa wasihusike kwa chochote.

Wakikishindwa hilo, waende zao. Japo bandari ni kichaka cha rushwa, na kama taasisi nyingine za umma zilivyo, ni mahali pasipo na ufanisi kutokana na ulegevu wa Serikali, kuna siku nchi itapata serikali imara iliyo thabiti, na viongozi thabiti, bandari na mashirika mengine ya umma, vitasimama na kufanya kazi stahili kwa namna istahiliyo.

Tatizo letu kubwa siyo bandari, siyo ATCL, siyo TANESCO, BALI NI UBOVU NA ULEGEVU WA SERIKALI, AMBAYE NDIYE MSIMAMIZI MKUU. Na ubovu huu wa Serikali haujaanza wakati wa Rais Samia, umekuwepo wakati wote, na unaendelezwa mpaka sasa.
Kwa kweli SSH sina hamu nae........bandari Hapana Hapana Hapana Hapana tuongee upya
 
Tatizo letu kubwa siyo bandari, siyo ATCL, siyo TANESCO, BALI NI UBOVU NA ULEGEVU WA SERIKALI, AMBAYE NDIYE MSIMAMIZI MKUU. Na ubovu huu wa Serikali haujaanza wakati wa Rais Samia, umekuwepo wakati wote, na unaendelezwa mpaka sasa.
100% 👍
 
Jf ni ya Wapinzani tukaneni mnavyoweza
Wapinzani ni watu gani? Maana hata wewe ni mpinzani. Kila binadamu kwa wakati fulani ni mpinzani.

Kama unamaanisha JF ni ya wapinzani wa ufisadi, wizi, mikataba mibovu na mabaya mengine mengi, basi pongezi nyingi kwa uongozi wa JF na wanaJF.

Binadamu kwa asili yake ni mpinzani wa uovu, lakini kuna wakati hulka, tamaa, ubinafsi na mazingira yake, humbadilisha na kuwa mpinzani wa wema na mwungaji mkono wa uovu.
 
Mkataba ule wa bandari, nasema ni wa kishenzi kwa sababu unapima uwezo wa Watanzania katika Kufikiri. Kila mwenye akili anajua kuwa mtu yeyote ambaye yupo kwenye utimamu wa akili hawezi kuukubali mkataba kama ule.

Nani atakubali kitu chake ambacho amewekeza trilioni kadhaa ampe mtu anayekodi halafu yeye awe na umiliki 0%?

Nani mwenye akili timamu atakubali etu abadilishe sheria za nchi kwa sababu ya mwekezaji mmoja?

Nani mwenye akili timamu atakubali, umpe mpangaji umiliki wa 100% ili achukue faida yote yeye pekee yake, halafu tena na kodi alipe pungufu ya wengine, wakati wenzake wote kwenye mali za asili wanatoa umiliki wa bure kwa Serikali wa 16%, wanalipa kodi 30%, wanalipa mrabaha, n.k. Yeye anapewa mradi ambao tayari kuna uwekezaji mkubwa, anakupa umiliki 0%, hataki kulipa kodi ya 30% (anataka alipe pungufu) ambayo wengine wanalipa, halipi mrabaha, apewe ardhi yoyote anayoitaka na fidia tulipe sisi (wakati wawekezaji wengine wote gharama ya fidia ya ardhi huwa wanalipa wenyewe), ana nini cha pekee mpaka apewe hayo yote?

Eti anawekeza dola 500m. Barrick kule Buly kwenye mgodi mmoja waliwekeza zaidi ya dola 600m. Dangote uwekezaji wa awali likuwa zaidi ya dola 700m. Bomba la gas zaidi ya dola 1billion. Wachina kule Liganga na Mchuchuma walisema watawekeza dola bilioni 7 (japo hawa nao ni wahuni wengine, mpaka leo hawajawekeza hata dola 1m). Tulimkataa mwekezaji wa uhakika Rio Tinto aliyetaka kuwekeza dola bilioni 3 kwa kudanganywa na Wachina kuwa watawekeza dola bilioni 7, kumbe ni ya maneno, nalo hilo ni uzembe wa Serikali.

