denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Nashangaa sana hii serikali, kitendo cha leo kusema watajenga bandari ya Bagamoyo kwa pesa zetu za ndani, wakijiona ndio wazalendo, kumbe ni wapumbavu wasiojielewa.
Huwezi kujenga bandari mpya ya Bagamoyo kwa kutumia fedha zetu za nsani, huku ukijua tayari kuna makubaliano uliyoingia mwanzo yatakayokuja kutuzuia kama taifa kujinufaisha kwa huo uwekezaji.
Unaenda vipi kujenga bansari ya Bagamoyo, ikiwa ulishampa mwarabu "Exclusive Rights" kwenye ule mkataba wao wa hovyo? hiyo bandari ni sawa na kusema wanaenda kumjengea mwarabu kwa pesa zetu za ndani.
Kwasababu mwarabu alishapewa nafasi ya kwanza kujulishwa juu ya fursa nyingine za kiuchumi zitakazojitokeza mbele ya safari, sasa kwa mazingira haya, watanganyika hatutakiwi kujiendeleza vyovyote kiuchumi wakati huu, kwasababu wajinga walishatuingiza mtegoni kwa rushwa waliyohongwa.