Nayanukuu maneno ya Baba wa Taifa, Mwakimu Nyerere:

"Mtu akikuambia jambo la kijinga, na wewe ukakubali, anakudharau"

"Ukiwa mjinga, unaweza kuwa na almasi yako, halafu anakuja mtu na kipande cha chupa, anakuambia chukua hiki wewe, hicho ulichoshika ni chupa, chukua hii almasi, kwa kuwa wewe ni mjinga, unampa almasi yako, unachukua kipande cha chupa halafu unaenda unachekelea kama zuzu"

Waarabu wa DP wametufanya waafrika wa Tanzania ni mazuzu. Wanaona ule ubinadamu wetu wa kale uliofishwa, na kisha kufanywa bidhaa kama zilivyo nyanya au vitunguu, haujatutoka mpaka leo. Ndio maana kuna hizo tetesi za wabunge wale batili kununuliwa. Utu wao na utashi wao umefutwa na kugeuzwa kuwa ni bidhaa.

Kama DP watakuwa wamejirudi na kuwaona Watanzania ni binadamu kama walivyo wao, yaani wana akili na utashi, ule mkataba wa kishenzi utupwe. Majadiliano yaanze upya yakiwahusisha watu wenye weledi, maadili na wanaojitambua. Mbarawa na kundi lake, na wale wabunge bidhaa wasihusike kwa chochote.

Wakikishindwa hilo, waende zao. Japo bandari ni kichaka cha rushwa, na kama taasisi nyingine za umma zilivyo, ni mahali pasipo na ufanisi kutokana na ulegevu wa Serikali, kuna siku nchi itapata serikali imara iliyo thabiti, na viongozi thabiti, bandari na mashirika mengine ya umma, vitasimama na kufanya kazi stahili kwa namna istahiliyo.

Tatizo letu kubwa siyo bandari, siyo ATCL, siyo TANESCO, BALI NI UBOVU NA ULEGEVU WA SERIKALI, AMBAYE NDIYE MSIMAMIZI MKUU. Na ubovu huu wa Serikali haujaanza wakati wa Rais Samia, umekuwepo wakati wote, na unaendelezwa mpaka sasa.
Ujanja wa hawa maponjoro wanajua hadi leo waswahili hatunazo. Dewji alituambia anawekeza simba billioni 20 hadi leo amewekeza kile amepata simba tu🤣😂🤣.
Hatujui kala ngapi.🚶🏻‍♂️🚶🏻‍♂️
 
Walioko bandarini vipi waarabu washafika huko?
 
Naunga mkono hoja. Sauti ziendelee kupazwa na ikiwezekana tufanye migomo baridi nchi nzima kushinikiza hawa wahuni walioshindwa kusimamia bandari yetu wakaona njia rahisi ni kuiuza waachie ngazi
Mkataba ule wa bandari, nasema ni wa kishenzi kwa sababu unapima uwezo wa Watanzania katika Kufikiri. Kila mwenye akili anajua kuwa mtu yeyote ambaye yupo kwenye utimamu wa akili hawezi kuukubali mkataba kama ule.

Nani atakubali kitu chake ambacho amewekeza trilioni kadhaa ampe mtu anayekodi halafu yeye awe na umiliki 0%?

Nani mwenye akili timamu atakubali etu abadilishe sheria za nchi kwa sababu ya mwekezaji mmoja?

Nani mwenye akili timamu atakubali, umpe mpangaji umiliki wa 100% ili achukue faida yote yeye pekee yake, halafu tena na kodi alipe pungufu ya wengine, wakati wenzake wote kwenye mali za asili wanatoa umiliki wa bure kwa Serikali wa 16%, wanalipa kodi 30%, wanalipa mrabaha, n.k. Yeye anapewa mradi ambao tayari kuna uwekezaji mkubwa, anakupa umiliki 0%, hataki kulipa kodi ya 30% (anataka alipe pungufu) ambayo wengine wanalipa, halipi mrabaha, apewe ardhi yoyote anayoitaka na fidia tulipe sisi (wakati wawekezaji wengine wote gharama ya fidia ya ardhi huwa wanalipa wenyewe), ana nini cha pekee mpaka apewe hayo yote?

Eti anawekeza dola 500m. Barrick kule Buly kwenye mgodi mmoja waliwekeza zaidi ya dola 600m. Dangote uwekezaji wa awali likuwa zaidi ya dola 700m. Bomba la gas zaidi ya dola 1billion. Wachina kule Liganga na Mchuchuma walisema watawekeza dola bilioni 7 (japo hawa nao ni wahuni wengine, mpaka leo hawajawekeza hata dola 1m). Tulimkataa mwekezaji wa uhakika Rio Tinto aliyetaka kuwekeza dola bilioni 3 kwa kudanganywa na Wachina kuwa watawekeza dola bilioni 7, kumbe ni ya maneno, nalo hilo ni uzembe wa Serikali.

Nayanukuu maneno ya Baba wa Taifa, Mwakimu Nyerere:

"Mtu akikuambia jambo la kijinga, na wewe ukakubali, anakudharau"

"Ukiwa mjinga, unaweza kuwa na almasi yako, halafu anakuja mtu na kipande cha chupa, anakuambia chukua hiki wewe, hicho ulichoshika ni chupa, chukua hii almasi, kwa kuwa wewe ni mjinga, unampa almasi yako, unachukua kipande cha chupa halafu unaenda unachekelea kama zuzu"

Waarabu wa DP wametufanya waafrika wa Tanzania ni mazuzu. Wanaona ule ubinadamu wetu wa kale uliofishwa, na kisha kufanywa bidhaa kama zilivyo nyanya au vitunguu, haujatutoka mpaka leo. Ndio maana kuna hizo tetesi za wabunge wale batili kununuliwa. Utu wao na utashi wao umefutwa na kugeuzwa kuwa ni bidhaa.

Kama DP watakuwa wamejirudi na kuwaona Watanzania ni binadamu kama walivyo wao, yaani wana akili na utashi, ule mkataba wa kishenzi utupwe. Majadiliano yaanze upya yakiwahusisha watu wenye weledi, maadili na wanaojitambua. Mbarawa na kundi lake, na wale wabunge bidhaa wasihusike kwa chochote.

Wakikishindwa hilo, waende zao. Japo bandari ni kichaka cha rushwa, na kama taasisi nyingine za umma zilivyo, ni mahali pasipo na ufanisi kutokana na ulegevu wa Serikali, kuna siku nchi itapata serikali imara iliyo thabiti, na viongozi thabiti, bandari na mashirika mengine ya umma, vitasimama na kufanya kazi stahili kwa namna istahiliyo.

Tatizo letu kubwa siyo bandari, siyo ATCL, siyo TANESCO, BALI NI UBOVU NA ULEGEVU WA SERIKALI, AMBAYE NDIYE MSIMAMIZI MKUU. Na ubovu huu wa Serikali haujaanza wakati wa Rais Samia, umekuwepo wakati wote, na unaendelezwa mpaka sasa.
 
Kuna tetesi wafanyakazi Wa bandari(wale waajiriwa) wameambia wachague kubaki kwa mwarabu au wapelekwe serikali kuu daaah!! Tz my country nn kinakupata!!
 
Yeye ndio ameshindwa kuisimamia bandari ilete matokeo chanya yafaa ang'atuke na sio kuuza uza

Nasikitika kusema wanawake sio watu wa kupewa madaraka makubwa .
"Ni bora kumpa mwanaume mlevi madaraka makubwa lakini sio mwanamke" period
Sasa Kama mmeshindwa kujisimamia mnataka Samia afanye nini!? Akiwatumbua Kama alivyokua anawatumbua Magufuli,bado na yeye mtamwita Dikteta,bora Mama wa Watu kaamua kuwauza utumwani ili mkasimamiwe na wageni Kama mlivyozowea! Na naomba Mama aendelee na mwendo huu huu, kila taasisi ikishindwa kujisimamia yenyewe ni mwendo wa kumpa Muwekezaji hadi tutie akili ya kujisimamia wenyewe bila ya shuruti!!
 
Mbona uliwekwa hapa jukwaani, hukuuona? Itabidi niupandishe kama mada inayojitegemea. Labda kwa vile unapandishwa, katikati ya habari, wengine wanapitwa.
Ni kweli mkuu, nifanyie wepesi hata Pm
 
Rejea kichwa cha mada chahusika.

Tanzania haitapoa, hadi mikataba ya kishenzi, mikataba ya kipumbavu aidha ifutwe, au ianze upya.

Hatuko tayari kuja kusemwa vibaya na vizazi vyetu kama tunavyowasema kina Mangungo wa Msovero.

Back
Top Bottom